IMF wathibitisha, Serikali imeishiwa!

IMF wathibitisha, Serikali imeishiwa!

serikali imefuluia hilo halina ubishi hata pesa za kuendesha ofisi za serikali hazipo,tasisi nyingi za serikali zinadaiwa shule hazina walimu na walimu wapo miitaaani hawana ajira,na naibu waziri TAMISEMI kashasema fedha hakuna kwenye kipindi cha dakika 45 juzi,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,!
 
Kwani wee Faizafoxy unakaidi nini hapa mi mbona sijakiona, je unabisha kwamba hali ya uchumi siyo mbaya kiasi ya kwamba kazi nyingi zilizopangwa kufanywa kwa mujibu wa bajeti kusimama au ni kitu gani dada wee unachobisha? Halafu wee ni mbumbumbu kabisa hata katika general knowledge. Ivi unadhani uchumi una kanuni za 1+1=2? No, uchambuzi wa kiuchumi always unategemea ile "ceteris paribus", kwamba applicability ya factor A lazima itegemee na situation ya factors nyinginezo dada wee!. Je hapo unaposema "devaluation ya Currency/sarafu(siyo fedha) huwa inasaidia sana ku-export" umejiuliza maswali mawili madogo ikiwa kushuka kwa thamani ya shilingi ya Tz ni by devaluation au just falling? Bimaana Tanzania inafanya Devaluation Policy au economic factors zinaishusha thamani yenyewe? Na je kushuka huko kwa shilingi kutasaidia vipi ku-export hali ya kuwa production ya Tanzania imedorora so hakuna cha ku-export? Hiyo quote ya Aya ya Qur'an katika signature yako inaaibisha hata jamii ya waislamu kwa kuwa uislamu unaamini katika multifaceted attitude/economic; bimaana uislamu unaamini katika haqi regardless hiyo haki imefanywa na nani. Mchambuzi amejitahidi kukuelewesha kuwa usifanye analysis as if kichwani tayari una majibu kuwa wachangiaji wana lengo la kumponda Rais, hapana. Kama Serikali tuliyoko Hazina, BoT, Ikulu na maeneo kama hayo huwa hatusemi tumeshindwa, always, hiyo ni political weapon allover the world. Lakini nafsi zetu zinajua kwamba hali iko vipi. Hata Ghadaf(MABHP) na Saddam(MABHP) walipokuwa wamejua wamezidiwa hawakutamka waziwazi kuwa wamezidiwa. kwenda shule ni kutu chengine na kuelimika ni suala jengine, tunakubali kuwa umeenda shule lakini hujaelimika kwa baadhi ya mambo hasa haya uliyojadili katika thread hii.Sasa tunakuomba kwenye nyeupe sema nyeupe, na kwenye nyeusi sema nyeusi, Usidhihirishe ujinga na upumbavu kwa pamoja hiyo ni hatari dada. Sasa tukija kwa mleta hii mada kama amenukuu sawia taarifa ya IMF au la kwamba serikali imeishiwa au haijaishiwa jawabu ni kwmaba. Hata kama taarifa ya IMF isingelikuwepo, kutoka katika system wanakupa ukweli kuwa Serikali imeishiwa so inajipanga itoke tena kivingine, huo ndo uhalisia. Sasa wee njoo na vivid/empirical evidence kuonyesha kwamba haijaishiwa achana na calculated figure hizo.

Umemeaga pumba nyiiingi mchele hakuna.

Hakuna ulisemalo hata moja linaloleta maana halisi. Ripoti ya IMF ni tofauti na muono wako "reserve" ipo, simpo, au hilo pia ni gumu kwako hulioni? Takwimu zinaonesha kuwa mpaka sasa tumepunguza sana kutegemea bajeti yetu kutoka kwa wafadhili, kutoka zaidi ya asilimi 40 wakati wa Mkapa kushuka hadi asilimia isiyozidi 28 wakati wa Kikwete na wakati huo huo bajeti yetu imeongezeka maradufu.

Vigezo vya Serikali kutimizq wajibu wake ni "list" niliyoiweka, tuchambuwe, hakuna hata mmoja wenu anaethubutu hata kuigusia. kwanini? hamna cha kujibu katika hilo. Mnabaki kucheza na maneno mara hiki mara kile, kila takwimu inaonesha ni tofauti na mnavyotaka iwe.

