Enyi wahamasishaji mnaosemwa kuwa mmeishiwa ni kweli mmeishiwa? Basi hamuoni mbali na mnapanga karibu. Jamii ina matatizo ambayo hayatokaa yaishe ndiyo fursa ya ninyi kula kwa kupiga mdomo tu mjini hapa.
Hii ya kudakia ufugaji wa sungura sijui mende, kware ni upepo tu.
Mfano mtu anaweza kujiengage katika kuhamasisha watu ulaji wa chakula bora/mpangilio mzuri wa kula ili kuepuka magonjwa yanayotokana na ulaji wa hovyo, uzito uliopitiliza na unene uliopitiliza. Ukifanya hivi kuna watu utawapata utawaunga kwenye magroup ya whatsApp na utawalipisha kiingilie kazi yako ni kuwaeleke wale nini asubuhi mchana na jioni. Muwe makini tu msijewalisha sumu watu walio desperate.
Kuna watu utawapata tu ila sio mimi maana Google napajua. Kila la heri 😀