Introverts Vs Relationship

Mimi nipo kundi ganj sasa?

Ni muongeaji mzuri tu nikiamua kuomgea tena nina story hasa na mtu akinianza kuniongelesha atahisi rafiki kapata ila nikitoka hapo simtilii maanani tena yaani hata anaweza nitxt nisijibu kwa wakati akapiga cm nisipokee nakua sijisikii kuongea nae au kuchat nae!

Napenda kukaa ndani tena peke yangu naweza kukaa ndani hata siku tatu nisionekane nje! Nimesoma shule zote day school ila ht majirani walikua wanadhani niko boarding na sijawah kuchoka kukaa ndani.

Sina marafiki na i hate friends nawachekea juu juu tu ila sijawahi kuwaamini na wala sijawahi tendewa nao ubaya! Sipendi kuongozana na mtu km ushost yaan ht nilivyokua chuo ni nitoke room kwangu niingie class nitoe hi niweke earphone niingie netflix niamgslie movie km lecture hajaingia kimyaaa ila ukiniongelesha narespond kwa bashasha mok unaweza shangaa

Napenda kutoka out peke yangu nijinunulie kinywaji changu nisikilize mziki ila asije mtu kunipa company ananiharibia tu starehe ht km ananijua anisalimie tu apite aniache alone.

Am a girl ila nikimpenda mtu namwambia straight forward kua i like u sinaga aibu yaani na nikiwa na mahusiano my boyfrnd anakuaga anatake over almost ratiba yote ya maisha yng yaani ni mimi na yy sijui inakuagaje ht awe vp utashangaa tumestick together and life is all abt us inshort na yy automatic anapoteza marafiki anakua na mimi tu na sijawahi command hilo kwa mwanaume nilienae.

Am very confident hasa kwenye kujieleza pale itapotakiwa nifanye hivyo siogopi mtu wala watu eg. kwenye presentation ilikua lzm nipate extra points

Naweza nikacheka na ww nisijue ht jina lako nimesoma na baadhi ya watu miaka3 mitatu kozi moja darasa moja ila siwajui majina na wengine siwajui hata sura zao!

Nikipenda napenda haswaa na nakuaga km nina ka convicing power fulani hv..sifokeagi mwanaume wala kumuamrisha ila automatic anakua vile ninavyotaka awe and ina turn out kua healthy relationship ever.

Nina huruma mnoo..ni mwepesi kutoa msaada ila mgumu kukopesha hela yaani bora nikupe kidogo sababu siwezi kudai...naonekana km kauzu ila hakuna mtu ninaeumia emotionalyy km mimi.

Nina wivu wa mapenzi sijawahi ona yaani i want my man to be only mine nikinusa harufu ya usaliti nahisi km moyo unachemka kwa hasira I can even kill wallah personally nikipenda nimependa

Nina visasi yaani ukiniudhi kitu kikaniingia sawasawa lazima nitakulipizia tuuu hata baada ya miaka.

Naambiwaga ninaringa na nina dharau while najiona sina tabia hiyo sababu kutoka moyoni naheshimu kila mtu kwa class yake na sipendangi kumjudge mtu inshort niseme hua na mind my own business na mwanaume ambae niko nae tu.

Hata uniseme au unisengenye nakuona hv usitegemee nikareact na nikiamuaga kitu nimeamua sitaki mtu anibadilishe mawazo yangu nahisigi nilichoamua kiko sahihi maana natumiaga mda mref sana kufikia maamuzi.

Nipo kundi gani? Extrovert? Introvert? None of the above au wapi exactly?
umeshawahi kulipa kisasi kwa style gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaposoma comments za your fellow introverts, its really relaxing, knowing you're not alone who's suffering from this extroverted world (I believe more than 80% of humans are extroverts)

Honestly, nafikiri extroverts wanaishi vizuri sana, they say what they feel, do what they want, yaani they don't have to think or calculate anything..

But sisi, doh.. Ofisini, magetoni mpaka home kwa wazee, socializing ni mtihani mkubwa sana kwetu..

Yaan hata kabla sijatoka kwenda dukani tu mtaa wa pili, naanza kuchungulia dirishani kama kuna watu nje (mi ni mzito sana sana kusalimiana aisee) kama nikiona raia barabaran, mara nyumba ya jiran watu wamekaa kibarazan naweza hata kuaihirisha safari ya dukani mpaka wasepe

Au kuna zile salam za mbali, mtu yupo kama mita 500 utaskia oyaaa Frank niajeee, dah hua sipendi kinoma naweza jifanya sijamsikia au sijamwona, kama tumegongana macho ntapunga mkono na smile kidogo bila kusema chochote..

All girls I have dated except one are extroverts, yaan aisee ni pasua kichwa, na mimi nna wivu na hasira kama volcano, halafu kufanya maamuzi magumu ni dakika sifuri tu.. Sasa intro guy ku date na extro girl ni tabu, mdada mwepesi kujichanganya wanaume dah, kuongea huwezi, unabaki unaumia tu moyoni(introverts ni wataalam wa kuhifadhi vitu moyoni), unaweza nikwaza leo nikaja kukuambia siku 4 baadae tena nikiwa ktk hali ya utulivu kabisa mpaka ukashangaa kumbe nna hasira na wewe tangu siku ile..

Dah hivyo yani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tahadhari kwa extroverts
Ukiingia nyumba ya introvert mda wa msosi usikaribishwe ukaanza zile siasa za nataka staki. Ooh nimekuja nimekula mara we endelea tu mi niko poa nk. Mkuu hapa utashinda njaa kimasihara maana kwa hii michango ya wadau simuoni hata mmoja hapa atakae anza kukutongoza ule zile dizaini za onja hata kidogo jamani, ooh kwani ukila vitagombana tumboni nk. Watu wako straight forward sioni maafisa masoko na makatibu waenezi hapa
 
Mkuu na wewe huwa unaahirisha safari ukiona watu?Kama Mimi tu

Mkuu Mimi niliwahi kuwa na mtu anaongea Kama redio, yaani anaweza kuongea hapa saa Zima anakulaumu tu.
Usipomjibu shida,ukimjibu shida aiseee.
Akichoka anasema naongea na mtu bubu? Ananiuliza nikate simu? namwambia afadhali maana duh

Aisee

Mimi pia ni introvert wa kiwango cha lami kwa vile nimeshajijua inakuwa rahisi kuji maintain,mpenzi wangu haboreki sana,kutoka out napenda iwe ni kucheki cinema ama kwenda kuangalia mechi,Sipendi kufanya makosa ya kiufundi kumpeleka out mwanamke sehemu ambaye itategemea kwa asilimia kubwa kupiga story,ndio maana mara nyingi location yangu ni ghetto ukija ni full dose hakuna story wala nini!
Mazungumzo yangu mengi yamejaa maswali natumia mbinu hii ili nikuchoshe kiakili kwahiyo itakuwa ni ngumu maongezi ya dumu muda mrefu

Sent using IPhone X
 
Mimi nilikuwa muandikaji ubaoni maarufu
Mwalimu akija anapitiliza ananipa notes na chalk .

Sasa kuna wahuni walitumia huo mwanya kunitesa,makusudi anauliza hivi pale umeandikaje nisomee
Yaani nilikuwa nikiongea darasa Zima vicheko. Kwanza watu wanakaa kunisikiliza.

Na mwalimu alikuwa akija darasani haishi kunipoint kujibu maswali. Nilikuwa nahisi kuzimia hivi.

Nilikuwa na deskmate wangu ndio alikuwa rafiki yangu,huyo ukinikuta naye huwezi amini Kama Ni mimi nilikuwa naongea naye hatari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha Mkuu umenikumbusha mbali sana kuhusu sifa hiyo ya introvert.

Kuliwahi kuwapo na msichana fulani kipindi nasoma. yeye alikuwa ni mki9mywa wa kupitiliza aisee.Kama ni yuzo ya ukimya basi yeye alistahi;li kwa kipindi cha miaka yote ile nasoma pale shule.

Ila alipata kuwa na sifa moja kuu. Alikuwa muandishi bora pekee aliyetokea kupendwa na walimuwote waliawahi kutufundisha darasa letu. inapokuja kuhitajika mtu wa kuandika Ubaoni notes, basi yeye hakuwahi kutokewa na mpinzani hata wa karibu yake.

Ikawa anapo andika notes ubaoni na kumaliza , anaogopa kuliuliza darasa zima kwa sauti kama afute eneo la Mwanzo ili aendelee kuandika note. hivyo atarudi kwenye dawati lake na kumuomba shoga yake awaulize wanafunzi kama wamemaliza kuandika notes za eneo la awali ili afute aendelee kuandika note.

Ilikuwa inashangaza sana.

Ila cha ajabu alikuwa na urafiki na mshichana mmoja ambaye ni Extrovert (mcharuko/Muongeaji sana) .

