Mazayuni walivyouliwa kwa wingi sasa wanachukuwa askari wa Kukodi kutokea Malawi

Mapya haya sasa, Mazayunni wameanza kuchukuwa askari wa kukodiwa Malawi, wanajuwa dhiki zetu Afrika na pesa wanayotowa zitatufanya twebde tu, Dah, hali inatisha:

Video clip inapanda taratibu.
Bana makalio, uache kujamba jamba kama nati zimelegea.

Israel kamwe haiwezi kuchukua askari kutoka Malawi. Kasome taarifa acha kukurupuka ka kanzu iliyoezuliwa na upepo.

Malawi iwe na wapiganaji wa kukodi? Umetoka kutawaza uso kiasi kwamba umepoteza na network. Uwezo wa kufikiri huna.
 
Back
Top Bottom