Serikali inaishiwa inakuwa na "reserve" muulize Mwinyi (rejea hotuba ya mikuki miwili kwa wazee wa Dar Diamond Jubilee) utajuwa Serikali iliyoishiwa inakuwaje.

Msizisute nafsi zenu. Ukweli maujuwa na mnajuwa kuwa kurekebisha makosa yaliyokuwa ndio msingi wa uchumi ni kugumu sana na tunakwenda vizuri sana toka aingie madarakani Kikwete, labda muwe na yenu lakini kwa hili hamna hoja ya maana, mnazunguka kama pia, vruuuu lakini mnaishia hapo hapo, hamsogei mbele, fungukeni muone vitu kwa mtazamo wake.
 
serikali imefuluia hilo halina ubishi hata pesa za kuendesha ofisi za serikali hazipo,tasisi nyingi za serikali zinadaiwa shule hazina walimu na walimu wapo miitaaani hawana ajira,na naibu waziri TAMISEMI kashasema fedha hakuna kwenye kipindi cha dakika 45 juzi,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,!

Hoja yako ni hafifu sana na haina mshiko, ripoti ya IMF inapingana na kauli zako, isome imewekwa juu huko.
 
"Reserve" hauna hauna haja ya kununuwa shillingi, unaagiza kwa hiyo "reserve" yako. "Devaluation" ya fedha huwa inasaidia sana ku "export" na kujiboreshea "reserve" yako ya kigeni. Hii fursa inatakiwa watu waitumie kuuza bidhaa nje mbio mbio, wanaoumia zaidi ni waagizaji wa nje.

Nakumbuka miaka miwili ya nyuma Merekani mpaka iliwaangukia Wachina waongeze thamani ya fedha zao wanawaumiza kiuchumi wakiziwacha ziporomoke. Kumbuka nilikuambia nimeenda shule, na sitanii.

Kama huko ndio kwenda shule kazi ipo. Hivi ndivyo viwango vya shule vya matrans...
 
Utanifanya nivunje ka laptop kangu...

Bado uko kwenye Ma laptop? Kumbuka Tanzania haina ushuru wa kompyuta itumie fursa hiyo, sasa hivi watu tuna dunda na vi "palm top" na vi "tablet", wewe upo wapi sijui. Vunja tuu hiyo, haina soko kwa sasa. Unanchekesha!
 
Kama huko ndio kwenda shule kazi ipo. Hivi ndivyo viwango vya shule vya matrans...

Unajua huyu ndugu yetu hataki kusikia lolote hasi linalohusu serikali hii japo maumivu ya hali ngumu iliyopo na inayokuja ina/itatukuta wote bila kujali rangi,kabila,itikadi wala nini, jamaa hapa wamejaribu kuelezea hali ilivyo na jinsi ya kutoka lakini yeye kakazana na ukuaji wa asilimia 6.3 ambayo pamoja na wachambuzi kumueleza jinsi hao IMF walivyocheza na equation ya GDP kwa kuingiza exportation ya gold lakini kiukweli hakuna impact katika uchumi mdogo bado kakomaa..waungwana wameamua moja bora kukubaliana naye kutokukubaliana..
 
"Reserve" hauna hauna haja ya kununuwa shillingi, unaagiza kwa hiyo "reserve" yako. "Devaluation" ya fedha huwa inasaidia sana ku "export" na kujiboreshea "reserve" yako ya kigeni. Hii fursa inatakiwa watu waitumie kuuza bidhaa nje mbio mbio, wanaoumia zaidi ni waagizaji wa nje.

Nakumbuka miaka miwili ya nyuma Merekani mpaka iliwaangukia Wachina waongeze thamani ya fedha zao wanawaumiza kiuchumi wakiziwacha ziporomoke. Kumbuka nilikuambia nimeenda shule, na sitanii.

China uchumi wake unategemea export kama ulivyo uchumi wa Japan na Marekani. According to figures za 2010 China ndio biggest export of manufacturing goods (World Bank, IMF, 2010). Wenzetu wana surplus katika Trade account (Export is estimated around $1.582 Trillion while Import ni just $1.327 Trillion). Kwahiyo in short wenzio devaluation is conducted to stimulate economic growth.

