antibiotic
Member
- Apr 4, 2012
- 36
- 47
Jeol Nnauka sio daktari, baada ya kufaulu combination ya pcb alienda kusoma udsm..kwa hyo joel nanauka amerudi katika profesional yake ya udaktari au...?2
Jeol Nnauka sio daktari, baada ya kufaulu combination ya pcb alienda kusoma udsm..kwa hyo joel nanauka amerudi katika profesional yake ya udaktari au...?2
Huyu alidanganya sana dada zetu wa kibubuShamim mwa.sha
Ova
Hiyo jamaa yuko vizuri sana? Kwa hiyo Taaluma yake ni utabibu?kwa hyo joel nanauka amerudi katika profesional yake ya udaktari au...?2
Ha ha haWamenyemeke haswa sio kucheza na Microphone tu
Yes mkuu kasomea nje udaktari.jamaa aliwahi kuwa T.O o level.
Tanzania One (T.O) salio la kuunga.Yes mkuu kasomea nje udaktari.jamaa aliwahi kuwa T.O o level.
Nashangaa saivi ni motivesheni
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine wanajitia midoko ya minduku hahahaKatika kuonyesha kuwa awamu hii hamna janja-janja wale ndugu zetu watia rangi kwenye maisha (Inspirational Speakers) wamezidi kupungua na kutafuta shughuli halisi na kuachana na mambo ya kupiga domo tupu. Asante sana Mheshimiwa. Tuendapo hata Ma-MC watatoweka kwenye ramani.




Tofauti ipo kwenye bei za kupiga lakini wote wapigaji.Inspirational speaker na motivational speaker tofauti yao ni ipi?
schadenfraude" (kufurahia mabaya yanayompata mwenzako bila wewe kufaidika lolote)Binafsi mtu akiniambia "madalali wanapungua, uchumi huu hautaki watu wanaoishi kwa ujanja ujanja wa kunyonya wenzao tu" naweza kumuelewa kuliko mtu akisemahivyo kuhusu "inspirational speakers".
Kwa nini?
Madalali wana ji impose wao kwenye maisha yetu katika shughuli na bidhaa za muhimu ambazo tunahitaji na ni za lazima.
Ukitaka kupanga chumba, kununua nyumba, kununua gari, utakutana nao.
Wanaongeza bei na kuchukua cha juu chao. Mara nyingine huwezikuwaepuka.
Hawa mtu akiwalalamikia na kufurahi wanapungu nitamuelewa sana.
Hao inspirational speakers ukiwasema, watu hawakulazimishi uende kwao wala semina zao si za lazima sana, wanajipigia hela kwa domo kivyao tu, ukisema unafurahi kuona wanapungua, watu wakasema unaona wivu wa kile Wajerumani wanachokiita "schadenfraude" (kufurahia mabaya yanayompata mwenzako bila wewe kufaidika lolote) naweza nikaona sababu ya watu kusema una wivu.
Hawa watu hawakulazimishi uende kwao,unaweza kuwapotezea tu.
Kama wanaishikwa ujanja ujanja wewe kinachokuuma ni kipi as long as wanafanya kazi zao legal na hawakulazimishi wewe uwalipe?
Madalali angalau naweza kuelewa wame tight sekta muhimu utawatumia utake usitake.
Hawa motoivational speakers hata kamawapigaji tu, wanatumia midomo kutengeneza pesa, kama kuna watu wanahitaji huduma yao na wanaipata kwa maelewano bila mtu kulazimishwa, tatizoliko wapi?
Amount of disposable incomein the economy is an indicator of the strength of the economy.
Unaweza kushangilia motoivational speakers wanapungua, kumbe hujui unashangilia uchumi kusinyaa na kesho utasikia effects zake hata wewe.


Alisomea nnn hapo Oxford? Maana jamaa akishameza vitabu vyake kadhaa anakuja kutapika kwenye Social mediaJeol Nnauka sio daktari, baada ya kufaulu combination ya pcb alienda kusoma udsm..
Alisomea nnn hapo Oxford? Maana jamaa akishameza vitabu vyake kadhaa anakuja kutapika kwenye Social media