YEYE NDIO ALIYE NIAMINISHA KUWA INAWEZEKANA INTROVERT AKAISHI PAMOJA NA EXTROVERT KWENYE ZIZI MOJA IKIWA KILA MTU AKUMUELEWA MWENZAKE.
 
Mkuu na wewe huwa unaahirisha safari ukiona watu?Kama Mimi tu

Mkuu Mimi niliwahi kuwa na mtu anaongea Kama redio, yaani anaweza kuongea hapa saa Zima anakulaumu tu.
Usipomjibu shida,ukimjibu shida aiseee.
Akichoka anasema naongea na mtu bubu? Ananiuliza nikate simu? namwambia afadhali maana duh
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😆😀😆dah
 
Hahaha Mkuu umenikumbusha mbali sana kuhusu sifa hiyo ya introvert.

Kuliwahi kuwapo na msichana fulani kipindi nasoma. yeye alikuwa ni mki9mywa wa kupitiliza aisee.Kama ni yuzo ya ukimya basi yeye alistahi;li kwa kipindi cha miaka yote ile nasoma pale shule.

Ila alipata kuwa na sifa moja kuu. Alikuwa muandishi bora pekee aliyetokea kupendwa na walimuwote waliawahi kutufundisha darasa letu. inapokuja kuhitajika mtu wa kuandika Ubaoni notes, basi yeye hakuwahi kutokewa na mpinzani hata wa karibu yake.

Ikawa anapo andika notes ubaoni na kumaliza , anaogopa kuliuliza darasa zima kwa sauti kama afute eneo la Mwanzo ili aendelee kuandika note. hivyo atarudi kwenye dawati lake na kumuomba shoga yake awaulize wanafunzi kama wamemaliza kuandika notes za eneo la awali ili afute aendelee kuandika note.

Ilikuwa inashangaza sana.

Ila cha ajabu alikuwa na urafiki na mshichana mmoja ambaye ni Extrovert (mcharuko/Muongeaji sana) .

YEYE NDIO ALIYE NIAMINISHA KUWA INAWEZEKANA INTROVERT AKAISHI PAMOJA NA EXTROVERT KWENYE ZIZI MOJA IKIWA KILA MTU AKUMUELEWA MWENZAKE.

Mimi nilikuwa nauliza tu bila matatizo.

Na nilikuwa na rafiki muongeaji, deskmate wangu.. ilikuwa ukinikuta Naye naongea yaani hutaamini Kama Ni Mimi

Mimi nilikuwa napona hadi zile fimbo za jumla jumla za kelele darasani.
Unakuta mwalimu anasikia kelele anakuja anacharaza fimbo darasa Zima..akifika kwangu unakuta anasema huyu mtoto nikimpiga ntakuwa namuonea tu(hiyo bahati niliipata kwa baadhi ya mwalimu tu)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tahadhari kwa extroverts
Ukiingia nyumba ya introvert mda wa msosi usikaribishwe ukaanza zile siasa za nataka staki. Ooh nimekuja nimekula mara we endelea tu mi niko poa nk. Mkuu hapa utashinda njaa kimasihara maana kwa hii michango ya wadau simuoni hata mmoja hapa atakae anza kukutongoza ule zile dizaini za onja hata kidogo jamani, ooh kwani ukila vitagombana tumboni nk. Watu wako straight forward sioni maafisa masoko na makatibu waenezi hapa
upo sawa.mimi huwa namkaribisha mtu mara moja tu.pia introverts kubembeleza mwanamke hatunaga akisema no.basi tunakula kona tunatafuta mwanamke mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
True, inakuwa unajihami hami sana. Wasi mwingi, hofu ya yaliyokukuta kutokea tena. Ila ulimwengu unakufunza. Unapata wanaokupenda unawakwepa, with time unajifunza ku relate nao bila kuweka hisia then comes a time una nasa tena and we are good at typing njoo face to face.
We love the space.

Sent using Jamii Forums mobile app
Last year nlifanya hii mistake ya kujivunga as kuna dem alianza kuonesha uelekeo na the first time 2013 nlimuandikia barua(kuongea hisia zangu ni ngumu sana) tkapotezana but last year tukakutana te na from hyo 2013 sasa nlivokuwa ja po katkati 2013-2018 nlipitia sekeseke na dem mwingne nikaona ngoja ntulie na dakika ya mwsho nlimuambia huyu wa 2013 kwamba sipo tayari kwa mahusiano kwa sasa (wakati moyoni nampenda) so we split akaondoka without even saying Gbye.Now najuta kwa nini sikufunguka mapema kumuambia ukweli.
"IntroV here"
 
Back
Top Bottom