Tanzania hatuna tunachokizalisha kama manufacturer na tuna export zaidi raw materials kama kahawa, katani, karafuu etc. Kwanza bidhaa hizi sisi tunakuwa hatuna influence kwenye kunegotiate prices in world market (we take what we get) na vile vile soko lake linategemeana na mahitaji. Vile vile kilimo hicho hatukiendelezi na ndio maana mapato ya kilimo yanaporomoka sasa hivi yako kwenye kiwango cha 26% of country economy. Pili madini ambayo tunayauza kwa bei ya kutupa. Worse enough makampuni ya madini hayalipi kodi na tunalipwa only a handful of 3%.

Sasa sijui wewe mwenzetu ni realist wa aina gani kwani naona unazungumza mambo ambayo ni false na that contradicts your statement that you do not believe on fallacy statement and you believe in real data. Au mwenzetu ni kati ya nyie wabunge mnaodai maposho zaidi bungeni siku serikali ikifilisika msikimbie nchi kwani tutawafuata tuwadai hata huko ulaya, marekani, au arabuni au kokote mnakoenda kujificha.

Hembu nikuulize unajua growth ya maskini na matajiri tanzania imefikia kiwango sasa hivi?
 
Kwanza huo mrabaha wa 3% umeongezeka na kuwa 4% kwa sasa, halafu kuhusu Tax, unapotosha kwa makusudi kabisa, soma:

DAR ES SALAAM (Reuters) - Africa's biggest gold miner
AngloGold Ashanti has started paying 30 percent corporate tax to the Tanzanian government this year for its Geita mine, in line with the east African country's new mining policy.
source: AngloGold starts paying 30 pct tax rate in Tanzania | Reuters

[FONT=arial,helvetica,sans-serif]Prospects that some major gold mining companies in Tanzania would follow Barrick Gold Tanzania exemplary of ``goodwill gesture`` of paying advance corporate tax look imminently hard to pin down.

Way back in October 2006, mostly acting under government`s threats on freezing gold miners` bank accounts unless they settled issues related to fiscal liabilities and mining contracts,
[/FONT]
[FONT=arial,helvetica,sans-serif]Barrick Gold Tanzania acted quickly in response by agreeing to pay USD7 million a year for five years as advance payment for corporate tax. [/FONT][FONT=arial,helvetica,sans-serif]
source:
[/FONT]http://protestbarrick.net/article.php?id=371

Huwa nashangaa habari za kupotosha zinawasaidia nini?
 
Kwanza huo mrabaha wa 3% umeongezeka na kuwa 4% kwa sasa, halafu kuhusu Tax, unapotosha kwa makusudi kabisa, soma:

DAR ES SALAAM (Reuters) - Africa's biggest gold miner
AngloGold Ashanti has started paying 30 percent corporate tax to the Tanzanian government this year for its Geita mine, in line with the east African country's new mining policy.
source: AngloGold starts paying 30 pct tax rate in Tanzania | Reuters

Prospects that some major gold mining companies in Tanzania would follow Barrick Gold Tanzania exemplary of ``goodwill gesture`` of paying advance corporate tax look imminently hard to pin down.

Way back in October 2006, mostly acting under government`s threats on freezing gold miners` bank accounts unless they settled issues related to fiscal liabilities and mining contracts,
Barrick Gold Tanzania acted quickly in response by agreeing to pay USD7 million a year for five years as advance payment for corporate tax.
source:
http://protestbarrick.net/article.php?id=371

Huwa nashangaa habari za kupotosha zinawasaidia nini?

Hivi faiza unasomaga hizi link unazozibandika au unabandika tu? Hebu soma hapa?

DAR ES SALAAM (Reuters) - Africa's biggest gold miner AngloGold Ashanti has started paying 30 percent corporate tax to the Tanzanian government this year for its Geita mine, in line with the east African country's new mining policy.
This is the first time that the mine has started paying corporate tax in Tanzania since it began commercial gold production in August 2000.

Tunadanganya kitu gani wakati for the past 10 years Anglo Gold hawalipi kodi? Pili hata huo mrahaba bado makampuni ya madini yanapinga na hivyo it is not certain watakubali kulipa 4% na kuhusu corporate tax tumeanza kulipigia kelele sio leo tangu 2007 mwaka ndio serikali imeamka baada ya kuanza kuona inapoteza umaarufu nchini. Kibaya zaidi na wafanyakazi wake wanawalipa in foreign currencies, baadhi ya makampuni ya madini wameweka mikopo feki ili kupunguza faida (Source: Raia Mwema la wiki iliyopita). Huna cha kudanganya na mbona unakimbia swali langu devaluation ya Tanzania inasaidia kitu gani????
 
Faiza soma zaidi hapa:

Australian gold miner Resolute Mining was the first mining company to start paying corporate tax in Tanzania, according to the African country's minerals ministry.

Naomba nikuulize kuna makampuni mangapi ya machimbo ya madini nchini? Vile wachimbaji wa madini wadogo na wa kati kama akina Mengi na wengineo nao wanalipa kodi kiasi gani? Na hao Resolute walianza kulipa kodi lini?
 
Unajua huyu ndugu yetu hataki kusikia lolote hasi linalohusu serikali hii japo maumivu ya hali ngumu iliyopo na inayokuja ina/itatukuta wote bila kujali rangi,kabila,itikadi wala nini, jamaa hapa wamejaribu kuelezea hali ilivyo na jinsi ya kutoka lakini yeye kakazana na ukuaji wa asilimia 6.3 ambayo pamoja na wachambuzi kumueleza jinsi hao IMF walivyocheza na equation ya GDP kwa kuingiza exportation ya gold lakini kiukweli hakuna impact katika uchumi mdogo bado kakomaa..waungwana wameamua moja bora kukubaliana naye kutokukubaliana..

Hali ngumu inakuja kwa uvivu wa kujituma na si vinginevyo, nakupa mfano mdogo sana; Nyumbani kwangu nna "house girl" mshahara wake ni mdogo sana TZS 60,000/= kwa mwezi (ni juu ya kiwango cha Utumishi wa ndani wa Tanzania) kwa kuwa anakula na kulala kwangu. Huyu msichana baada ya kufanya kazi miaka miwili kwangu akanambia mama "hii akiba yangu (TZS 900,000) nataka uniongezee ninunue pikipiki nimuweke mtu aendeshe itanisaidia kupata pesa za ziada". Nikafurahi sana, nikamchukuwa hadi duka la mapikipiki ya kichina, kwa fedha yake ileile bila ya kumkopesha hata senti tano, Wachina wakakubali dhamana tu yangu, pikipiki zilikuwa 1,100,000/= siku hizo, wakachukuwa kitambulisho changu na chake na wakasema "tuje mpaka kwako tupaone na usaini huu mkataba kuwa wewe ndio unamdhamini", tukafanya hivyo. Leo hii huyu msichana, deni la laki mbili kamaliza, kaongeza pikipiki nyingine, ana pikipiki mbili kwa sasa kila moja inamletea 210,000/= net kwa mwezi, na kazi yake anaendelea. Wachina kila wakitoa model mpya wanatupigia simu na sasa wako tayari kumpa hizo pikipiki bila senti tano ya advance, awalipe kila mwezi 150,000/=. Ana kipato kizuri kwa sasa na ana plan ya kununuwa zingine 3 ziwe tano.

Nnakueleza hayo kukujulisha kuwa kila Mtanzania ana fursa ya kujikwamua kiuchumi, na hakuna ubishi katika hilo. Angeyaweza hayo wakati wa Nyerere? thubutu.
 
Hivi Faiza unajua tofauti ya Economics and Entrepreneurship???
 
Hii kitu ya kukopa kwenye benki za kibiashara tena za ndani! Na kutumia mikopo hiyo kwa ajili ya kuagiza mafuta nje, lina madhara sana. Wanajamvi wengi waliliona hili na kulitolea msimamo lakini walitupuuza. Sasa ngoja tuone kitakachofuata baada ya hatua hiyo ya IMF
Mkuu, sawa kabisa. Kwa mara ya kwanza uungwana ni kitendo mara nyingi amezungumzia kushuka kwa thamani ya shilingi yetu na serikali sees it as if it is nobody's business. Uchumi wa Botswana, Switzerland, Malaysia, na nchi zingine za Great Thinkers uko imara na wananchi wake wanapata huduma imara n endelevu, Bongo tunangojea kupewa misaada kama vile hatuna akili wakati uchumi tumeukalia. Kweli tumelaaniwa, pamoja na Mungu kutupendelea kwa kutupatia utajiri mkubwa. Naona ni wakati kwa serikali kuchukua hatua, how???!!! kwa kuamua maamuzi magumu, ikiwa pamoja na kubadilisha CABINET na watendaji kwenye maeneo ya utengenezaji sera na utekelezaji.
 
Umemeaga pumba nyiiingi mchele hakuna.

Hakuna ulisemalo hata moja linaloleta maana halisi. Ripoti ya IMF ni tofauti na muono wako "reserve" ipo, simpo, au hilo pia ni gumu kwako hulioni? Takwimu zinaonesha kuwa mpaka sasa tumepunguza sana kutegemea bajeti yetu kutoka kwa wafadhili, kutoka zaidi ya asilimi 40 wakati wa Mkapa kushuka hadi asilimia isiyozidi 28 wakati wa Kikwete na wakati huo huo bajeti yetu imeongezeka maradufu.

Vigezo vya Serikali kutimizq wajibu wake ni "list" niliyoiweka, tuchambuwe, hakuna hata mmoja wenu anaethubutu hata kuigusia. kwanini? hamna cha kujibu katika hilo. Mnabaki kucheza na maneno mara hiki mara kile, kila takwimu inaonesha ni tofauti na mnavyotaka iwe.

Serikali inaishiwa inakuwa na "reserve" muulize Mwinyi (rejea hotuba ya mikuki miwili kwa wazee wa Dar Diamond Jubilee) utajuwa Serikali iliyoishiwa inakuwaje.

Msizisute nafsi zenu. Ukweli maujuwa na mnajuwa kuwa kurekebisha makosa yaliyokuwa ndio msingi wa uchumi ni kugumu sana na tunakwenda vizuri sana toka aingie madarakani Kikwete, labda muwe na yenu lakini kwa hili hamna hoja ya maana, mnazunguka kama pia, vruuuu lakini mnaishia hapo hapo, hamsogei mbele, fungukeni muone vitu kwa mtazamo wake.
Ukiona hoja inajibiwa kwa vioja na viroja ujuwe anayejibu hana hoja-toka apa usiltuletee uharo wako apa. Yaani wakiitwa wasomi na wee upo kweli? You cant be serious woman!
 
Hali ngumu inakuja kwa uvivu wa kujituma na si vinginevyo, nakupa mfano mdogo sana; Nyumbani kwangu nna "house girl" mshahara wake ni mdogo sana TZS 60,000/= kwa mwezi (ni juu ya kiwango cha Utumishi wa ndani wa Tanzania) kwa kuwa anakula na kulala kwangu. Huyu msichana baada ya kufanya kazi miaka miwili kwangu akanambia mama "hii akiba yangu (TZS 900,000) nataka uniongezee ninunue pikipiki nimuweke mtu aendeshe itanisaidia kupata pesa za ziada". Nikafurahi sana, nikamchukuwa hadi duka la mapikipiki ya kichina, kwa fedha yake ileile bila ya kumkopesha hata senti tano, Wachina wakakubali dhamana tu yangu, pikipiki zilikuwa 1,100,000/= siku hizo, wakachukuwa kitambulisho changu na chake na wakasema "tuje mpaka kwako tupaone na usaini huu mkataba kuwa wewe ndio unamdhamini", tukafanya hivyo. Leo hii huyu msichana, deni la laki mbili kamaliza, kaongeza pikipiki nyingine, ana pikipiki mbili kwa sasa kila moja inamletea 210,000/= net kwa mwezi, na kazi yake anaendelea. Wachina kila wakitoa model mpya wanatupigia simu na sasa wako tayari kumpa hizo pikipiki bila senti tano ya advance, awalipe kila mwezi 150,000/=. Ana kipato kizuri kwa sasa na ana plan ya kununuwa zingine 3 ziwe tano.

Nnakueleza hayo kukujulisha kuwa kila Mtanzania ana fursa ya kujikwamua kiuchumi, na hakuna ubishi katika hilo. Angeyaweza hayo wakati wa Nyerere? thubutu.
Umeona uharo mwingine huu unaoelezea capacity knowledge yako? Hebu mpeleke shule badala ya kumtafutia case huyo binti.
 
Umemeaga pumba nyiiingi mchele hakuna.

