Introverts Vs Relationship

Introverts Vs Relationship

Watu wanataka sijui tuwe tunatembea kusalimia majirani nyumba kwa nyumba

Wanataka utoke ukapige story...ni zoezi nilisiloliweza

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE
Mbaya zaidi usipowasalimia hawakusakimi alafu wanakusema. Hivi salami ni sio nlazima. Nilisha jenga mazoea nikisalimia watu zaidi ya Mara tano siku nikikauka wasinisalimie ndio imetoka.
 
Wewe

Wewe ni Introvert yule mwenyewe.
Suala la kupiga story na mtu linakuja pale unapokuwa confotable nae.

Sasa suala la kuringa hili haliepukiki kwa introvert. Kabla sijajijua ni Introvert nilikuwa naumia sana pale watu wakinisema kuwa nina dharau na maringo. Baadae nilikuja nikazoea kwa hivyo sipatishida.

Baby mama wangu mtarajiwa nilisha mwambia kuwa mimi ni introvert kwa huyo asije kushangaa pale maongezi yatakapokata tukiwa pamoja, naona kama ananielewa lakini kuna mda anajisahau anasema ninadharau.

Changamoto ninayo ipata saa hivi ni ile ya kula papuchi kimya kimya bila hata miguno. Hii inawaboa sana wanawake wengi sana. Sasa inabidi nijilazimishe tu lakini kwa baby mama wengi ni mwendo wa silent mode ilikuwaga

Aisee tuna mitihani mno mtu mpk ueleweke umepata tabu sana!
 
Hii kweli shida huyu anapenda mtoko huyu hapendi. Mmoja anajichanganya mwengine anapenda mkae nyie tu wawili. Au kuna muda wanakuwa wakimya kama umemuudh kumbe hamna shida kabisa, badae akisha charge akiwa full yy anakuchangamsha. Ila ukishamjua haikupi shida, unampa ka space kidogo akiwa yy na ww unakuwa ww then u meet n enjoy.

Sent using Jamii Forums mobile app
hahaaaa hii ni kweli..kuna gf wangu introvert siku za mwanzoni ilinipa shida sana...

anaweza akaamka asubuhi akawa kimya hata haongei mpaka najishtukia labda kuna kitu hakiko sawa...ila baada ya muda anachangamka

ila nimemuelewa sana now na hainipi shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanataka sijui tuwe tunatembea kusalimia majirani nyumba kwa nyumba

Wanataka utoke ukapige story...ni zoezi nilisiloliweza

Sent using Jamii Forums mobile app

Aisee hii kitu ilinishinda jamani sijui vya kutembelea mtu mara ushost wa hapa na pale yaani ni ulinishinda kabisaaa! It reach a point yng hadi simu yangu ikiita najua huyu ni flani na most of the time km sio mama yangu ni my boyfriend basi! Akipiga mtu mwningine ni ana jambo la dharura mno nishasemwa hadi na ukoo kua sipogii watu simu sasa najiuliza napiga niwaambie nini na wote tu wazima Mungu wangu! Boyfrnd wng ilikua anaulizwa kila siku umewezaje kua na huyu mwanamke au unaishije ishije nae vipi mara wengine ulimpataje bila kujua ni mimi ndie niliemtamkia kua I like him sema kumbe na yy alikua ana interest na mm muda sema alikua ananiogopa tu kwa hiyo ilikua ni kumsukuma mlevi tu...mwnyw anakwambia sikuwahi kujua una upendo kiasi hiki and unarespect ur man like this sababu nje mtu anakuona km jeuri...sijui watu wanakuaga na perpeception gani yaani
 
Aisee hii kitu ilinishinda jamani sijui vya kutembelea mtu mara ushost wa hapa na pale yaani ni ulinishinda kabisaaa! It reach a point yng hadi simu yangu ikiita najua huyu ni flani na most of the time km sio mama yangu ni my boyfriend basi! Akipiga mtu mwningine ni ana jambo la dharura mno nishasemwa hadi na ukoo kua sipogii watu simu sasa najiuliza napiga niwaambie nini na wote tu wazima Mungu wangu! Boyfrnd wng ilikua anaulizwa kila siku umewezaje kua na huyu mwanamke au unaishije ishije nae vipi mara wengine ulimpataje bila kujua ni mimi ndie niliemtamkia kua I like him sema kumbe na yy alikua ana interest na mm muda sema alikua ananiogopa tu kwa hiyo ilikua ni kumsukuma mlevi tu...mwnyw anakwambia sikuwahi kujua una upendo kiasi hiki and unarespect ur man like this sababu nje mtu anakuona km jeuri...sijui watu wanakuaga na perpeception gani yaani
Hahah!
Mimi simu yangu kwa sasa nimeweka silent mode.
Sitegemei kupigiwa..wanaonipigia wote nipo nao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
95% Wewe upo kama mimi, kilichotutofautisha ni jinsia tu nadhani.

