Ablessed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 4,616
- 3,502
Kweli kabisa mkuu huyo atakua mgonjwa si bure. Tena ukiona mtu yuko hivyo yapasa ujiulize ulikutana nae wapi au what went wrong.Udhaifu is overrated...
Ushauri wangu kwa wanawake, ukiolewa na mwanaume kama huyo jua hiyo ndoa huenda si mpango wa Mungu au mume anateswa kiroho.