and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,218
- 39,701
Katika kuonyesha kuwa awamu hii hamna janja-janja wale ndugu zetu watia rangi kwenye maisha (Inspirational Speakers) wamezidi kupungua na kutafuta shughuli halisi na kuachana na mambo ya kupiga domo tupu. Asante sana Mheshimiwa. Tuendapo hata Ma-MC watatoweka kwenye ramani. Watu wata-volunteer kuwa Ma-MC kwenye sherehe za ndugu zao kubana matumiz kwa kukodisha MC na Muziki na wakati Nyimbo zote zipo kwenye Flash.