Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 12,940
- 38,035
kinachonisikitisha zaidi ni kanisa langu la kotoliki kuusihwa na kila mambo ya ajabu na kusitikisha haswa yenye ushetani ndani yake, kila habari ngumu ngumu zilizokosa majibu hautakosa kusikia uhusika wa kanisa katoliki. sijajua malengo yao yalikua ninini au ni kipi haswa walichokua wakitaka maana mambo ya kanisa Mungu mwenyewe ndie anaeratibu,kama nikweli nia yao ilikua ni kueneza neno la Mungu sifhani kama walikua wakiongozwa na Roho wa Mungu kama ambavyo Kristo alivyosema kua yote watakayofanya katika kuhubiri Roho Mtakatifu ndie atakae kua msaidizi . ngoja tuone itakavyo kua maadamu hauna siri itakayositirika daima.