MissM4C
JF-Expert Member
- Aug 31, 2012
- 1,738
- 995
Posho au mishahara? Posho si lazima
Juzijuzi Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba alipohojiwa alisema hivi karibuni watamwaga pesa nyingi mtaani. Sasa badala ya pesa kumwaga sasa hata za kulipa watu zinakosekana.
Taarifa zilizopo ni kwamba Chuo Kikuu cha Dodoma hakina pesa. Kukosekana kwa pesa kumesababisha wahadhiri wasipewe posho zao. Wahadhiri hao wameambiwa watapewa chuo hakina fedha hadi November ndipo watalipwa posho zao.
Huu ni mwezi September. Hivyo kwa miezi miwili hadi November wahadhiri hao watakuwa wanafanya kazi bila posho yoyote.
Utafiti wetu unaendelea kuona kama vyuo vikuu vingine hali ni hiyohiyo