Hakuna ulisemalo hata moja linaloleta maana halisi. Ripoti ya IMF ni tofauti na muono wako "reserve" ipo, simpo, au hilo pia ni gumu kwako hulioni? Takwimu zinaonesha kuwa mpaka sasa tumepunguza sana kutegemea bajeti yetu kutoka kwa wafadhili, kutoka zaidi ya asilimi 40 wakati wa Mkapa kushuka hadi asilimia isiyozidi 28 wakati wa Kikwete na wakati huo huo bajeti yetu imeongezeka maradufu.

Tafadhali soma jedwali hapo chini.

Mwaka wa Fedha
Mapato ya ndani (Shillingi)
Fedha za Wahisani (Shillingi)
Jumla ya Bajeti (Shillingi)
Asilimia ya Wahisani kwenye bajeti (%)
Asilimia ya mapato ya ndani kwenye bajeti (%)
2010 – 2011
8.3 trillion
3.2 trillion
11.6 trillion
28%
72%
2011 – 2012
6.7 trillion
3.9 trillion
13.5 trillion
28%
49%

Wewe au Mkullo anatuambia nini hapo juu? Kwani bajeti iliyopita aliahidi by 2015 dependency yetu kwa wahisani itashuka to under 10%; kwa sasa ipo at 28% kwa two financial periods mfululizo. Based on the table above, inahitaji akili zipi za ziada kujua kwamba June 2012 Mkullo atakuja bajeti yenye Aid dependency above 28%? Kwani ishara ipo wazi – angalia mwaka wa 2010 – 2011 mchango wa wahisani ni 28% of the budget na mchango wa mapato yetu ya ndani on the budget ni 72%; then mwaka wa fedha 2011 – 2012 wahisani bado wapo at 28% in terms of mchango wao kwenye our budget, lakini mchango wa mapato yetu towards the budget yameshuka from 72% (2010 – 2011) to 49% (2011 – 2012); Je unafahamu the remaining 33% ya fedha towards bajeti yetu ya 2011 – 2012 imetokea wapi? imetokana na among other things, mikopo toka mabenki yetu, pesa za pension funds za wafanyakazi wetu ndio maana malipo ya wastaafu ni vurugu tupu; Pia imetokana na selling of government securities and bonds ambazo hata hivyo kwa sasa hazina thamani ya maana kwa wanunuzi kwani serikali imechacha kiasi cha kutovutia hata hizo securities;

Hakuna shaka kwamba given uchwara wa uchumi wa Mkullo na Ndullu, in the coming financial year, tutarudi kwa donors tena kwani kama BOT wana nia nzuri na uchumi huu, lazima waiambie serikali kwamba sasa basi, hakuna hela huku BOT na punguzeni kutegemea mabenki ya biashara kwani by doing so serikali inazidi dry up the liquity ya private sector hapa nyumbani na hivyo kupelekea less and less money to be available for capital/investment in the economy kitu ambacho kitazidi shusha GDP growth; Cha ajabu ni kwamba BOT badala yak u deal na fiscal problems za serikali ambazo ni moja ya vyanzo vikubwa vya inflation (kwani 60% ya bajeti inaenda kwenye posho na misharaha na malipo ya makampuni za tender); na badala ya BOT kushughulikia mzunguko wa M-PESA ambao ni 50% ya jumla ya mzunguko wa pesa nchini, BOT inaendelea kuwaogopa wamiliki wa VODACOM na hivyo not to bother to regulate M-PESA; Jumla ya M-PESA transactions ni 20 billion shillings a day, jumla ya transactionz zote za mabenki Tanzania ni 20 billion shillings a day; sasa BOT wanapoenda kupandisha interest rate and cash reserve requirements za commercial banks maana yake si they are just dealing with 50% of the cash in the economy a kuacha the 50% under MPESA kufanya watakavyo? Uchumi gani huu kama sio uchwara; hatua za BOT juzi zinaumiza tu private sector bure wakati tatizo kubwa lipo kwenye upande wa matumizi ya serikali;

Na bajeti ijayo, dependency on foreign AID kwenye bajeti itapanda tu from the current level of 28%, ndio maana David Cameroon anatamba na condition yake ya ‘ushoga' because he knows hiyo 28% unayomsifia Mkullo dada yangu faiza itarudi juu; tusubiri June 2012 bajeti ya 2012 – 2013 tuone;
 
Tafadhali soma jedwali hapo chini.

