Marhabaaaaa hujambo mrembo?
Hapo ndipo penyewe
Kuna pingamizi
Utafanyaje?
Sasa unataka nibaki huku huku ili niku cheat?
Mana mechi za nje siyo zote anazoweza kukumbuka ndomu....na uko anaweza kukutana na mwanamke ambaye ndo anaharibu kila kitu mpaka kumrudisha mmeo inakuwa shida.......binafsi aamue moja atumie sabuni au afanye mazoezi ya kuuchosha mwili wake mpaka pale tutakapokutana....
My dia haya mambo haya yaache tu..si unajua hamna mtu mwenye full package...sasa akatoka uko nje akapata anachokimiss kwako ingawa una matundu lakini ndo hvyo anakusaliti....mwisho wa siku unabaki unajiuliza yani pamoja na utundu wote ila bado katoka....yani ni majanga mamy....Maadam umeafiki kama kutakuwa na madhara ya sabuni mtashirikiana kuyatatua...ni sawa. Ila mazoezi ya kuchosha mwili kila siku...mh labda kama kazi zake ni physical!Hilo la mwanamke wa kumteka moja kwa moja inabidi na wewe uwe mtundu kuhakikisha kuwa hawazii mwingine kabisaaaa...!
Huwezi kwenda huko!!