inauma sana........

Bishanga unantaka naona unantaka saaana tena saaana!!! kisa cha kunizushia uongo ni nini??? for ur info utatafuta sana kuivunja ndoa yangu lakini hutoweza..... USHAZOEA VYA KUNYONGA VYA KUCHINJA HUTOVIWEZA KAMWE!!!!

My hezbend C6 plz come this way achana na huyo kibwengo asijetuharibia ibada yetu bure.....
nakushangaa,oh my hezbendi sogea,kiko wapi mbona hajasogea,we mkumbatie tu Chimbuvu ukiachika ndo utalijua jiji.
 
Last edited by a moderator:
my lawyer huo ni uongo mtakavitu.... Tena ngoja niongee na my hezbend ili nije kufungua kesi ya kutuvunjia heshima... mimi nipo bed rest nazushiwa uongo... Je anataka niachike na mimba kubwa hivo?????
taarifa za kiintelijensia zinasema mimba yako ni ya Chimbuvu,hivi kwa nini hamkutumia kinga wakati mna cheat?
 
Last edited by a moderator:
Taarifa nilizozipata kutoka kwa bishanga kwa kweli zimenisikitisha,ningependa kwanza wote mfahamu kuwa mimi nipo na pacha wangu ambaye ukituona unaweza kutufananisha sasa nina wasiwasi yaweza kuwa ulimuona yeye .


kuona wanawake mnavyotutenda. Just imagine nikiwa bukoba club jana nimemwona Chimbuvu anaponda raha na charminglady,poor C6 anatia huruma maskini,kumgharimia kote charminglady kisha anafanziwa.
 
Last edited by a moderator:
nakushangaa,oh my hezbendi sogea,kiko wapi mbona hajasogea,we mkumbatie tu Chimbuvu ukiachika ndo utalijua jiji.

Shindwa shindwaaaaaaaaa! ujue yuppo hapa anakitazama tu unavyosarandia ndoa za wenzako. Yako imekushinda unataka kuharibu za wengine!!!!
 
Last edited by a moderator:
Bishanga inabidi upewe sekta ya kutoa info kwa wale wanaocheat kwenye ndoa zao
 
Last edited by a moderator:
Naomba mwenyekiti aongeze kamati ya nidhamu itakayofatilia mwenendo wa wanandoa hapa chitchat na picha zao za aibu ziwekwe hadharani


Bishanga inabidi upewe sekta ya kutoa info kwa wale wanaocheat kwenye ndoa zao
 
Last edited by a moderator:
Tulimwambia Madame B aachane na huyu muuza mitumba, akatuona hatufai..

We acha tu,alidhania kapata kumbe kapatikana,imagine mwanamke ana masters ya mzumbe kisha anaendeshwa na muuza mitumba wa ilala.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom