In DEFENCE of LOWASSA (Warioba & Butiku on it)

In DEFENCE of LOWASSA (Warioba & Butiku on it)

Mkuu Kishoka,

Sasa ninakuelewa, isipokuwa tatizo ni kwamba argument yako siyo ya kina Warioba, Butiku, na Pundit, wewe unataka tunachotaka wengi sheria ipitie mkondo wake, maan so far haijatumika, then huko kwenye sheria Lowassa atatoa kilio chake maana ndio kwenye haki huko,

Na kama ninakuelewa vizuri, sasa tunahitaji kuhamia kwenye sheria na kuona what is there kwa Lowassa na wenziwe, lakini wasiende free, I am down with that, lakini huu sio wakati wa kujaribu ku-inject sheria/haki kwenye kujiuzulu kwa Lowassa, amekimbia mwenyewe the rule of politics.
 
Masanja,
Maneno yako kweli tupu ndio maana mwanzo wa mada hii nilisema kama wangekwenda kwa Lowassa na he said/she said kinda of evidence angewauliza kitu kimoja tu - who said that?..Hivi kweli mnakuja ofisini kwangu kuniuliza vitu ambavyo mtuhumiwa fulani kasema ati mimi ni mmiliki wa Richmond?...can you prove that?..wote wangeonekana wajinga.
Leo hii tungekuwa tumelala kizani kwani ktk hatua zote za upatikanaji wa Tender hiyo ofisi ya waziri mkuu kisheria haikutakiwa kuingilia hata kidogo na kifupi haimo.. Sasa cha kujiuliza sisi ni hizi nguvu za cheo hiki!.. na tumejifunza nini.

Hivi kwa nini wamekubali kuwa shortchanged kwenye ushahidi kiasi hiki? Kwa nini wamekubali kupewa habari za Bangusilo nje ya kiapo? Kwa nini hawakutaka kuwawajibisha kina Msabaha kutoa hizi habari ndani ya kiapo? Vipi kama kampuni ya Kikwete na Lowassa anatolewa Bangusilo ndiyo maana hawakutoa ushahidi under oath?

Mwakyembe ameshindwa kutumia nguvu za kimahakama za kamati kupata ushahidi under oath?

Yaani maswali mengi tu ya kujibiwa.
 
Mkuu Kishoka,

Sasa ninakuelewa, isipokuwa tatizo ni kwamba argument yako siyo ya kina Warioba, Butiku, na Pundit, wewe unataka tunachotaka wengi sheria ipitie mkondo wake, maan so far haijatumika, then huko kwenye sheria Lowassa atatoa kilio chake maana ndio kwenye haki huko,

Na kama ninakuelewa vizuri, sasa tunahitaji kuhamia kwenye sheria na kuona what is there kwa Lowassa na wenziwe, lakini wasiende free, I am down with that, lakini huu sio wakati wa kujaribu ku-inject sheria/haki kwenye kujiuzulu kwa Lowassa, amekimbia mwenyewe the rule of politics.

Mkuu ES,

Mi naona kwa sababu Mwakyembe hakumbana Lowassa katika kamati, swala la Lowassa kufikishwa mbele ya sheria ni gumu sana.Labda wabunge wa upinzani na wananchi walivalie njuga sana na tunaweza kuanzisha kampeni hapa.

Kitu cha kwanza ni kuilaani kauli ya waziri mkuu mpya ya "yaliyopita si ndwele"
 
Kifupi ni kwamba huyu baba Lowassa hata haya hana baada ya rais kumsetiri kwa kitambaa cheupe yaani kukubali kustaafu kwake. La sivyo leo hii Lowassa angekuwa uchi mtupu na yaliyokwisha mfikia at least kapata kusetirika na pia kawa na washabiki.
JK ni Muungwana na upole wake ni hasara kwa taifa, lakini huyu mpuuzi hakuyaona hayo isipokuwa aliyeonewa ni yeye.
Warioba na Butiku wanaingiza ushabiki na pili upinzani kati yao wakijua wazi kuwa JK kamsetiri Lowassa kwa kipande cha kanga....Hivyo maelezo yao yanalenga kuonyesha udhaifu wa JK zaidi kwani ndiye aliyeunda kamati huiyo na wanafahamu fika kwamba JK alishakabidhiwa matokeo ya report hiyo na yeye rais aliagiza ipelekwe bungeni kama walivyoiweka. Ndio maana Dr. Mwakyembe alikuwa na uhakika na hizo mbwembwe ambazo zilimshangaza Lowassa.
Hivyo basi sisi wananchi tunasema pamoja na JK kumsetiri Lowassa kwa hicho kipande cha Kanga, sisi bado kabisa tutamvua uchi wa mnyama, manyanga yakimning'inia...

