In Edward Lowassa, I trust...

In Edward Lowassa, I trust...

Tz tunahtaj mtu ambaye hana masihara wala kumwogopa pia ambaye anaweza kuchukua maamuz magumu EL alweza nadhan anatufaa. Hakuna mtu asiye na mapungufu,mi pia nlpendelea kama ingewezekana katiba ingemruhusu Ben aendelee

Hebu fafanua vizur mzee unamaana gani? Na je maamuzi magumu yenye manufaa binafsi yana faida gani kwa taifa? Unataka kutwambia ni sawa sawa Kuwapo maEPA mengine, Mashirika ya umma yaliyouzwa kama njungu Tanzania, na Wajomba wa Barrick wajazane Tanzania tu!!!! I think not!!!

Mie nachoona ni kwamba JK aendelee but abadilishe mawaziri wake wajazwe wacha pa kazi basi. Otherwise wapisheni Chadema wafanye kazi hapo
 
y 2015 hakutakuwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa hiyo ni irrelevant kujadili nani atakuwa Rais.

Tanzania imesaini EAC common market protocol ambayo inaanza Julai 01 this year.

Waste of time and energy.

99.9% ya watu wanapoambiwa yaliyosainiwa EAC husema: wewe mwongo, haiwezekani watawala wetu wakasaini kitu kama hicho. Ukisisitza, wanakuambia: HATUTAKUBALI!

Hamtakubali vipi wakati watawala wetu wanaposaini hamna habari and you don't care? Kwani tulikubali lini au wapi kwamba watu wachukue dhahabu na mchanga wake? Kelele zote zilizopigwa, zimesaidia nini?
 
Tz tunahtaj mtu ambaye hana masihara wala kumwogopa pia ambaye anaweza kuchukua maamuz magumu EL alweza nadhan anatufaa. Hakuna mtu asiye na mapungufu,mi pia nlpendelea kama ingewezekana katiba ingemruhusu Ben aendelee

Wcha na mimi niwe kama yule mbunge alosema matumizi ya jina fataki yana-hurt kwa kuwa ni jina la babu yake

So,mkuu tristeka,
Usitumie tena jina la Ben cozhuyo fisadi ametumiza na mimi naumia ukimtaja hivo(kiddin)
 
Natafuta ile post ya Rev Kishoka ....alizungumzia sifa za Al-Edward Lowassa, can someone help kuifukunyua?
 
Kwenda huko!

Mh naona hii kali sana!!! Kama hujapendezewa na mtazamo wake basi ungelimjibu kiustaarabu na sio kufukuzana sie ni binaadamu. Na ikiwa ameongea pumba mwambie ni pumba tu but kumfukuza mh simo!!!!
 
Kuna hatari tukajikuta tumefikishwa mahali tunahitaji ushauri wa kisaikolojia kutokana na mauzauza yanayotupata tukiutizama uongozi wetu. Kwa kifupi si muungwana wala EL, wote hawafaiii! Unaoitwa uchapaji kazi wa Lowasa ni hatari kwa mustakabali wa nchi. Huyu ni mwizi na mbabaishaji, period. Hata miradi inayoonekana kuanzishwa na kusimamiwa naye hususan ule wa shule za kata ilikuwa ni mkakati tu wa kutupiga changa la macho kwa maendeleo feki ilhali yeye na rafiki zake wapate justification ya kuhamishia mabilioni yetu mifukoni mwao bila kunyooshewa kidole kwa kudhoofisha uchumi na maendeleo yetu (kumbuka kauli zake kuhusu ndege ya uchumi na ufanikishaji wa malengo ya milenia?)

Haiwezekani tubane uchaguzi wetu kati ya viongozi hao wawili tu; tutachanganyikiwa!! Wapo wa-TZ wanaofaa. Hebu tuwape fursa wenye kuweza kutoa mapendekezo mbadala waseme.
 
Hakika yake, Lowana ni mtu mchapa kazi sana, ukilinganisha na viongozi wote, alitoa contribution yake kubwa sana tangu pale alipokuwa waziri hadi alipomwachia pinda, ambaye hakika hafanyi chochote kile. angalia Lowasa alivyo hamasisha mashule yakajengwa, nakwambia kama Lowasa angekuwepo hata hao walimu wangekuwepo, alikuwa anafanya kazi kwa bidii sana. NAMBIENI PINDA KAFANYA NINI HADI SASA HIVI. Jamaa alikuwa anafanya kazi sana akitegemea labda atakuja awe rais baada ya JK. unajuwa kuna watu wengi wanaongea kila mtu la kwake ni kwanini JK alimtosa mwenzie, pamoja na kwamba hatujui kama yeye pia ni malaika au ana yake mengi ameyaficha. wengi walikuwa wanasema (lakini sijui kama kweli), wamisri na waarabu walimwmbia jaa amtose kwasababu Lowasa alikuwa dangerous kwa wamisri na kwa upende mwingine, kunachuku fulani ya kidini ilikuwepo from the jamaa na kikundi fulani cha watu.

