Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,907
- 1,079
Lowassa is a sick story na nazadi tunapoteza muda wetu kumjadilia fisadi, jamambazi lowassa badala ya mambo ya muhimu kwa nchi yetu
Rev. Hapo nipo pamoja na wewe
Yes,yes lets call a spade a spade,je Rchmond,EPA,TANGOLD,DEEPGREEN,DOWANS;KATIKA HAYO YOTE KUNA WIZI AU HAKUNA? Yote hayo yalitendeka chini ya PM yupi anaeitwa makini? Ukali wake ni wa kulipa visasi tu kwa aliyokuwa na mabifu nao huko kabla, hasa watu wa utawala wa mwalimu. After all "Kanyweni chai nae, kama ni sura yake"]
He is a dreadful dictator,akiwa rais akaanza miradi ya kuwaibia maskini millioni 156 kwa siku utamfanyaje? ana kiburi,na ujasiri kama wa kichawi hivi.
KANYWENI NAE CHAI KWAKE,ANA LOOT KUBWA TU KIBINDONI.
Sikiliza anavyolalama hapa huyo Lowasa mwenyewe!
Taratibu....
Record ya utendaji wa Ed ni ya kutukuka.Problem watu wanahisi umasikini wao umesababishwa na Lowasa.Wasichokijua ni kwamba,kilichotokea ni vita ya makundi ndani ya ccm,wala it has got nothing to do with you and me.By the way jamaa bado ni mdau namba mbili wa serikali hii.
I say better fight the devil you know - Bring him back on board!
"Tupo Tumejaa Tele" - Edward Lowassa, the then PM
kwi kwi kwiKweli jamaa n i mchapa kazi, lakini ni mwizi kuliko kawaida...yaaani matunda ya kazi yake anaiba mara 100 ya alichozalisha......tena huyo akiwa presedaa hatutakohoa akituibia, jamaa ni dictactor wa nguvu mjue..ooh...acha tu wewe Rev. Kishoka na hoja zako za utani...atakwiba huyo...oohoo...mimi simo....mchonga alimpa live..wewe dogo mwizi...huna chako hapa...jamaa kimyaaa! Ukitaka kuona EL anamshipa wa kushtuka, taja Mwalimu Nyerere...jamaa anaruka!
Itakuwa urais.Rev. unamtaka Lowassa katika nafasi gani?