Introducing teamrafiki

Introducing teamrafiki

sezae Ntuzu i warned you,remember?..ukawa unatetea saana liasi cha kunishawishi..
hata ivo,anaweza kubadilika akiamua


Ebu Kua na subira! Km Ni mtu Wa hila tutamjua tu! Maana kauli zake zingine mmmmmmmh!
 
Last edited by a moderator:
hapo bold 'yes'..ila kukujua :nono::nono:
kwa heshima ya sezae Ntuzu...nanyamaza..wacha niwe na subra kama alivosema
mbona wawa kigeu geu? umetamka wanifaham.. sasa wanikataa!! hebu kuwa moja basi tukuelewe!

moto au baridi?
 
Last edited by a moderator:
hapo bold 'yes'..ila kukujua :nono::nono:
kwa heshima ya sezae Ntuzu...nanyamaza..wacha niwe na subra kama alivosema

kwanini lakini leo umeniamkia hivi? unajua niko kwenye mood gani lakn?

sorry if i answered you wrong anywhere.. similarly to Ntuzu... take it easy... iam furious sometimes.. i know myself..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom