Ingekua Wewe Ungefanyaje?

Ingekua Wewe Ungefanyaje?

ahsante sana doctor kwa ufafanuzi... unajua mchana nimegombana na huyu paroko Eiyer kwa sababu hii.. mpaka amefikia kuniambia kwamba mi nina elimu ya aina gani?

sasa nadhani Eiyer apite hapa kwa specialist, akuone kabisa...!

Ngoja nikaangalie pale paliposababisha akasema hayo!!
 
kama siwezi kwenda bas anatakiwa awe mpole tu ajaribu kila njia kushnda mihemko ya mwl wake akifanya hvyo itamsaidia kuondokana nj adha anayoipata

tena anatakiwa auelewe ushaur ntaompa maana akijifanya mbishi hapo atakuwa anataka makubwa

Hawezi kuvumilia......
 
huyo nae atakuwa anajiendekeza tu...unajua kitu km unajua huwezi kupata hata hamu nacho haiwi juu sn. alikuwaga na mahamu anayoshindwa kuvumilia coz wife alikuwa pembeni, sa kwavile yupo mbali ajityuni tu kukubaliana na halihalisi... au la ajipige mkono mie (if ndo wife wake) namsaidia ajisikie as if em there...miguno sauti za mahaba, nampa mainstructions mwenyewe atascore tuuu na hamu itashuka lol
Baby umesoma mada vizuri?
 
Au mnamalizana kwenye simu au skype. Maana utasafiri mara ngapi kumfuata hee unless uamie huko aliko kabisa

Can you come over?

Last edited by a moderator:
Sijauliza hilo

Mimi ninauliza kuhusiana na walioko kwenye ndoa!

Wafunge, nimeshakujibu au huelewi Kiswahili?

Nikakuuliza unashangaa hilo, wako masista na mapadre wana kiapo cha kuto-kushughulika na kushughulikiwa lakini na wao yanawashinda, ni nini ambacho hujakielewa?
 
Una matatizo wewe

Endelea na unayofanya!
 
Baby umesoma mada vizuri?

nimeisoma na kuielewa otherwise ulishajiandalia majibu yako ...umesema mume hawezagi kuvumilia awapo horny na kwasasa yupo mbali na mkewe na amepatwa na hiyo hamu. Afanyeje???) namie ndo nikakujibuu kwmb uwache kujiendekeza kwn usipofny utakufa??!!! or else mastabeshen itakuhusu, na ole wako unichiti huki heheheheeee
 
Nina hakika hujasoma mada wewe

Kama umeisoma basi hujaielewa kabisa!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom