Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Itakuwa vyema nikija kumsaidia mama kukutoa au wasemaje..??😉
Itakuwa vyema nikija kumsaidia mama kukutoa au wasemaje..??![]()

Ila usijekukimbia maana na maswala ya kulia hapana! Maana ukikataa natoa kisago cha mbwa Koko😜😜
Ila usijekukimbia maana na maswala ya kulia hapana! Maana ukikataa natoa kisago cha mbwa Koko![]()

Toba wee mi comedian..??
Mimi ni extremly introvert, nilioa extrovert ndoa ya miaka 8 haikudumu.
Toba wee mi comedian..??
![]()
Mi sio comedian mi ni jf expert member.
Mods pigeni ban huyu this isn't okay
Yani mpaka nachanganya na kiingilishinikikukamata!
![]()

Haha! Niliambiwaga hivyohivyo ati unakipaji nikaenda kukipajisha kilichonikuta sikumbuki meno yangu mawili ya mbele yaliwezaje kudondoka kwa sekunde moja tu wakati nayaaminia lkn yalikutana na binadamu alienzisha ule usemi mwana kulitaka mwana kulipata!

Hayo ya vipaji kaeni navyo nyie tu binafsi nimestaafu na mapengo yangu mawili yamebaki kama kumbukumbu au mafao ya kustaafu.

Dah! Mi nakujibu we unaona vituko!!
Dah! Mi nakujibu we unaona vituko!!
Hilo halikutosha sikukoma kuna siku nilikutana na binadamu huyo nafikiri ni professional wa kung'ata!
Alining'ata kwenye kisogo walahi nisinge piga kelele angeniuwa yule mpuuzi maana ngumi zangu alikuwa hasikii ila ile uma yake hapo ndo nikajua Yule aliesema ubinadamu kazi alikuwa anamaana kama hii inayonikuta hapa

Sawa mi aenda kojoa kisha alala korona taja nichika bure tunachati bila barachoa..
Sawa mi aenda kojoa kisha alala korona taja nichika bure tunachati bila barachoa..

Lazima nijali maana hujavaa barakoa ila umevaa barakaoa😜😂
MUNGU wanguLazima nijali maana hujavaa barakoa ila umevaa barakaoa![]()

Pole.. ila kwa mbali koma😜
Pole.. ila kwa mbali koma
Sikunyengine unapodanganya kuwa mdanganyifu makini! Kavue hiyo barakaoa yako kavae barakoa..