and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,116
- Thread starter
- #201
Hali ya Inspirational Speaker feki ni tete
Sure. Wenyewe maisha yameshawapiga vibaya
KabisaNaona watu wanapoozea machungu kwenye huu uzi.
Safi sanaMake Tanzania Great Again
MarioooHuyu Antony hata kuongea hajui..yaan hawez kui-inspire
Kweli kabisa, wakalime korosho watakuwa matajiri.Tunataka watu wafanye kazi hasa physical work.
Hii post imekaa kihutu hutu zaidi ikisapotiwa na usukuma mtupu! Mna roho ya korosho , Hasara kwa watanzania
Hivi kuna wale labda unaenda zako posta unashangaa anaaza kuaza kitabu sijui eti cha uchumi wakati yeye mwenye aliyekiandika anapigwa jua njia nzima