Ingekua Wewe Ungefanyaje?

Ingekua Wewe Ungefanyaje?

Akisafiri namwekea condom kwenye begi ye atajua mwenyewe. Na akirudi tunapiima kwanza.hayo bdo masharti.

Kwanini umuwekee kondom halafu mpime?
Huamini kama kondom zinasaidia?
Kwanini usimuache tu bila kumuwekea kondom?
 
sijaongelea suala la genetics paroko?

Sasa nahitaji kujua elimu yako maana naona tunazungumza watu tulio tofauti kabisa namna ya kufikiri

Naomba uniambie elimu yako tafadhali!
 
Sasa nahitaji kujua elimu yako maana naona tunazungumza watu tulio tofauti kabisa namna ya kufikiri

Naomba uniambie elimu yako tafadhali!

informal education.. nipe na yako pia.
 
Ah wapi bwana......unasimama kama kawa....yani nilivyo na wivu na mali yangu afu nijue kuna mwanamke mwingine alipata ninachokipata kutoka kwake....ah bora sabuni aisee...

Lakini akitumia sana sabuni inaweza kumwathiri kisaikolojia...ujue!! Akirudi na dropped performance utamlaumu nani?!
 
Kama binadamu mwenye utashi bila shaka unajua what's right or wrong,
I like this type of thinking
Sasa ni yeye kuamua kuendekeza hiyo mihemuko au kitumia akili
Ninachokizungumzia hapa ni kuwa ndivyo alivyo yaani hawezi kuhimili pindi apatapo ham hiyo na sio kuendekeza

Sasa hebu niambie,utafanya nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom