Introducing teamrafiki

Introducing teamrafiki

Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
nafasi ziko wazi #teamRafiki ...vigezo na masharti kuzingatiwa mwekundu...halafu we ndo mwenyekiti wa mabazazi,kuna faida gani kwenye ubazazi kama sio kuharibu na kupindisha maadili tu,badilika basi ee

HAPANA MIMI SIO MWENYEKITI LAKINI NASHANGAA MWENYEKITI AMETANGAZA KUHAMA CHAMA WAKATI KADI BADO HAJARUDISHA CC Nicas Mtei Mentor
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha sijawahi ona mwenyekiti ambaye ametunga sera anahama chama !!!NYOKA NI YULE YULE SUMU ILE ILE SEMA KALIVUA TU GAMBA

watu wanabadilika mkuu bado wewe tu kubadilika karibu kundini hujachelewa, Mentor kavutwa kundini na shemeji yetu
so ana ahaki ya kuwakimbia huko ambako mnasema alikuwepo ingawaje mwenyewe ameshathibitisha hakuwepo cham hicho
cc : mwallu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom