hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 51,629
- 74,037
HahaaIla kwa post zenu wabongo wengi wenu ni wachawi na wanga. Na kama mkiruhusiwa tutalogana hata kusiwe na kigenge mtaani
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaaIla kwa post zenu wabongo wengi wenu ni wachawi na wanga. Na kama mkiruhusiwa tutalogana hata kusiwe na kigenge mtaani
HahaaWale jamaa wananishangaza sana anaweza kupa business plan ukifikiria unaona kabisa unatoboa
Ila ukiangalia yeye sasa kiatu chake kimelika sori upande 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
.
Hali si haliDuh Figo tena?
Nyenyere hakwenda msibani Machame?amna washawasha bado anakomaa
Mkuu umewahi kusoma kitabu cha "Je Umelogwa?"
Ndani yake kuna hadithi ya "Binadamu Uroho Bin Uhondo"
Kisa hiko kimekaririwa vyema na Dr mtarajiwa Gasper Mollel wa Rangers Safari Arusha. Inahusu mtu kujifanya hayakuhusu wala hayakugusi.
Mpaka 2020 watafutika wooote. Watabaki wale ma-MC wa corporates tu.Hao inspirational speaker awamu zilizopita walikua wakisema "Nilianza na mtaji wa shilingi 7,000/ saivi nina utajiri wa milion 200 ".. ila awamu ya wazalendo wanashinda kutudanganya maana wakisema wameanza na 7,000/- tunajua kuna 20,000/- kodi ya kichwa.
Hivyo bora wale kona.
Mpaka 2020 watafutika wooote. Watabaki wale ma-MC wa corporates tu.
Joisi Kirua nae Motivational Speaker. Hakika ni vitimbiUkiona unaitwa kwenye fursa ujue ww ndio fursa.
Ukiona unaitwa kwenye fursa ujue ww ndio fursa.