Rais wa Marekani Donald Trump amesema utawala wake umefanya mazungumzo "mazuri sana" na Iran katika mazungumzo ya siku nzima yaliyofanyika Jana Agosti 2,2026, jambo lililoongeza matumaini kwamba mzozo uliodumu kwa miezi mitano unaweza kufikia mwisho hivi karibuni.
Trump amekuwa akitoa vitisho vya kufanya mashambulizi makubwa dhidi ya Iran ikiwa haitafikia makubaliano, lakini mara kwa mara pia amekuwa akieleza kuwa mazungumzo yanaonyesha maendeleo, licha ya kushindwa kumaliza mapigano hadi sasa.
Kwa mujibu wa Axios, ikinukuu vyanzo viwili vya kikanda pamoja na afisa mmoja wa Marekani, Marekani na Iran zinakaribia kufikia makubaliano ya muda ya kufungua tena Mlango wa Hormuz kwa ridhaa ya Oman, ambayo inadhibiti sehemu ya njia hiyo ya baharini. Ripoti hiyo ilisema Marekani inalenga kutangaza makubaliano hayo leo Agosti 5, 2026
Hata hivyo, vyombo vya habari vya serikali ya Iran, vikimnukuu chanzo chenye taarifa, vimesema makubaliano na Oman kuhusu Mlango wa Hormuz, ambao kwa kawaida hupitisha takribani asilimia 20 ya usafirishaji wa mafuta na gesi asilia iliyoyeyushwa (LNG) duniani, yatacheleweshwa "kwa muda wote ambao Marekani itaendelea kuitishia Iran."
===============
U.S. President Donald Trump said his administration had "very good discussions" with Iran during all-day negotiations on Tuesday, fuelling expectations of an imminent end to the five-month conflict.
Oil prices fell and stocks jumped in Asian trade on Wednesday after Wall Street hit record highs on hopes that a deal could soon be reached to restore traffic through the blockaded Strait of Hormuz.
"They had an all-day negotiation," Trump told Fox News' "@ Night" show. The Strait of Hormuz "is going to be open very soon," Trump added. "If they back out again, they are going to get hit really hard."
Trump has often threatened massive strikes if Tehran did not reach an agreement and then cited progress in talks that have so far failed to end hostilities.
Axios, citing two regional sources and a U.S. official, reported the U.S. and Iran are closing in on an interim agreement to reopen the strait with the agreement of Oman, which controls part of the waterway. The report said Washington was aiming for an announcement on Wednesday.
However, Iranian state media, citing an informed source, said an agreement with Oman on the strait, which normally carries about a fifth of global oil and liquefied natural gas shipments, will be delayed "as long as the United States continues to threaten Iran."
Source: reuters