Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,220
- 39,854
Haya mambo tuwaachie huko nchi za wenzetu watu kama Wesley Virgin au Jay shetty wanaajiriwa kwenye team za Basketball au Golf msimu mzima kutoa motisha kwa wachezaji sio sisi jamani.
Naona toka Boss Ruge atutoke hawa jamaa wanapotea kama Nikki wa pili uyo.
Dogo janja naye alikua motivational speaker kwa nafasi yake![]()


