Usha wahi ila na ika nasa mkafumwa mka tupwa baharini mkaliwa na papa na papa akavuliwa akaletwa hapa nika mpika na mifupa nikawalisha paka
 

Umeyakanyaga mkuu
Kimekukuta nini huko piemuni
Hata sijaenda huko piemu.
Sasa mtu mwenyewe anajiita Bichwa komwe unashawishikaje hata kwenda huko piemu kwenyewe.
Hio avatar yake tu ni turn off tosha, pia kuna comment amechangia kwenye uzi huu anaonyesha yeye mwanaume anasema anapenda kupakua, sasa si kufutiana laana huku jamani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom