kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,778
- 12,187
lazima ikutandike si uliingia kibwege
lazima ikutandike si uliingia kibwege
Teh teh teh mwalimu wa ujasiriamali yeye mwenyewe ukisema awe mjasiriamali hawezi Ila anaweza kukusanya pesa za viingilio tuMtu kama Bahresa, Dewji, Mengi....ndio walitakiwa kuwa Inspirational speaker maana wana ushahidi....wa kimapambano na kiutajiri.....sasa tz makabwela akina pangu pakavu ...ndio kina Mr motivation speaker!!??haiingii akilini hata kidogo
Pilipili U MC unamlipa aiseeeSteve Mengele aka Nyenyere na Pilipili walianzisha Stand up comedy ikafa asubuhi na mapema
Wanawake wengi wamegeuzwa FursaMbona kama wameongezeka..women event's
Mara girlpower
Mara youth blah blah
Kuna mpaka tuition za ndoa za wajawazito.... N.k
Mnataka? We na nani?Tunataka watu wafanye kazi hasa physical work.
Ni kweli tupuMaisha yakiwa magumu sana watu hawasikilizi mtu yyte....
😂😂😂eti shabiki wa yangaKuna Sister nilikutana naye kwenye basi kwa jinsi nilivyopauka kwa vumbi la mkaa akajua labda nina ngoma,akanipa kikaratasi akitangaza wanayo hospital inatoa tiba mdabala,inatibu magonjwa sugu na bla bla bla kibao,cha kushangaza huyo siter alikuwa anakohoa kinoma,nikajiuliza mbona na yeye hajitibu kwa hizo tiba mbadala?
Utakutana na hawa watu wanaouza mafuta sijui yanaondoa chunnusi na bla bla kibao,yeye anayeuza hayo mafuta uso wake una chunusi utafikiri fenesi au wanauza dawa za meno kwa kusema zinangarisha meno na bla bla kibao,ukiyacheck meno ya huyo muuzaji utafikiri ni Shabiki wa yanga.
Huwa sinaga upuuzi wa kusikiliza watu wa type hizo.
Na huo ni ujasiriamali kuaminisha jamii na kutoa pesa yao kukusikiliza siyo kazi ndogo.Teh teh teh mwalimu wa ujasiriamali yeye mwenyewe ukisema awe mjasiriamali hawezi Ila anaweza kukusanya pesa za viingilio tu