Kasheshe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2007
- 4,694
- 793
FMES,
Namuheshimu sana, lakini lazima niseme "WE NEED LOWASSA"!
Combination ya JK na Pinda - hatuendi popote
Combination ya JK na Lowassa - tutasonga mbele
Combination ya Pinda na Lowassa - tutasonga mbele.
Kwa nini, JK na Pinda ni watu wa huruma, watu wa maelezo mengi, wasiopenda kuonekana wamekosea, lakini kwa sababu hizo hizo wanakosea kweli kweli.
Hivyo kati ya Waziri Mkuu na Rais, lazima mmojawapo awe mwenye kutoogopa Lawama. Ndio maana Mkapa aliweza kaa na Sumaye muda mrefu na kazi zilienda.