Mimi nipo kundi ganj sasa?

Ni muongeaji mzuri tu nikiamua kuomgea tena nina story hasa na mtu akinianza kuniongelesha atahisi rafiki kapata ila nikitoka hapo simtilii maanani tena yaani hata anaweza nitxt nisijibu kwa wakati akapiga cm nisipokee nakua sijisikii kuongea nae au kuchat nae!

Napenda kukaa ndani tena peke yangu naweza kukaa ndani hata siku tatu nisionekane nje! Nimesoma shule zote day school ila ht majirani walikua wanadhani niko boarding na sijawah kuchoka kukaa ndani.

Sina marafiki na i hate friends nawachekea juu juu tu ila sijawahi kuwaamini na wala sijawahi tendewa nao ubaya! Sipendi kuongozana na mtu km ushost yaan ht nilivyokua chuo ni nitoke room kwangu niingie class nitoe hi niweke earphone niingie netflix niamgslie movie km lecture hajaingia kimyaaa ila ukiniongelesha narespond kwa bashasha mok unaweza shangaa

Napenda kutoka out peke yangu nijinunulie kinywaji changu nisikilize mziki ila asije mtu kunipa company ananiharibia tu starehe ht km ananijua anisalimie tu apite aniache alone.

Am a girl ila nikimpenda mtu namwambia straight forward kua i like u sinaga aibu yaani na nikiwa na mahusiano my boyfrnd anakuaga anatake over almost ratiba yote ya maisha yng yaani ni mimi na yy sijui inakuagaje ht awe vp utashangaa tumestick together and life is all abt us inshort na yy automatic anapoteza marafiki anakua na mimi tu na sijawahi command hilo kwa mwanaume nilienae.

Am very confident hasa kwenye kujieleza pale itapotakiwa nifanye hivyo siogopi mtu wala watu eg. kwenye presentation ilikua lzm nipate extra points

Naweza nikacheka na ww nisijue ht jina lako nimesoma na baadhi ya watu miaka3 mitatu kozi moja darasa moja ila siwajui majina na wengine siwajui hata sura zao!

Nikipenda napenda haswaa na nakuaga km nina ka convicing power fulani hv..sifokeagi mwanaume wala kumuamrisha ila automatic anakua vile ninavyotaka awe and ina turn out kua healthy relationship ever.

Nina huruma mnoo..ni mwepesi kutoa msaada ila mgumu kukopesha hela yaani bora nikupe kidogo sababu siwezi kudai...naonekana km kauzu ila hakuna mtu ninaeumia emotionalyy km mimi.

Nina wivu wa mapenzi sijawahi ona yaani i want my man to be only mine nikinusa harufu ya usaliti nahisi km moyo unachemka kwa hasira I can even kill wallah personally nikipenda nimependa

Nina visasi yaani ukiniudhi kitu kikaniingia sawasawa lazima nitakulipizia tuuu hata baada ya miaka.

Naambiwaga ninaringa na nina dharau while najiona sina tabia hiyo sababu kutoka moyoni naheshimu kila mtu kwa class yake na sipendangi kumjudge mtu inshort niseme hua na mind my own business na mwanaume ambae niko nae tu.

Hata uniseme au unisengenye nakuona hv usitegemee nikareact na nikiamuaga kitu nimeamua sitaki mtu anibadilishe mawazo yangu nahisigi nilichoamua kiko sahihi maana natumiaga mda mref sana kufikia maamuzi.

Nipo kundi gani? Extrovert? Introvert? None of the above au wapi exactly?
 
Mimi ndani ya miezi hii miwili siku nilizotoka hazizidi 5

Huwa natoka kwa vitu muhimu tu.
Hata nyumbani Kama Sina Cha muhimu Cha kufanya nje ninaweza nikakaa chumbani siku nzima

Sent using Jamii Forums mobile app
🙄
Dawa ya wewe ni kukuwekea mjusi humo chumbani mbona utatoka tu!
Kama sio mjusi basi ni mgegedo mpaka humo chumbani utapaona jehanam..😜
 
Mi ni introvert, tena yule hasa kabisa kabisa!
ili niwe sawa lazima nidate Ambivert
Nikidate intro mwenzangu nafwa
nikidate extro balaa

sasa hawawa kati hawa ndo wanakuwaga my most memorable relationships!
 
Back
Top Bottom