REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 5,164
- 11,270
Hususani wale jamaa wa mjengoni kila mtu alitaka kuwa motivation speaker haaa haaa ajabu anakupa strategies ya pesa tena anakwambia ukitaka fanikiwa jiajiri ila yeye bado kajiliwa tena anamkaa saa kumi na mbili asubuhi kuwahi kazini
