IMF wathibitisha, Serikali imeishiwa!

IMF wathibitisha, Serikali imeishiwa!

Hujawahi kuiona Serikali iliyofisika usingesema hayo. Ulikuwepo wakati tunapanga foleni ya unga wa njano wa msaada kutoka Merekani? ulikuwepo wakati tunavaa vitambaa vya "kirimplini"? ikiwa joto mpaka unaisikia inaungua mwilini, ikiwa baridi inaongeza kibaridi.

Hujawahi wewe kukesha kwenye foleni ya sukari, halafu unakuta wenzako wamepanga mawe kukuwahi na ukifika zamu yako unakuta kumbe sio sukari ni foleni ya mafuta ya nazi.

Hii nchi kijana, ilifilisika wakati wa Nyerere, tulikuwa wote kama wagonjwa kwa kukosa lishe bora.

Gilasi za kunywea maji hakuna madukani, tunatumia vifuu. Hujaiona wewe Serikali iliyofilisika na utajiri inao.


Mkuu hakuna maana yoyote kuposha mwelekeo wa mada. Sidhani kama kuna busara kuilinganisha Tanzania ya sasa na ya Nyerere. Wengine hatukuwepo kipindi hicho. Kwa hiyo unaposema kukesha kwenye foleni ya sukari, sijui Krimplin, hatuelewi, lakini ni kutokana na watanzania kukataa ujinga ndio maana hali ilibadilika. Hivi sasa wanakataa ujinga pia wa kuendesha uchumi kitoto kama serikali yetu inavyofanya. Tunafahamu kuwa wakati wa utawala wa awamu iliyopita kulikuwa na discpline kwenye borrowing and spending, the government was also serious in collecting taxes. Sasa hivi hayo hakuna. Kulikuwa na sound economic plans and implementations, we do not have them now. Sasa kinachoonekana ni kuwa tupo katika incremental mode, kwa lugha nyepesi ni hali ya kuendesha uchumi kwa staili ya "mkono uende kinywani"
 
Hivi huko Rombo ambako leo watu wanapewa sukari kwa foleni na mafuta yanapatikana kwa misururu sehemu mbalimbali nchini ni Afghanistani? Au watu wamesahau kuona hii misururu. Mbona sisi wengine wa enzi za Nyerere hatukumbuki siku ambayo taifa zima watu walikosa mafuta na kupanga foleni barabarani.. hadi mafuta ya taa kukosekana?
 
Hivi huko Rombo ambako leo watu wanapewa sukari kwa foleni na mafuta yanapatikana kwa misururu sehemu mbalimbali nchini ni Afghanistani? Au watu wamesahau kuona hii misururu. Mbona sisi wengine wa enzi za Nyerere hatukumbuki siku ambayo taifa zima watu walikosa mafuta na kupanga foleni barabarani.. hadi mafuta ya taa kukosekana?

Waambie mzee labda wataelewa. Mambo yanasuasua halafu tunadanganyana kila kitu kinaenda sawasawa.
Nyerere was not a failure...he did not lead us with excuses! Kweli lakuvunda halina ubani
 
sitachoka kukuita mjinga kwa sababu ujinga siyo tusi...ni sifa.

kwanza hizo picha zimepigwa kutoka juu kwa picha za namna hiyo hata uje upige choo chetu cha pasport size huku uswazini itapendeza tu.

pili nihakikishie katika hizo ghorofa za Dar/Kisutu uwiano wa waswahili na wahindi(wezi wa nchi yetu) wanaoishi au kufanya biashara humo.

nawasilisha.

Hiyo ndiyo mitaa ya akina FF!! Mwenziyo kakulia hapo!!
 
Tatizo ni watu wanaozuwa namna hii:

"Nimesikiliza taarifa ya saa 2 TBC 1, maafisa wa IMF walikuwa na mazungumzo na maafisa wa BOT wakatangaza kwamba serikali imeishiwa. "

Ukiisoma ripoti ya IMF ni tofauti na hayo. Kama si uzushi usiokuwa na maana ni nini?