Lowasa alitoa maneno makali funali hivi, wakati maji yalianza kutolewa toka victoria kwenda arid area za north tz, kama mnakumbuka. kuna kitu cha siri kimefanyika sana hadi jamaa akapigwa chini, wengine wanasema ni kwasababu ni kafiri..siamini hivyo, ila alikuwa dangerous kwa wamisri hasa kwasababu ya victoria.

Nenda misri kaangalie sasahivi, utakuwa wanalima wanamwagilia jangwa limegeuzwa, maji ya victoria tukisema tuchukue wanasema tutapunguza maji yao ambayo wanamwagilia, kuna mambo mengi sana. this is nonesense..
 
Je una facts!!! Mie naona ni irrelevant na nonsense!!! Wote JK na EL hawafai. JK mzushi EL mwizi na wote wasanii. Kama unataka sympathy ya udini naona umekosea jenga hoja pengine wenzio wenye mtazamo duni kama wako watakusupport but hapa tunaangalia maslahi ya taifa na si dini fulani simple!!!
 
RUTAJUMBUKIRWA, yaani hii senema inayondeea sasa bungeni, sio tunamuhitaji Lowassa 2015, mbona 2015 ni mbali! tunamhitaji sana tangu 2010! kama bunge lile lililokuwa moto na upanga wa makali kuwili, lakini leo ni nyoronyoro kama toilet paper iliyo loa!, afadhali Eddo rudi Eddo, walikuonea tuu!.

- Yaaani sasa nimeamini kwamba kweli Mungu anaweza kuwazungusha watu kwa miaka 40 wakazunguka hapo hapo bila kujua mpaka wameisha wote, kabla ya kuwafikisha kwenye promised land, kwa sababu ya lack of his knowledge!

- Ninaweza kuelewa kwamba we have no alternative, lakini eti Lowassa alionewa tena kutoka kwa Great Thinker! duh! Mungu ibariki hii nchi!

Respect.

FMEs!
 
Kutokana na malalamiko kuwa nchi hii haiendi, tunahitaji kiongozi mwajibikaji, decision taker and hardworking. Na jibu letu ni Eddy Lowassa in 2015!.
Kwanini anafaa:
1. ni mchapa kazi. yeye ndo amesimamia mpango wa ujenzi wa madarasa na shughli nyingi za maendeleo wakati JK akipasua anga.
2. Ni mtu ambaye anayesimamia kazi kwa karibu na ambaye hachelei kuchukua maamuzi iwapo anaoa watu wanaboronga.
3. Amesoma vizuri and he is still energetic.

Sasa watu watasema eti ni fisadi, amejilimbikizia mali, etc. Lakini kiongozi gani ambaye ni 100% perfect? Tuchukue mfano wa Ge. Paul Kagame ambaye wengi wanamsifia kwenye JF. Huyu raisi anapenda vita na amesababisha maafa Congo, etc. Lakini licha ya upungufu wake wa Human Rights na kupigana vita, anaendesha nchi vizuri na nchi inapiga hatua.
Kwahiyo tumchukulie Lowassa kama Kagame, wote ni watu wanaochapa kazi licha ya kwamba wana mapungufu. Na tukitaka kiongozi wa kutupa new push, we have to look beyond personal weaknesses.

Really?
 
Nimeamini shetani akizeeka anakua malaika.Lowasa huyu huyu ambaye siku si nyingi watu walisimama hapa na kutoa hoja kiasi cha kutokwa mapovu mdomoni leo ndio anaonekana bora?Au ndio yale ya baniani mbaya?
 
Kutokana na malalamiko kuwa nchi hii haiendi, tunahitaji kiongozi mwajibikaji, decision taker and hardworking. Na jibu letu ni Eddy Lowassa in 2015!.
Kwanini anafaa:
1. ni mchapa kazi. yeye ndo amesimamia mpango wa ujenzi wa madarasa na shughli nyingi za maendeleo wakati JK akipasua anga.
2. Ni mtu ambaye anayesimamia kazi kwa karibu na ambaye hachelei kuchukua maamuzi iwapo anaoa watu wanaboronga.
3. Amesoma vizuri and he is still energetic.

