Ni kama waganga wa kienyeji tuu....Wale jamaa wananishangaza sana anaweza kupa business plan ukifikiria unaona kabisa unatoboa
Ila ukiangalia yeye sasa kiatu chake kimelika sori upande 😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Mkuu unaweza kuambiwa waganga wa kienyeji wanaponya watu kwa "placebo effect" sehemu ambazo hazina huduma rasmi za afya, na hivyo ni watu muhimu sana katika jamii.Ni kama waganga wa kienyeji tuu....
wameishiwa pumzi chezea chapa ng'ombe wewe. habari ya mjini sasa hivi ni dreamliner tu mengine sijui nn watu hawaelewi!!!Inspirational Talker wamebinywa mbavuuu
Mkuu hiki kitabu naweza kukipata wapi?Mkuu umewahi kusoma kitabu cha "Je Umelogwa?"
Ndani yake kuna hadithi ya "Binadamu Uroho Bin Uhondo"
Kisa hiko kimekaririwa vyema na Dr mtarajiwa Gasper Mollel wa Rangers Safari Arusha. Inahusu mtu kujifanya hayakuhusu wala hayakugusi.
Kuna Sister nilikutana naye kwenye basi kwa jinsi nilivyopauka kwa vumbi la mkaa akajua labda nina ngoma,akanipa kikaratasi akitangaza wanayo hospital inatoa tiba mdabala,inatibu magonjwa sugu na bla bla bla kibao,cha kushangaza huyo siter alikuwa anakohoa kinoma,nikajiuliza mbona na yeye hajitibu kwa hizo tiba mbadala?
Utakutana na hawa watu wanaouza mafuta sijui yanaondoa chunnusi na bla bla kibao,yeye anayeuza hayo mafuta uso wake una chunusi utafikiri fenesi au wanauza dawa za meno kwa kusema zinangarisha meno na bla bla kibao,ukiyacheck meno ya huyo muuzaji utafikiri ni Shabiki wa yanga.
Huwa sinaga upuuzi wa kusikiliza watu wa type hizo.








Mkuu watu wanaupeo mdogo sana. Nadhani ndio kama unavyosema huenda ni wivu maana hao wazungumzaji hawana nguvu ya kumlazimisha mtu na wanafanya kitu wanaona kinawafaa na kinawafaa wengine. Role yao ni kusaidia watu ku-sharpen their saw na wao kujipatia kipato chao na ni industry ipo duniani kote,kupungua kwao kama ni kweli si ishu sababu awamu hii kila sekta imeyumba na mtu hapaswi kufurahia sababu impact yake itamfikia tu soon or laterBinafsi mtu akiniambia "madalali wanapungua, uchumi huu hautaki watu wanaoishi kwa ujanja ujanja wa kunyonya wenzao tu" naweza kumuelewa kuliko mtu akisemahivyo kuhusu "inspirational speakers".
Kwa nini?
Madalali wana ji impose wao kwenye maisha yetu katika shughuli na bidhaa za muhimu ambazo tunahitaji na ni za lazima.
Ukitaka kupanga chumba, kununua nyumba, kununua gari, utakutana nao.
Wanaongeza bei na kuchukua cha juu chao. Mara nyingine huwezikuwaepuka.
Hawa mtu akiwalalamikia na kufurahi wanapungu nitamuelewa sana.
Hao inspirational speakers ukiwasema, watu hawakulazimishi uende kwao wala semina zao si za lazima sana, wanajipigia hela kwa domo kivyao tu, ukisema unafurahi kuona wanapungua, watu wakasema unaona wivu wa kile Wajerumani wanachokiita "schadenfraude" (kufurahia mabaya yanayompata mwenzako bila wewe kufaidika lolote) naweza nikaona sababu ya watu kusema una wivu.
Hawa watu hawakulazimishi uende kwao,unaweza kuwapotezea tu.
Kama wanaishikwa ujanja ujanja wewe kinachokuuma ni kipi as long as wanafanya kazi zao legal na hawakulazimishi wewe uwalipe?
Madalali angalau naweza kuelewa wame tight sekta muhimu utawatumia utake usitake.
Hawa motoivational speakers hata kamawapigaji tu, wanatumia midomo kutengeneza pesa, kama kuna watu wanahitaji huduma yao na wanaipata kwa maelewano bila mtu kulazimishwa, tatizoliko wapi?
Amount of disposable incomein the economy is an indicator of the strength of the economy.
Unaweza kushangilia motoivational speakers wanapungua, kumbe hujui unashangilia uchumi kusinyaa na kesho utasikia effects zake hata wewe.
Sijawahi kuwafatilia,ila nshakutanaga na mmoja akawa ananipa darasa nikawa namskiliza tu tulikuwa kwenye basi tulikuwa tunaenda DomBlah blah nyingi Bongo hii. Watu tuingie kupiga business halis tuache kuuza maneno matupu/bongo movie