Introducing teamrafiki

Introducing teamrafiki

nadhani miss neddy anatakiwa kuwa makini na wewe..no wonder hukutaka kujibu swali langu

makini haswaaa!!! siwezi oa mwanamke asiyejitambua mwallu.. nina mambo mengi ya kufanya..

remember... silence = death..
 
Last edited by a moderator:
Excel..nakufahamu kabla hujamchumbia mdogo wangu miss neddy
kwa hiyo kama ni kujitambua....dogo wangu anajitambua kuliko unavojitambua...karibu #teamRafiki ..ni kiasi tu cha kuamua na kubadilika
makini haswaaa!!! siwezi oa mwanamke asiyejitambua mwallu.. nina mambo mengi ya kufanya..

remember... silence = death..
 
Last edited by a moderator:
you belong here watu kama nyinyi hamuhitaji hata kukaribishwa ni direct member wa [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Team]#Team rafiki[/URL] coz tupo tunafahamiana kabla hata ya [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Team]#Team rafiki[/URL] haijaanzishwa rasmi by the way sasa tunakazi ngumu ya kuwaelimisha [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Team]#Team bazazi[/URL] wafuate njia sahihi na kuhamia [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Team]#Team rafiki[/URL]
R.I.P #Team Bazazi, Long Live #Team Rafiki!!
 
sezae Ntuzu i warned you,remember?..ukawa unatetea saana liasi cha kunishawishi..
hata ivo,anaweza kubadilika akiamua
Hizi kauli zako zantia Mashaka!
 
Last edited by a moderator:
Excel..nakufahamu kabla hujamchumbia mdogo wangu miss neddy
kwa hiyo kama ni kujitambua....dogo wangu anajitambua kuliko unavojitambua...karibu #teamRafiki ..ni kiasi tu cha kuamua na kubadilika

nilikupa nafasi ya kunielezea kwa kina unanitambua vipi.. ukashindwa, sasa wasema wanijua... mimi ni nani hasa mwallu?
 

Ok! Hayo ndio maneno!
Lakini mbona wewe ni #teambazazi afu ni mwenyekiti wa #teamrafiki ?
Umerudisha lini card yao?
...
Afu naomba kujiunga na #teamrafiki ! Au sina sifa?
 
Back
Top Bottom