Mkuu Field Marshall Es,
Hapo nyuma umeeleza vizuri sana yaani hakuna la kuongeza na hawa jmaaa wanaopiga mayowe sasa hivi walikuwa wapi muda wote?....Siku report imetoka magazeti yote nchini na hata hapa JF watu walijiuliza kwa nini report hiyo imeacha kumhusisha Lowassa moja kwa moja?.. mbona mapendekezo yanawalenga viongozi wengine lakini sio Lowassa! mengi yalisemwa lakini baada ya yeye kujiuzuru basi game limegeuzwa na Wadanganyika kuwa yeye ndiye haswa aliyekuwa targeted!...
Nooo, msimamo wetu bado upo pale pale kwani leo hii Lowassa anahesabiwa kama Waziri mkuu msataafu.... hatukuibali sifa hiyo apewe!
 
Mimi nilisema toka siku ya kwanza, Lowassa asiruhusiwe kujiuzulu. AFUKUZWE! Sasa wengine mpaka wameanza kumuita shujaa- ni kunajisi kabisa mashajuaa wote wa taifa hili. I said, and I say, this guy is a thug(muhuni) and he must be treated as such. Kwa kweli mimi naona wingu katika hili suala zima. kuna mambo yanafutikwa futikwa tu.

JJ
 
Mkuu Kishoka,

Sasa ninakuelewa, isipokuwa tatizo ni kwamba argument yako siyo ya kina Warioba, Butiku, na Pundit, wewe unataka tunachotaka wengi sheria ipitie mkondo wake, maan so far haijatumika, then huko kwenye sheria Lowassa atatoa kilio chake maana ndio kwenye haki huko,

Na kama ninakuelewa vizuri, sasa tunahitaji kuhamia kwenye sheria na kuona what is there kwa Lowassa na wenziwe, lakini wasiende free, I am down with that, lakini huu sio wakati wa kujaribu ku-inject sheria/haki kwenye kujiuzulu kwa Lowassa, amekimbia mwenyewe the rule of politics.

Mkuu FMES,

Nakubaliana nawe kuhusu position ya Warioba na Butiku. Kama nilivyomjibu Mkuu Pundit hapo nyuma, issue hii imekuwa ni ya kisiasa na imekuwa dealt kwa jinsi ilivyo. Ni vigumu sana kuchukua mkondo wa sheria kutokana na mazingira yaliyokuwepo. Kama Mwanakijiji alivyogusia, the next step (kama ilivyo kwa Ballali) ni tusubiri another tume (which I'm honestly sick and tired of) ya AG, IGP na RO ili EL afikishwe mahakamani na huko ndiko mahali appropriate kujitetea.

Kitu kilichonipiss off sana ni kwa Muungwana kukubali kujiuzulu. Huyu Fisadi (Lowassa)hakustahili kupoteza gari, ngao, bendera na kubakia na walinzi wawili pekee, alitakiwa kufukuzwa kazi, kupoteza marupurupu na privilege zote, ashtakiwe kwa kuhujumu uchumi na kufilisiwa. Hapo ndipo haki itatendeka. Hakuna kitu kinachonichefua kuona mtu aliyepewa dhamana kubwa kama hiyo akiwa bado anapeta tu na kukaribishwa kwenye sherehe za kumuapisha Waziri Mkuu mpya.

Lowassa is a disgraced, arrogant and defiant politician who should never be allowed to run anything else (party,country,) for life. If he can't be a man enough to admit his failure in the adminstration (assuming his claim of not being involved in Richmond stuff is true) while everything is crystal clear that he could have prevented this, then he does not possess any sense of responsibility. I feel sorry for the voters in Monduli...they would have had a better representation with Peniel Ole Molloimet!
 
Yaani inauma sana........na nashindwa kuamini eti Lowassa ni Waziri Mkuu Mstaafu!!!!.....dah,.............anawatia doa wastaafu huyu
 
Mpanda Merikebu sadly I don't believe anything will be done to Lowassa.Tatizo ni kuwa vita dhidi ya corruption inahitaji mtu safi.Kwa sababu Kikwete mwenyewe ana skeletons za IPTL kwenye closet yake, hawezi kumbana sana Lowassa.

Ndiyo maana Kitila anasema kila siku tunahitaji regime change, bila hiyo muungwana atakuwa anafanya maigizo tu pale, na kuondolewa uPM ndiyo mwisho wa issue kwa Lowassa unless sisi hapa JF na wabunge tulikwishawazoea (Mama Kilango, Zitto Slaa and the likes) washikie bango deal hili.Kitu ambacho kitapata opossition kubwa sana ya Spika na CCM.
 
Wakuu tumetoka mbalia sana na ishu ya Lowassa na Richmonduli, je ni nani aliyetegemea kuwa kuna siku the Mighty Lowassa, atatupwa chini tena mtu mzima Pu! chaliiiii! Wazee unajua some times manonekana kusahau hii ni bongo, ambako kwa kawaida Mfalme huwa haaambiwi amejamba, lakini sasa anaambiwa tena bila wasi na kina Dr. Mwakyembe, ninasema hivi pole pole tunawasogelea na wananchi wanahamasika na kugundua kuwa time has changed kwamba sasa inawezekana, mawaziri kuzomewa, viongozi kuitwa mafisadi tena kwa ushahidi, Lowassa kuambiwa ukweli, sasa wazee msitukatishe tamaa, tuacheni wananchi tuendelee ku-press, kama Lowassa ametolewa kama panzi, hakuna lingine lisilowezekana, na pia tunaliaminia bunge letu kuwa sasa baada ya mifano yote iliyoonyeshwa in the last two days na wabunge wengine, basi hawatalaza damu tena,

Wakuu tulikotoka na kina Lowassaa ni mbali sana, tulipofikia sio padogo, lakini ni kweli tunakokwenda bado ni mbali, msitukatishe tamaaa, Lowassa is no body anymore, na anaweza kufikishwa mahakamani wakati wowote, mimi ningewaomba wabunge wa CCM watafute njia ya kumuondoa Spika, maana na yeye ameshakuwa tatizo pia,

Kikwete, ni rais wa jamhuri, Lowassa wa sasa hana ubavu wa kushindana naye hata kama anajua anything ugly kama ni kweli, binafsi naaamini kuwa kama kuna anything ugly against Kikwete, itakuwa ni hela za kampeni ambazo ukweli ni kwamba bongo hatuna sheria za Campaign Finance, Lowassa, ameambiwa mara nyingi na cc atoke amekuwa akileta ubishi, kuondolewa kwake sasa ni ushindi kwa cc, na bunge na kumuacha Kikwete akiwa wounded politically, kwa sababu tayari ameshaionyesha cc na bunge kuwa hana choices nzuri, huo ni ushindi kwetu wananchi.

Roma haikujengwa in one day, tunasogea pole pole wakuu na tutafika!
 
Mpanda Merikebu sadly I don't believe anything will be done to Lowassa.Tatizo ni kuwa vita dhidi ya corruption inahitaji mtu safi.Kwa sababu Kikwete mwenyewe ana skeletons za IPTL kwenye closet yake, hawezi kumbana sana Lowassa.

Huko nyuma niliandika "Kikwete naye si safi, Yes I said it" Na unachokiona kinatokea sasa hivi ni kukubali kuwa itakuwa vigumu kwa yeye kwenda zaidi ya vilivyo sasa. Vinginevyo, je tukubali makosa ya JK ili tumpe uhuru wa kushughulikia wengine. Je JK akitokea na kukubali makosa yake yeye mwenyewe na kuwaomba wananchi msamaha na kusema amejifunza kutokana na makosa na akatangaza mali zake hadharani na kusahihisha aliyoharibu (pamoja na kumaliza mambo ya IPTL) tutaweza kumsamehe ili tumpe pa kuanzia? Je wananchi wanaweza kukubali wazo kama hilo?