"At the conclusion of the mission in Dar es Salaam, Mr. Allum issued the following statement:


"Despite recent power shortages, Tanzania's economy continues to grow strongly, expanding 6.3 percent in the first half of 2011. Core inflation, measured excluding food and energy components, remains in single digits, while headline inflation has approached 17 percent (year-on-year), boosted by global energy prices, food price effects from the drought in the Horn of Africa, and the recent depreciation of the shilling. Public spending has risen as a share of gross domestic product (GDP) in recent years to deliver significant growth in local government health, education and other social programs as well as scaled up investments in roads and other infrastructures. However, overall recurrent spending has outpaced revenue and grant financing, contributing to growing fiscal deficits and a rising public debt stock."



FF,

Hiyo sentece ya mwisho ndiyo yenye kubeba mzigo wote.............. Inaelekea tunaelekea mitaa ya Greece. And poor us hatuna Germany na France za kutubeba kama Greece unless tukubaliane na Cameron!!
 
Merekani wanakopa itakuwa Tanzania? mnanchekesha!

Kukopa kwa ajili ya investment ni safi kabisa. Tendo hilo hujulikana hujulikana kama leverage. Lakini kukopa kwa ajili ya consumption (matumizi ya kawaida) ni mbaya sana kwani unakuwa huongea uwezo wa kuilipa hiyo mikopo na riba yake.
 
Mdondoaji hata iweje leo hii huwezi kuilinganisha na "capital" ya hizo nchi na Tanzania lakini hapa tunaongelea "deficit" na kumbuka kila unapokuwa na "Capital" kubwa ukiwa na "deficit" nayo itakuwa kubwa.

Mfano bajeti billion 100, matumizi yako billion 108 hicho ni kiwango chako cha asilimia 8 deficit, ni billion 8 tu. Lakini unapokuwa na bajeti ya billion 1000 ukawa na "deficit" ya asilimia 3 tu, tayari unaongelea billion 30, kwa hiyo dificit ni deficit kiwa tajiri au maskini tena ina "impact" kubwa kwa tajiri kuliko maskini. Linganisha billion 30 na billion 8, tena hiyo ni asilimia 3 tu, sasa chukua Uingereza bajeti yao na asilimia 13 ya "deficit" halafu tazama ni kiasi gani hicho.

Nna uhakika umenielewa.

Faiza,

Hii sasa ndio siasa kwakuwa tu current account ya UK ni kubwa na ina trade deficit na ya tanzania ni ndogo basi Tanzania imefanya vizuri. Unajua kwamba USA, UK na Germany have one of largest capital account surplus. Wamarekani wamewekeza sehemu mbali mbali duniani, UK pia na Germany sasa tukiangalia financial statement ya nchi USA, UK and Germany they are at a pretty good shape. Nikuulize Capital account ya Tanzania ikoje? Je net capital inflow ni kiasi gani? Hata kama USA wana large deficit that is covered with capital inflows. Tanzania tuko kama Japan tukiwa na trade deficit basi tunayumba kwani ni dalili ya upungufu wa foreign currencies in our coffins.

By the way current account is not a budget it is a section of the financial statement of the country (Balance of Payments).
 
Faiza,

Hii sasa ndio siasa kwakuwa tu current account ya UK ni kubwa na ina trade deficit na ya tanzania ni ndogo basi Tanzania imefanya vizuri. Unajua kwamba USA, UK na Germany have one of largest capital account surplus. Wamarekani wamewekeza sehemu mbali mbali duniani, UK pia na Germany sasa tukiangalia financial statement ya nchi USA, UK and Germany they are at a pretty good shape. Nikuulize Capital account ya Tanzania ikoje? Je net capital inflow ni kiasi gani? Hata kama USA wana large deficit that is covered with capital inflows. Tanzania tuko kama Japan tukiwa na trade deficit basi tunayumba kwani ni dalili ya upungufu wa foreign currencies in our coffins.

