Introducing teamrafiki

Introducing teamrafiki

Last edited by a moderator:
Mkuu Excel tunauangalia usajili wako kwa makini maanaunaonekana unaleta dharau ambazo kwetu hakuna kitu kama hicho
#teamrafiki haina shida ya kifedha na wala haihitaji wenye uwezo na dharau kama wewe kuwa miongoni mwao ila tunahitaji watu ambao wanaqualify kuwa marafiki nawasiokuwa na chembe ya kumuona mwenzake hana maaana
Kwetu watu wote ni sawa hakuna ubaguzi wa kifedha au kihali ya maisha
So kuwa makini sana
cc Mndengereko, utafiti, Tized, Ntuzu,
 
Mkuu Mr Rocky Huyu ndugu Excel namuonea huruma sn! Km Ukianza kumsema anakosa raha sn na kuanza kulalamika!

Niseme wazi Karucee apitishe maamuzi juu yake!
 
hahahaaaa!!! ngoja nione ninavyopigwa aisee!! unaijua NAM mr rocky?
 
we dogo mbona una kiherehere hivyo! kusajiliwa kwenyewe bado... fomu hata kuprintiwa bado!

mbona unachonga saaaaana! lol! i bet, you will be the reason for the fall... eenh!

Hatutaki maharibiko ktk timu yetu (#teamrafiki) thus why mabazazi kama wewe na Mndengereko either mkubali kama mlikua mabazazi na mtuhakikishie mnaacha mara moja or mbaki huko huko!
 
Mkuu Mr Rocky Huyu ndugu Excel namuonea huruma sn! Km Ukianza kumsema anakosa raha sn na kuanza kulalamika!

Niseme wazi Karucee apitishe maamuzi juu yake!

naomba nipatiwe organisation structure tafadhali..

itanifaa sana... nianze kusimama na viongozi wa ngazi za juu kwanza
 
Last edited by a moderator:
Knick knack, paddy whack

Give the dog a bone

Give the dog a bone

And he'll find his way home
 
Back
Top Bottom