Hii kweli shidaIntrovert + Introvert hii wala haiitaji mbwembwe.. ndg intro + extro mmh..
Sent using Jamii Forums mobile app


huyu anapenda mtoko huyu hapendi. Mmoja anajichanganya mwengine anapenda mkae nyie tu wawili. Au kuna muda wanakuwa wakimya kama umemuudh kumbe hamna shida kabisa, badae akisha charge akiwa full yy anakuchangamsha. Ila ukishamjua haikupi shida, unampa ka space kidogo akiwa yy na ww unakuwa ww then u meet n enjoy. 
True, inakuwa unajihami hami sana. Wasi mwingi, hofu ya yaliyokukuta kutokea tena. Ila ulimwengu unakufunza. Unapata wanaokupenda unawakwepa, with time unajifunza ku relate nao bila kuweka hisia then comes a time una nasa tenaReal intro ni waoga wa kuumia so they defend themselves sooo much hii inaleta shida nyingi kwenye uhusiano.
They calculate the future soo much mpaka wanasahau kuiishi leo.


and we are good at typing njoo face to face
.Waambie na wengine tufanyieni wepesi sisi upole wetu,ukimya sio kwamba ndo tunatakiwa kuwa mapadri hakuna na sisi tunataka😂😂
Ngoja niwaambie wawafanyie wepesiWaambie na wengine tufanyieni wepesi sisi upole wetu,ukimya sio kwamba ndo tunatakiwa kuwa mapadri hakuna na sisi tunataka![]()



it is fun though ukijijua na kumjua mtuUkijitune unaweza kubadilika, kuwa kimya kabisa inawezekana.....Wanaweza,lakini muda mwingine ni ngumu sana...hata akibadilika hawezi badilika completely,lazima baadhi ya tuchembechembe tubaki
Sawa na mtu mwongeajji aliezoeana na watu ,anaweza kuwa mkimya?,mfano mpoki (yule mchekeshaji)
Sijui kwanini tupo hivyo, nyumbani nilihakikisha chumba changu kina kila kitu, meza ya PC, TV, DVD, PS3, sometimes even drinks and snacks, siku sina mishe naweza hata kibarazani nisifike. Watu wakija niulzia mwanzo walkuwa wanaambiwa sipo, walivyonzoea wakawa wanakuja niambia kama nina mgeni au la. Shule, watu wakitoka naweza kuwa was mwisho au naenda ila nawahi kurudi nakuwa class muda mrefu. Nna rafiki yangu mmojaanapenda kukaa room kwake peke ake, hapendi chats , kumuona mpaka umfate, yani anaishi kivyake tu japo mimi nili change kwa ajili yake lakini mwisho i had to let go
Sent using Jamii Forums mobile app


alikuwa anantania usipende kukaa peke yako peke yako utajinyinga bure. 


ila kuna muda tukijichanganya tunawazoea wachache na huwezi jua kama ni wakimya hivyo. Wacheshi pia, na tuko na ujinga mwingi.Ni ngumu Sana boss.
Extrovert wanapenda kujionyesha waleNgoja niwaambie wawafanyie wepesi
Mimi mwenyewe Nina vijitabia vya uintrovert..
Yaani Ni ngumu Sana kuendana na mtu extrovert
Sent using Jamii Forums mobile app



Hahahaha true, mm na yy wote intro. Ila tunajuana. Nikaa kimya sana, ananichokoza kwa kunisemesha au kunigusa. Najua anajaribu hakikisha kama sijakasirika, na mm akikaa kimya na mwangalia tu uso namjua. Ila kazi kama mtu hawezi tuelewa na kweli unaona kabisa unamtesa na kumpangia mtu. Mwenzio anataka akienda out awe na watu wake, unaenjoy tu kiwepo mahali pale pawe na watu au la. Club unaweza enda hata kama wako watu wachache, unaenjoy music na kuwa tipsy kidogo ila bila bugudha.Haha eti nje nje , ni kweli maana kwenye mahusiano kikubwa ni communication ndo kitakacho saidia mambo yaende
Nilitoka na mwanaume introvert yaani mambo yalikuwa magumu nikashindwa hiyo ya mimi kumuanza mwanaume
sipendi hivyo mwisho wa siku unaona huyu hanipendi kumbe mwenzako yupo na yake
Sent using Jamii Forums mobile app