By the way current account is not a budget it is a section of the financial statement of the country (Balance of Payments).

kaka hayo mambo ya Nkrumah Hall, Yombo, Theater 1 na Theater 2 sijui kama huyo mwenzako atakuelewa.

mwenzio ana data za magazeti ndiyo maana akibanwa anaenda kukopi data za kwenye gazeti, makala za Biashara za Daily Noise na kuzimwaga.

Jitahidi, lakini wanaokuelewa ni wengine na si hadhira unayoikusudia(Faiza).
 
Nimesikiliza taarifa ya saa 2 TBC 1, maafisa wa IMF walikuwa na mazungumzo na maafisa wa BOT wakatangaza kwamba serikali imeishiwa.

Mapato ya ndani ukichanganya na fedha za nje ni ndogo kuliko matumizi. Kwa hiyo serikali imelazimika kukopa benki za ndani hivyo kuwanyima waekezaji fedha kutoka mabenki.


Chadema walipokuwa wanasema tuondoe posho na kupunguza safari waliona mbali, sasa serikali inatumia tu mara Australia wanaenda msafara wa watu 80 wakati nchi haina pesa,

Mkuu asante sana kwa taarifa muhimu. Hil la kuishiwa tulishaliona siku nyingi na yote hayo yanasababishwa na matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi huku wakijua wazi kuwa ule mchango wa kapu la wafadhili ali maarufu kama Government Budget Support (GBS) umepungua sana hasa kwa kipindi cha kuyumba kwa uchumi wa dunia. Na pia kwa matumizi mabaya ya fedha hizo baadhi ya wafadhili wanaamua ku-fund miradi directly via NGOs and CBOs. Mfano mdogo ni uchaguzi wa Igunga, zilitumika zaidi ya bilion 3 na nyingi ziliishia pia kuhonga au kununua shahada kwa wale watanzania maskini ambao wao wakiona hata 500 tu huwa wanatetemeka kwa kuwa yale maisha bora kwa kila mtanzania yamegeuka maisha maskini ya kutupwa kwa mtanzania wa kawaida ( a common man) hasa wale wa vijijini ambao hata mvua ya kuwaletea chakula hakuna tena kwa baadhi ya maeneo nchini. Sasa basi huyu Rais wetu ambaya naye ni mchumi (ana degree ya economics) na honorary PhD (hivi ya nini vile? Social work or ? nikumbushe). Yaa nchi ya amani na utulivu!!!! Tutavumilia tu, hakuna jinsi, tufunge mikanda tena very tight!!! Eti ndiyo misemo ambayo haimpi ahueni mwananchi wa kawaida! Heri mimi nina ka mshahara na kale ka bustani!!!! but maisha bado ni magumu! Je wale wasio nacho kabisa na gap inazidi kuongezeka i.e Real income disparity is very high!!!! Na tukijidai kutumia per capita income hata ile ya mafisadi inaingia na ku-inflate halafu tuna generalize!!!! Let us focus on Human Development jamani kwa kutumia resources wisely!!!!
 
Kukopa kwa ajili ya investment ni safi kabisa. Tendo hilo hujulikana hujulikana kama leverage. Lakini kukopa kwa ajili ya consumption (matumizi ya kawaida) ni mbaya sana kwani unakuwa huongea uwezo wa kuilipa hiyo mikopo na riba yake.

Wameshakopa several times domestic banks kwa ajili ya kulipa mishahara i.e P.E account ya serikali ni nusu kaputi!!!!
 
hahaha!

kakulia kwenye round-about?

Si unajua FF anajifanya yeye wa mjini sana, kazaliwa na kukulia Dar!!! Kazi yake humu kuponda CCM ya Nyerere na kusifia CCM ya Kikwete!! Ni kama kuchukia mti halafu unapenda tunda!! It doesn't make sense to anybody but it does to her???
 
effective leader.jpg
nimepata haka ka quote sehemu fulani ni nimeonelea nikaweke hapa ili kama kuna watu wanaosimamia uchumi wa nchi hii wakikaona wajifunze lolote.
Mahesabu ya hawa jamaa ni kuwa wana malimbikizo ya fedha za kutosha ambazo wanaamini zinawatosha wao na familia zao lakini sijui kama ni busara kuwa na 'roho mbaya' kiasi hiki. Kudidimiza uchumi wa nchi wakati wapo wanatuchekea tu.
 
Sawa sawa mkuu. Ebu tusaidiane kuchambua hili:

Mkullo June 2011


Mheshimiwa Spika, kwa upande wa matumizi, katika mwaka 2011/12 Serikali imepanga kutumia jumla ya shilingi
bilioni 13,525.9 kwa matumizi ya kawaida na maendeleo. Kati ya fedha hizo, kiasi cha shilingi bilioni 8,600.3 kimetengwa kwa ajili ya matumizi ya kawaida, ikijumuisha shilingi bilioni 3,270.3 kwa ajili ya mishahara ya watumishi wa Serikali, taasisi na wakala za Serikali na shilingi bilioni 1,910.4 kwa ajili ya Mfuko Mkuu wa Serikali.

Aidha, jumla ya shilingi bilioni 4,925.6 zimetengwa kwa ajili ya miradi ya maendeleo, ambapo shilingi bilioni 1,871.5 ni fedha za ndani na shilingi bilioni 3,054.1 ni fedha za nje.

Mapato:
A: Mapato ya Ndani 6,775,952
(i) Mapato ya Kodi (TRA) 6,228,836
(ii) Mapato Yasiyo ya Kodi 547,116
B: Mapato ya Halmashauri 350,496
C: Mikopo na Misaada ya Nje 3,923,551
D: Mikopo ya Ndani 1,204,262
E: Mikopo ya Masharti ya Kibiashara 1,271,634
JUMLA YA MAPATO YOTE 13,525,895

F: Matumizi ya Kawaida 8,600,287
(i) Mfuko Mkuu wa Serikali 1,910,376
(ii) Mishahara 3,270,292
(iii)Matumizi Mengineyo 3,419,619
Wizara 2,727,472
Mikoa 49,981
Halmashauri 642,166

G: Matumizi ya Maendeleo 4,924,608
(i) Fedha za Ndani 1,871,471
(ii)Fedha za Nje 3,054,137
JUMLA YA MATUMIZI YOTE 13,525,895

---
Ukisoma katika ufunguzi utaona kuna takwimu zimefinywa finywa, hazielezwi zimeenda wapi na mantiki yake ni matumizi ya kawaida in the form of posho, mishahara, repairs za majengo haya na yale, dhfa za kitaifa n.k - kwa ufupi i still hold kwamba 60% of the budget goes to other things than maendeleo ya Mtanzania. Thats the bottomo line.
wadau mimi naona nchi hii haina wasomi bado kwani watu wa uchumi kweli wapo nchi hii na wanashindwa kupanga mipango inayoeleweka ya kukuza uchumi wetu au elimu mfukoni?
 
Mkishindwa hoja huwa mnaanza fujo, hata hapa unaanzisha hayohayo, hamna cha kusema;

Weka idadi ya barabara za lami kabla ya Kikwete
Weka idadi ya Shule kabla ya Kikwete
Weka idadi ya Waalimu kabla ya Kikwete
Weka idadi ya Zahanati kabla ya Kikwete
Weka idadi ya Viwanda kabla ya Kikwete
Weka idadi ya Utalii kabla ya Kikwete
Weka idadi ya Umeme kabla ya Kikwete
Weka idadi ya Maji kabla ya Kikwete
Weka idadi ya kazi kabla ya Kikwete
Weka idadi ya biashara kabla ya Kikwete
Weka idadi ya umaskini kabla ya Kikwete
Weka idadi ya kilimo kabla ya Kikwete
Weka idadi ya bidhaa zinazopita bandari zetu kabla ya Kikwete
Weka akiba ya fedha tulokuwa nayo kabla ya Kikwete


Ukimaliza weka na idadi ya wakati huu wa Kikwete, itayokuwa zaidi ya leo hii wakati wa Kikwete, mimi naihama CCM leo hii.

