Kwanini umuwekee kondom halafu mpime?
Huamini kama kondom zinasaidia?
Kwanini usimuache tu bila kumuwekea kondom?
nahisi haya sio mawazo ya mwanamke!
Unaamini kila linalosemwa??
Namwekea condom sababu nampenda.
Naamini zinasaidia bt smtime wanaendaga peku hata kama anayo mfukoni hasa kama anatumia kilevi so kupima muhimu.
Siwezi kumwacha aende bika condom labda akatae au akatupe akitaka.
Kama hawezi kuja?
kama hawezi kuja amefeli, hakuna kishindikanacho kati ya wachumba wawiliau wanandoa..unajua ukishafika stage hii ya uhusiano ni maana ake miili yenu biologically and technically imekua kitu kimoja, sasa ukianza kumpuuzia mapema vitu vidogo kama hivi, am certainly sure atajengeka hivyo hivyo adi ndani ya ndoa,atakua na vinyumba vidogo vya kupoozea rungu kwasababu anajua partner wake ngumu kumkidhi although wanapendana ndiyo
curiousity >> uyo mwanamke ni mchagga??wa kishmundu machame :suspicious:au wapi if so
Sasa hii maana yake unamruhusu akadungue nje au?
Kafeli kivipi wakati kuna sababu zaidi ya 4 zinazoweza kumfanya asije na sababu hizo ni za msingi?
hakuna sababu ambazo zinazidi majukumu yako kwa mchumba wako/mwanandoa mwenzako...ila kama ni wapenzi tuu wakudumu kwa mda ndo mnaoa mnakaribia uchumba well i got bad news for you...bado hamjakaribia au kufikia stage ya commitment..
back to my curiousity...is the female chagga??and wawapi if so😕
nauli sio kisingizio, si bwana yupo kikazi..ana minyege yake anataka nani amsafirishie mbunye ajihudumie??????Kama hakuna nauli ya kuja huko uliko?
Kwahiyo una mruhusu acheze show za nje ili performance isishuke? Na hata ikishuka itapandishwa tu kwa juhudi zetu wote...Lakini akitumia sana sabuni inaweza kumwathiri kisaikolojia...ujue!! Akirudi na dropped performance utamlaumu nani?!
nauli sio kisingizio, si bwana yupo kikazi..ana minyege yake anataka nani amsafirishie mbunye ajihudumie??????Kama hakuna nauli ya kuja huko uliko?
Hili ndilo tatizo
Hebu fikiria tu huwezi kwenda,utafanyaje?
Najaribu tu kufikiria namna ulivyo mbali nami
Sijui nitafanyaje!!
namfuata nikampe haki yake mbona rahis sana hyo baba paroko
Kwahiyo una mruhusu acheze show za nje ili performance isishuke? Na hata ikishuka itapandishwa tu kwa juhudi zetu wote...