mmmhhhh labda ungepeleke hii kwenye MMU..
maana ungepeta maoni zaidi ( im just saying)
MMU inafanyiwa ukarabati leo, hakuruhusiwi kupelekwa sredi mpaka tangazo jipya litakapotolewa
asanteni kwa ushirikiano.
spare mod: klorokwini
MMU inafanyiwa ukarabati leo, hakuruhusiwi kupelekwa sredi mpaka tangazo jipya litakapotolewa
asanteni kwa ushirikiano.
spare mod: klorokwini
kwanini wanafunzi wa kike wa vyuoni wameanza kuwa wapenzi wao kwa wao!:angry: