and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,116
- Thread starter
- #21
Hivi inspirational speakers wanalipaga Kodi TRA?
Poor you. Huwezi ku-understimate role ya inspirational speakers. Jamii ina matatizo mengi mengine yakiwa ni Uvivu, Ugonjwa wa akili na Sonona etc. Hawa watu wanastahili kupewa message ya kuwakumbusha kuwa hawajachelewa to be what they wanna be. Inspirational speak wengi huja ku-share skills zao na perception kuhusu maendelo or Jinsi ya Kujikwamua. Lakini kwa Akili yako ndefu na Pana, Umewaona ni wapiga dili!! Hahaha...Katika kuonyesha kuwa awamu hii hamna janja-janja wale ndugu zetu watia rangi kwenye maisha (Inspirational Speakers) wamezidi kupungua na kutafuta shughuli halisi na kuachana na mambo ya kupiga domo tupu. Asante sana Mheshimiwa. Tuendapo hata Ma-MC watatoweka kwenye ramani.
Semina za Redio Mawingu zilikuwa zinawajumuisha kina Nikki wa 0 wakati mwenyewe anaganga njaaWale jamaa wananishangaza sana anaweza kupa business plan ukifikiria unaona kabisa unatoboa
Ila ukiangalia yeye sasa kiatu chake kimelika sori upande 😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Wale jamaa wananishangaza sana anaweza kupa business plan ukifikiria unaona kabisa unatoboa
Ila ukiangalia yeye sasa kiatu chake kimelika sori upande 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
We jamaa bwanaKuna Sister nilikutana naye kwenye basi kwa jinsi nilivyopauka kwa vumbi la mkaa akajua labda nina ngoma,akanipa kikaratasi akitangaza wanayo hospital inatoa tiba mdabala,inatibu magonjwa sugu na bla bla bla kibao,cha kushangaza huyo siter alikuwa anakohoa kinoma,nikajiuliza mbona na yeye hajitibu kwa hizo tiba mbadala?Wale jamaa wananishangaza sana anaweza kupa business plan ukifikiria unaona kabisa unatoboa
Ila ukiangalia yeye sasa kiatu chake kimelika sori upande 😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Tukiendelea kwa mwendo huu kwa miaka 10 tutaushangaza ulimwengu.Inspiration speakers walizoea mtelezo wa Ganda la ndizi!! Wanajifanya wao wanaziona fursa lakini yeye mwenyewe au hata ndugu yake wa karibu hajawahi itumia fursa hiyo!!!! Walikuwa wapigaji sana hawa!!! Jiwe limefanya jamaa wamepotea kabisa!!! Watafute kazi zingine zakufanya!! No ujanja ujanja!!!shubammiit!!!
Hiyo ya chunusi kama namuona jamaa mmoja hivi uso wake ulikuwa na mabonde na milima.Lakini ye ni muuzaji wa suppliments na dawa za kufanya ngozi iwe softKuna Sister nilikutana naye kwenye basi kwa jinsi nilivyopauka kwa vumbi la mkaa akajua labda nina ngoma,akanipa kikaratasi akitangaza wanayo hospital inatoa tiba mdabala,inatibu magonjwa sugu na bla bla bla kibao,cha kushangaza huyo siter alikuwa anakohoa kinoma,nikajiuliza mbona na yeye hajitibu kwa hizo tiba mbadala?
Utakutana na hawa watu wanaouza mafuta sijui yanaondoa chunnusi na bla bla kibao,yeye anayeuza hayo mafuta uso wake una chunusi utafikiri fenesi au wanauza dawa za meno kwa kusema zinangarisha meno na bla bla kibao,ukiyacheck meno ya huyo muuzaji utafikiri ni Shabiki wa yanga.
Huwa sinaga upuuzi wa kusikiliza watu wa type hizo.
Tanzania Hakuna Motivational/Inspirational Speakers!Wote Ni Matapeli Tu!Wanagoogle huko then Wanakuja Kuongea Kiingilio 20 elfu!PumbavuKatika kuonyesha kuwa awamu hii hamna janja-janja wale ndugu zetu watia rangi kwenye maisha (Inspirational Speakers) wamezidi kupungua na kutafuta shughuli halisi na kuachana na mambo ya kupiga domo tupu. Asante sana Mheshimiwa. Tuendapo hata Ma-MC watatoweka kwenye ramani.
Kwelii. Akiwemo MauqTanzania Hakuna Motivational/Inspirational Speakers!Wote Ni Matapeli Tu!Wanagoogle huko then Wanakuja Kuongea Kiingilio 20 elfu!Pumbavu