NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,275
Kwa hiyo anachofanya sasa hivi unaona kama anatoa msaada?? Si angeanza zamani sasaamekuhonga wewe ushaid unao? Kama ccm ikipita 2015 bac bora huyo kuliko type ya akina cta, kinene, na wengine wabovbov kama wa zamani ya sasa.
Mimi nimeshabikia CCM muda mrefu ila i think ni muda wa kuachia nchi kwa mpinzani tujaribu kitu tofauti tuone, kusipokua na competition kwenye nchi hii maendeleo hayatokuwepo. Tuko nyuma vibaya mno, kiuchumi, hata kifikra,