Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,268
- 17,097
Mbona hata wafanyakazi wana maranchi na mifugo mingi tu. Kwa wamasai mifugo ni desturi yao na ni utajiri wao. Ng'ombe anazaa mara moja kwa mwaka!!!!!!!!!!
Jaribu kuwa factual na utetee hiyo 3bn/- valued ranch