Ndiyo maana Kitila anasema kila siku tunahitaji regime change, bila hiyo muungwana atakuwa anafanya maigizo tu pale, na kuondolewa uPM ndiyo mwisho wa issue kwa Lowassa unless sisi hapa JF na wabunge tulikwishawazoea (Mama Kilango, Zitto Slaa and the likes) washikie bango deal hili.Kitu ambacho kitapata opossition kubwa sana ya Spika na CCM.

Hili halijafikia mwisho hadi tukubali kuwa mwisho. Kwani hadi hivi sasa siyo Msabaha, wala Karamagi na Lowassa walioadhibiwa. Baada ya kujulikana ni makosa kinachofuatia ni adhabu. Na lazima iwe adhabu ambayo siyo tu itawafunza watu hawa bali pia itatoa fundisho kwa hawa watakaoingia kesho kuwa hapendwi mtu, haogopwi mtu na hapendelewi mtu wala kuonewa ni Tanzania na Tanzania peke yake which is the object of our loyalty and affection.
 
kuwa hapendwi mtu, haogopwi mtu na hapendelewi mtu wala kuonesha ni Tanzania na Tanzania peke yake which is the object of our loyalty and affection.

Mkuu Mwenzangu MMJ,

Maneno mazito hayo!
 
Huyu Mmasai koko si kwamba alivunja miiko ya uongozi na kanuni za sheria za Serikali, alikiuka hata miongozo ya Chama Cha Mapinduzi ya maadili ya uongozi kama Mwongozo wa CCM 2000-2010 kama kipendele ninacho ambatanisha hapa

Serikali na Utawala​
85. Uzoefu tuliopata katika miaka ya tisini umedhihirisha umuhimu wa
utawala bora ambao ni utawala unaozingatia sheria, kanuni na
taratibu zilizowekwa. Aidha, utawala wa demokrasia ni sehemu
muhimu ya utawala bora. CCM itawajibika kuendelea kuimarisha
demokrasia na utawala bora ndani ya Chama na kuendelea kuzitaka
Serikali ziimarishe utawala wa sheria na kuzipitia upya sheria
zinazogongana kwa lengo la kuimarisha demokrasia na utawala bora
katika jamii. Kwa lengo hilo, Serikali ziimarishe utawala wa sheria na
kuzipitia upya sheria zinazogongana kwa lengo la kuiondoa
migongano hiyo. Aidha, mambo ambayo yamekuwa yakifanywa kwa
maagizo yawekewe mfumo wa sheria.

86. Utawala bora katika nchi yetu uambatane na mambo yafuatayo:-
(a)​
UWAZI katika kuendesha masuala ya nchi ikiwa ni pamoja na matumizi mazuri ya fedha na raslimali.
(b)
UFANISI katika kufanya maamuzi na kusimamia utekelezaji wake.​

(c)​
UADILIFU katika utendaji kwa kuzingatia misingi ya sheria na kanuni za utendaji kazi.
(d)
UWAJIBIKAJI kwa wananchi ili waweze kudhibiti jinsi nchi yao inavyoendeshwa na watendaji kazi Serikalini.
(e) Utawala wa sheria, kanuni na taratibu.
​

http://www.ccmtz.org/nyaraka/mwelekeo2006.pdf
 
Miiko mingine ya Ki-CCM ambayo ilikiukwa na Lowassa na wenzake

6.8.2 Kiongozi ye yote wa CCM ataandika katika Fomu iliyoandaliwa kwa
madhumuni hayo mali zote alizonazo, na jinsi alivyozipata, mara baada
ya kuchaguliwa au kuteuliwa kushika Uongozi; na atafanya hivyo kila
mwaka mpaka Uongozi wake utakapokoma. Aidha, litakuwa kosa kubwa
kwa kiongozi kukwepa kujaza Fomu hiyo, au kujaza kwa namna
isiyobainisha mali zake zote; na kwa kosa hilo mtu anaweza kuvuliwa
uongozi au hata kunyang'anywa uanachama.