Sasa watu watasema eti ni fisadi, amejilimbikizia mali, etc. Lakini kiongozi gani ambaye ni 100% perfect? Tuchukue mfano wa Ge. Paul Kagame ambaye wengi wanamsifia kwenye JF. Huyu raisi anapenda vita na amesababisha maafa Congo, etc. Lakini licha ya upungufu wake wa Human Rights na kupigana vita, anaendesha nchi vizuri na nchi inapiga hatua.
Kwahiyo tumchukulie Lowassa kama Kagame, wote ni watu wanaochapa kazi licha ya kwamba wana mapungufu. Na tukitaka kiongozi wa kutupa new push, we have to look beyond personal weaknesses.

Nimeangalia bunge kwa muda leo jioni na nikaona wazi kabisa kuwa lowasa ameshinda. Yale mababa yalifyata na wengine waliingia mitini kabisa. siku zotye mshindi ndiye anaonekana kidume!
 
Kutokana na malalamiko kuwa nchi hii haiendi, tunahitaji kiongozi mwajibikaji, decision taker and hardworking. Na jibu letu ni Eddy Lowassa in 2015!...

Watanzania kwa kupekua madampo hamjambo! Yaani kati ya watanzania wote around 40m hakuna watu wenye sifa hadi tukafukunyue majalalani walikotupwa kina Lowassa. Lowassa may have been strong but he is history.

Tumtakie kila la heri huko aliko na anaweza kulitumia taifa kwa njia zingine sio lazima urais. Unless upo kwenye kamati yake ya kampeni huwezi kukataa huu ukweli.
 
But seriously when you compare the two mimi ningemchukua Lowasa.btn two evils ningemchagua lowasa kama ningezingatia mustakabali wa taifa langu kwa huko baadae.

Wizi wa lowassa hauna tofauti na gharama za nje za Jk but big plus kwa lowasa kwa kufanya kazi angalao.hapo ntakua nimefikiria kiuchumi zaidi,lowassa ni hard working.watu wakitaka kunisulubisha wanisulubishe but that's the fact

naungana na wewe wakikusulubu wewe na mimi wanisulubu..EL ni kiongozi shupavu sana...ni shupavu .yes i said it
 
Hapana Huyu Bwana Hatufai Kwa Kweli Uchungu Alio Ondoka Nao Kumpa Nchi Ni Sawa na kujita kitanzi...Huyu Hakawaiii Kuwa diktata.kabisa katika Juhudi za kutaka kuwamaliza waote walio fanikisha pigo lake.

Ile tonesheni ya maneno yake wakati wa kuachia ngazi kama alivyosema haikuwa na heri hata kidogo.Na Haiwezi...anaweza kuchangia kujenga nchi kwa namna ingine hata kwa kuanzisha kampuni ya ufugaji mkuwa akaajiri watanzania..wakapata kipato kwa kuwa wafanyakazi wake..akimalizia muda wake dunia...Kila la heli uko uliko.Lowasa
 
Lowasa kajenga shule za kata sawa. Pinda naye anasimamia Kilimo Kwanza. Hatuli madarasa. Lakini kilimo kwanza tutapata msosi halafu nyingine tunauza ili tuwanunulie watoto wetu uniforms za shule ambazo wataenda kusoma huko kwenye kata ambazo zilijengwa na Lowasa. SO?
 
Kutokana na malalamiko kuwa nchi hii haiendi, tunahitaji kiongozi mwajibikaji, decision taker and hardworking. Na jibu letu ni Eddy Lowassa in 2015!.
Kwanini anafaa:
1. ni mchapa kazi. yeye ndo amesimamia mpango wa ujenzi wa madarasa na shughli nyingi za maendeleo wakati JK akipasua anga.
2. Ni mtu ambaye anayesimamia kazi kwa karibu na ambaye hachelei kuchukua maamuzi iwapo anaoa watu wanaboronga.
3. Amesoma vizuri and he is still energetic.

Sasa watu watasema eti ni fisadi, amejilimbikizia mali, etc. Lakini kiongozi gani ambaye ni 100% perfect? Tuchukue mfano wa Ge. Paul Kagame ambaye wengi wanamsifia kwenye JF. Huyu raisi anapenda vita na amesababisha maafa Congo, etc. Lakini licha ya upungufu wake wa Human Rights na kupigana vita, anaendesha nchi vizuri na nchi inapiga hatua.
Kwahiyo tumchukulie Lowassa kama Kagame, wote ni watu wanaochapa kazi licha ya kwamba wana mapungufu. Na tukitaka kiongozi wa kutupa new push, we have to look beyond personal weaknesses.
I thought we only had great thinkers at JF kumbe tunawatu wenye uwezo wa kufikiri mdogo kama huyu jamaa.
Hatutaja kwenda jalalan kupata better taka taka. We need to go shopping. Wake up!
 
Back
Top Bottom