Introducing teamrafiki

Introducing teamrafiki

Nimepita hapa

Ok, Mndengereko nikaribishe member mpya#team rafiki

bidada karibu #teamrafiki kama ulivyoona hpo juu kwenye thread ajenda yetu kuu ni kudumisha urafiki na ukaribu wetu kama membeer wa jf na kussoport kwa nguvu zetu zote kampeni ya kuepuka michepuko sio kwani sio dili na kushuriana mambo mengine mema kati yetu kama binaaamu so karibu kundini member wapo watakupokea.
 
kama ni kuchangia nenda kwa wakuu wahusika mafounder wetu
kule eeeeee
na kama ni kujiunga basi wakaribishwa sana

Habari zenu wakuu. toka nilipojiunga jf sijawahi kuchangia. Ila leo kwa heshima na taadhima naomba kukaribishwa team rafiki.
 
Last edited by a moderator:
nataka nimchanie mistari Excel anazingua sana.

kijana, bado nakupima tu....!

bado napima madhara utakayoyapata kutoka
9d9428f470ba61fee0a03fb69a54864e.png


jihadhari!
 
Back
Top Bottom