6.8.3 Ni mwiko kwa Kiongozi wa CCM kuwa na uhusiano wa karibu na mtu au​

kampuni
yenye vitendo vilivyo kinyume na Maadili ya Chama au ya Taifa;
k.m. wala rushwa, wakwepa kodi, wenye biashara za madawa ya
kulevya n.k. Kwa kuvunja mwiko huo kiongozi atalazimika kujiuzulu
uongozi wake.​

6.8.4 Ni mwiko kwa Kiongozi (ibara 18 (1) ya Katiba) kutoa ama kupokea
kutoka kwa mtu ye yote, jamaa zake, au wakala wa mtu huyo, ahadi,
zawadi, fedha, (takrima), n.k. ili mtu huyo ampendelee yeye katika
kumfanikishia maslahi yake binafsi hasa uongozi.​

8.2.4 Mwanachama atakayethibitika kuwa na tabia zilizo ​

kinyume na itikadi
ya Chama, au ambaye ameshindwa kujirekebisha hata baada ya ​

​

Karipio,
lakini ambaye atayakiri makosa yake kiasi cha kuipa Kamati ya Maadili
matumaini ya mwanachama huyo kujirekebisha, basi Kamati ya Usalama
na Maadili ya Taifa inaweza kupendekeza mbele ya Kamati Kuu
mwanachama huyo avuliwe ​

​

haki ya kuchaguliwa katika nafasi ya
uongozi.
(a) Adhabu ya kuvuliwa haki ya kuchaguliwa katika nafasi ya uongozi
itatangazwa hadharani.
(b) Mwanachama atakayepewa adhabu ya kuvuliwa ​

​

haki ya
kuchaguliwa atakuwa katika hali ya kuchunguzwa kwa muda
usiopungua miezi 24, ​

​

na katika kipindi hicho atatazamiwa
kutimiza Masharti na Wajibu wake wa Mwanachama, na
kudhihirisha nia yake ya kutaka kujirekebisha.​

8.2.5 Kiongozi atakayekiuka Maadili ya Chama kwa kiasi cha kuvuruga uhai
wa Chama au ambaye hakuweza kujikosoa hata baada ya adhabu ya
Karipio​

​

, basi Kamati ya Usalama na Maadili ya Taifa inaweza
kupendekeza mbele ya Kamati Kuu Mwanachama huyo aachishwe
uongozi. Ikiridhika, Kamati Kuu itapeleka shauri hilo mbele ya
Halmashauri Kuu ya Taifa.
(a) Adhabu ya mwanachama kuachishwa uongozi itatangazwa
hadharani
(b) Mwanachama atakayepewa adhabu ya kuachishwa uongozi
atakuwa katika kuchunguzwa kwa muda ​

​

usiopungua miezi
30, na katika kipindi hicho hicho atatazamiwa kutimiza Masharti
na Wajibu wote wa Mwanachama, na kudhiirisha nia yake ya
kutaka kujirekebisha.​
 
Baada ya kusema yote hayo juu inaonekana dhahiri kuwa, bila pressure kutoka kwa wananchi, inawezekana kabisa swala hili likataka kumalizwa na "kujiuzulu" kwa Lowassa.

JF imejulikana kuwa ni pressure group to be reckoned with.Tunawezaje kuorganize legal proceeding zichukuliwe dhidi ya Lowassa, kuna wabunge tuna access nao wanasemaje kuhusu uwezekano wa ku push hili swala wiki ijayo ili kusudi kuhakikisha kuwa Lowassa haondoki bila kuchukuliwa hatua za kisheria? Kuna mass media campaign gani kuhakikisha the same? Muda huu inabidi magazeti yawabane CCM na wabunge wahakikishe Lowassa anafikishwa mahakamani na kushtakiwa , the push in the media must be as hard as possible while the iron is still hot.Tunawezaje kuendeleza tulichoanzisha hapa?

Frankly, I am concerned that without a massive push the issue will be swept under the rug.
 
Jamani haiwezekani kuwa mawazu yetu wenginewe yanafanana na mwasisi wa saa ya ukombozi. Hili ni lazima liwe utimilika wa Utume!

'Lowassa, Karamagi, Msabaha waachie ubunge' Na Grace Michael

MWENYEKITI wa Democratic Party (DP) Mchungaji Christopher Mtikila amependekeza wote waliohusika au kutajwa kwenye kashfa ya Ripoti ya Richmond wafunguliwe mashitaka wakati huo huo uchaguzi uitishwe mara moja majimboni kwao kupata wabunge wapya.

