lelulelu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 446
- 413
Maisha mabovu
Mbona jamaa anaongea pweinti tupu? Au ndo hutak tu kwa sababu ya roho mbaya kwasababu ni mbongo mwenzio??Huyu Antony hata kuongea hajui..yaan hawez kui-inspire
[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]Wale wanakupa faida tu lakini hasara hata hawagusi utasikia
"Ukifuga kuku 300 utakua na Uwezo wa kupata mayai 150 kwa siku minimum, trey moja ya mayai n elf 12 minimum sasa mayai 150 ni trey 5 kwa hiyo utaweza kuingiza elf 60 kwa siku minimum"
Pumbavu hawaongelei hasara endapo kuku wakifa, au wakapata magonjwa, ukakosa soko la mayai, kuku wakashindwa kutaga
SureTunataka watu wafanye kazi hasa physical work.
BaraaaKwa fix hawajambo
Dr mtarajiwa wa mifugo?Mkuu umewahi kusoma kitabu cha "Je Umelogwa?"
Ndani yake kuna hadithi ya "Binadamu Uroho Bin Uhondo"
Kisa hiko kimekaririwa vyema na Dr mtarajiwa Gasper Mollel wa Rangers Safari Arusha. Inahusu mtu kujifanya hayakuhusu wala hayakugusi.