Du! Dada yangu "If your words are less important than silence, just keep quiet"......
 
Hivi dada yetu faiza anatetea Chama Cha mapinduzi ana anatetea awamu ya 4? kwasababu either way, anayosema hayana mashiko; nchi ipo hoi kiuchumi chini ya CCM; nchi ipo hoi kiuchumi chini ya awamu ya 4; haya hayana ubishi; wasaidizi wa Rais wanamdanganya;
 
Mkishindwa hoja huwa mnaanza fujo, hata hapa unaanzisha hayohayo, hamna cha kusema;

Weka idadi ya barabara za lami kabla ya Kikwete
Weka idadi ya Shule kabla ya Kikwete
Weka idadi ya Waalimu kabla ya Kikwete
Weka idadi ya Zahanati kabla ya Kikwete
Weka idadi ya Viwanda kabla ya Kikwete
Weka idadi ya Utalii kabla ya Kikwete
Weka idadi ya Umeme kabla ya Kikwete
Weka idadi ya Maji kabla ya Kikwete
Weka idadi ya kazi kabla ya Kikwete
Weka idadi ya biashara kabla ya Kikwete
Weka idadi ya umaskini kabla ya Kikwete
Weka idadi ya kilimo kabla ya Kikwete
Weka idadi ya bidhaa zinazopita bandari zetu kabla ya Kikwete
Weka akiba ya fedha tulokuwa nayo kabla ya Kikwete


Ukimaliza weka na idadi ya wakati huu wa Kikwete, itayokuwa zaidi ya leo hii wakati wa Kikwete, mimi naihama CCM leo hii.

tatizo la data zako za kukopi kutoka wikipedia..

hivi kuna kitu kinaitwa 'idadi ya maji'?
 
Hivi dada yetu faiza anatetea Chama Cha mapinduzi ana anatetea awamu ya 4? kwasababu either way, anayosema hayana mashiko; nchi ipo hoi kiuchumi chini ya CCM; nchi ipo hoi kiuchumi chini ya awamu ya 4; haya hayana ubishi; wasaidizi wa Rais wanamdanganya;

Mchabuzi Hapo kwa FF utakesha yeye hatetei CCM anatetea baadhi ya wana CCM. Kwa hoja za kweli na uwongo yeye ana wana CCM fulani atawalinda tu na wapo atawabomoa tu

BTN
hivi mchambuzi wewe huko kama mwana CCM ina maan huko CCM hakuna think tank ya wachumi ya watu wa IT ya maengineer. etc. sometime huwa mnakaa na kutoa na kushauriana mapendekezo na wale mliowapa jukumu la uyatekeleza ?

Maana hawa wansiasa si wa CCM si wa CDM si wa CUF sijawai kuona hata mbunge tena hata wale vijana kama kina Makamba, Mnyika, Mdee, kafulila etc wakiaiika kupokea mawazo ya wasomi wa fani fulani.
 
Duuh! Sometimes it is difficult to understand logic which is used by other people in arguments. Kama kusema imefilisika ni neno kali sana, basi tuseme serikali imechacha!
Hitler during last days of the war of Berlin, stopped living in the world of realities. Basically he was living in the world of fantasies. He was planning a winning battle on table, full of arm divisions, while in actual fact the divisions were not existing on ground. The consequenses of that day dreaming was suicade because he could not imagine facing the world full of realities.
Naona Tanzania yetu kuna watu wanajenga hoja zao kama Hitler enzi zileee. Pengine ni kwasababu ya kuneemeka na mfumo uliopo lakini, nina hakika wanajua historia imewatupa kwenye kapu gani...they are loosers!
 
Back
Top Bottom