Akizungumza Dar es Salaam jana na waandishi wa habari,Mchungaji Mtikila, alisema kinachotakiwa sasa ni kuwakamata wote waliohusika na ufisadi huo ambao umeiweka nchi pabaya na kuwafungulia mashitaka ya uhujumu uchumi.

Alisema wakati umefika kwa Spika wa Bunge, Bw. Samwel Sitta kutangaza kuwa majimbo ya mawaziri waliojiuzulu kwa kashfa ya Richmond Bw. Edward Lowassa, Bw. Nazir Karamagi na Dkt. Ibrahim Msabaha yako wazi ili Tume ya Uchaguzi iendelee na kazi ya kuwapa wananchi haki ya kupata wawakilishi wengine.

Kufuatia hatua hiyo Chama cha Mapinduzi nacho ni lazima kiwafukuze wote waliohusika na uharamia huu ili kurejesha imani na heshima yake kwa wananchi na kuondoa doa la wanachama wake kuwa wezi.

"Haiwekani watu wachache kwa manufaa yao wamefanya uzembe wa kupoteza fedha zote hizi na mzigo huo kumpa mwananchi wa hali ya chini halafu waendelee kukaa bungeni huku wakinesa kwenye viti vya kuzunguka suluhisho ni kushtakiwa ili taratibu zingine zifanyike kadri sheria itakavyokuwa inaelekeza," alisema Mchungaji Mtikila.

Aliwataka wananchi kutosahau mambo ya msingi ambayo yameleta madhara makubwa kutokana na ufisadi uliofanyika Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kutokana na uteuzi wa Waziri Mkuu Bw. Mizemgo Pinda ambao unaonekana kusahaulisha vitu vingine vya muhimu.

"Watu wengi sasa wamebaki kusifu uteuzi wa Bw. Pinda, tuachane nao ili tung'ang'anie vitu vya msingi na kuhakikisha fedha zilizoibwa zinarudi, " alisema Mchungaji Mtikila.

Kuhusiana na agizo la Rais Kikwete kutaka Mkuu wa Jeshi la Polisi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) kuchunguza sakata la wizi wa mabilioni ya fedha BoT,alisema kuwa mpaka sasa Watanzania hawana imani tena na uongozi wa TAKUKURU kufuatia uchunguzi iliyofanya kuhusu Richmond.

Alisema kuwa taasisi hiyo haiwezi tena kufanya kazi hiyo kwani ni dhahiri kuwa itaendelea kukumbatia uovu kama ilivyofanya katika uchunguzi wa Kampuni ya Richmond hivyo katika suala hilo, serikali iangalie namna ya kulichunguza na sio kuitumia TAKUKURU.

"TAKUKURU ilitumika kuisafisha Richmond hivi kweli leo unaipa dhamana tena ya kuchunguza upotevu wa mabilioni itaweza? Hatuna imani tena na Taasisi hii bali watafutwe wataalam wengine wafanye kazi hii nyeti ili kuweza kurejesha fedha za wananchi," alisema Mchungaji Mtikila.

http://www.majira.co.tz/kurasa.php?soma=tanzania&habariNamba=5615
 
Baada ya kusema yote hayo juu inaonekana dhahiri kuwa, bila pressure kutoka kwa wananchi, inawezekana kabisa swala hili likataka kumalizwa na "kujiuzulu" kwa Lowassa.

JF imejulikana kuwa ni pressure group to be reckoned with.Tunawezaje kuorganize legal proceeding zichukuliwe dhidi ya Lowassa, kuna wabunge tuna access nao wanasemaje kuhusu uwezekano wa ku push hili swala wiki ijayo ili kusudi kuhakikisha kuwa Lowassa haondoki bila kuchukuliwa hatua za kisheria? Kuna mass media campaign gani kuhakikisha the same? Muda huu inabidi magazeti yawabane CCM na wabunge wahakikishe Lowassa anafikishwa mahakamani na kushtakiwa , the push in the media must be as hard as possible while the iron is still hot.Tunawezaje kuendeleza tulichoanzisha hapa?

Frankly, I am concerned that without a massive push the issue will be swept under the rug.

Chief Pundit,

Kwa kweli nakubaliana nawe kwa hii hoja ya wanaJF kurally legal team ambayo itafanya shughuli na wabunge tulio na uhusiano nao mzuri (CCM na upinzani) ili hiki kiini macho cha "kujiuzulu" kisiishie hapo. Pia natambua na kuelewa frustration yako juu ya ukweli kwamba kwa vile Muungwana si msafi, basi "kujiuzulu" kwa Lowassa ndio kutakuwa mwisho wa story.

Lakini, Chief wa kijijini ameuliza swali zuri sana...je tuko tayari (wananchi) kwa Muungwana kutoa siri zote, kutubu madhambi yake ya IPTL na mengine mengi ili tuanze upya? A really good question to ponder. Binafsi, mwezi uliopita, niliandika thread moja yenye kuhusu "Truth and Reconciliation" kama iliyotumika kule bondeni na Liberia. Kwa kweli, tunahitaji kuanza moja lakini ukweli ni lazima utoke, mioyo ya kusamehe iwepo na adhabu pia ziwepo. Pendekezo langu ni kuwa hawa mafisadi watoe ukweli, waadhibiwe kwa namna (eg kufilisiwa, kutoruhusiwa maisha kujihusishwa na serikali au anything with public interest) na hapo tu, ndipo tutakapoiweza hii cycle ya ufisadi; awamu baada ya awamu. Iwe isiwe, tusimpe nafasi Lowassa au fisadi mwingine yeyote nafasi ya kutuambia "you can't handle the truth". I think our democracy need to be more matured and sure enough we won't like the truth but we can take it!

Asante Chief!
 
Kama Lowassa hakutendewa haki,tutasemaje kuhusu sisi wananchi tuliobebeshwa mzigo huo wa wizi wake? Pesa wanazoiba zinatoka mifukoni kwetu,yeye kwenye jumba la PM pale o'bay,hanunui luku hata siku moja.Why should we think of him when he failed to think of us in times of need!Yeye kafaidika,na ukiifikiria vizuri ni kwamba wakati sisi tunakaa kwenye giza yeye alikuwa na umeme kwake na ontop that haulipii....sasa tena aje kutia mfukoni pesa ambazo sisi kama wananchi wa kawaida tunajikamua kulipia umeme ambao hata kupata hatupati,then leo tuseme hakutendewa haki!!!!
Yule jamaa aliyemfukuza kazi live on tv,alimtendea haki? Wananchi huwa wanafurahia wakisikia jambazi limeuawa na polisi,maana wanajua akienda kujitetea kuna uwezekano wa kurudi mtaani tena.Nani anataka kuwa na Lowassa tena? Mwacheni aende zake.
Kauli yake ya utetezi tunaijua,maana walitoa PCB,kauli ya utetezi ya wananchi kaitoa Mwakyembe.We won,and thats the end of it,and we have to move on.
Mwache nae sasa anunue luku kama sisi,na mgao ukija tena awashe jenereta lake,huku akimtuma yule kijana wake kununua dizeli,na ajue bei yake pia.
Sheria si ndio iliyomtoa Ditopile jela,wakati sheria hiohio imemfunga kijana wa miaka 17(mtoto wa nguza) maisha!Ndio iwe yeye eti hakuhojiwa! Please!
 
Mkuu Zanaki,

Concern ilikuwa siyo kwamba Lowassa hakutendewa haki, bali kuwa Lowassa kapewa msemo na sasa ana-spin mambo kwamba hakutendewa haki.Katika sheria ni muhimu si tu kwa haki kutendeka, bali pia kwa haki kuonekana imetendeka.

Na bila Lowassa kushtakiwa, kukutwa na hatia, na kuvuliwa hadhi yake ya "Waziri Mkuu Mstaafu" hawezi kununua Luku na dizeli kama wewe, ila atanunuliwa Luku na dizeli kwa fedha zako za kodi, atakaa kwenye nyumba ya serikali (I believe atapewa) na magari ya serikali yatakayolipiwa kuanzia mafuta mpaka services na serikali etc.Ndiyo maana sasa tunataka kuelekeza nguvu katika kuhakikisha Lowassa anashitakiwa na kuvuliwa privileges zote za PM mstaafu.
 
Back
Top Bottom