Mwaka wa FedhaMapato ya ndani (Shillingi)Fedha za Wahisani (Shillingi)Jumla ya Bajeti (Shillingi)Asilimia ya Wahisani kwenye bajeti (%)Asilimia ya mapato ya ndani kwenye bajeti (%)
2010 – 20118.3 trillion3.2 trillion11.6 trillion28%72%
2011 – 20126.7 trillion3.9 trillion13.5 trillion28%49%

Wewe au Mkullo anatuambia nini hapo juu? Kwani bajeti iliyopita aliahidi by 2015 dependency yetu kwa wahisani itashuka to under 10%; kwa sasa ipo at 28% kwa two financial periods mfululizo. Based on the table above, inahitaji akili zipi za ziada kujua kwamba June 2012 Mkullo atakuja bajeti yenye Aid dependency above 28%? Kwani ishara ipo wazi – angalia mwaka wa 2010 – 2011 mchango wa wahisani ni 28% of the budget na mchango wa mapato yetu ya ndani on the budget ni 72%; then mwaka wa fedha 2011 – 2012 wahisani bado wapo at 28% in terms of mchango wao kwenye our budget, lakini mchango wa mapato yetu towards the budget yameshuka from 72% (2010 – 2011) to 49% (2011 – 2012); Je unafahamu the remaining 33% ya fedha towards bajeti yetu ya 2011 – 2012 imetokea wapi? imetokana na among other things, mikopo toka mabenki yetu, pesa za pension funds za wafanyakazi wetu ndio maana malipo ya wastaafu ni vurugu tupu; Pia imetokana na selling of government securities and bonds ambazo hata hivyo kwa sasa hazina thamani ya maana kwa wanunuzi kwani serikali imechacha kiasi cha kutovutia hata hizo securities;

Hakuna shaka kwamba given uchwara wa uchumi wa Mkullo na Ndullu, in the coming financial year, tutarudi kwa donors tena kwani kama BOT wana nia nzuri na uchumi huu, lazima waiambie serikali kwamba sasa basi, hakuna hela huku BOT na punguzeni kutegemea mabenki ya biashara kwani by doing so serikali inazidi dry up the liquity ya private sector hapa nyumbani na hivyo kupelekea less and less money to be available for capital/investment in the economy kitu ambacho kitazidi shusha GDP growth; Cha ajabu ni kwamba BOT badala yak u deal na fiscal problems za serikali ambazo ni moja ya vyanzo vikubwa vya inflation (kwani 60% ya bajeti inaenda kwenye posho na misharaha na malipo ya makampuni za tender); na badala ya BOT kushughulikia mzunguko wa M-PESA ambao ni 50% ya jumla ya mzunguko wa pesa nchini, BOT inaendelea kuwaogopa wamiliki wa VODACOM na hivyo not to bother to regulate M-PESA; Jumla ya M-PESA transactions ni 20 billion shillings a day, jumla ya transactionz zote za mabenki Tanzania ni 20 billion shillings a day; sasa BOT wanapoenda kupandisha interest rate and cash reserve requirements za commercial banks maana yake si they are just dealing with 50% of the cash in the economy a kuacha the 50% under MPESA kufanya watakavyo? Uchumi gani huu kama sio uchwara; hatua za BOT juzi zinaumiza tu private sector bure wakati tatizo kubwa lipo kwenye upande wa matumizi ya serikali;

Na bajeti ijayo, dependency on foreign AID kwenye bajeti itapanda tu from the current level of 28%, ndio maana David Cameroon anatamba na condition yake ya ‘ushoga’ because he knows hiyo 28% unayomsifia Mkullo dada yangu faiza itarudi juu; tusubiri June 2012 bajeti ya 2012 – 2013 tuone;
Naamini Foxy hatoweza kusoma hapa, na kama akiweza bac, subiri huo uharo wake, utachoka.
 
Hii ndio shida ya kuongozwa na wanasiasa wanaofikiri kwa kutumia makalio! JK alitoa ahadi kibao katika uchaguzi wa mwaka jana tukaambiwa ziko kwenye ilani ya uchaguzi ya ccm. na akaahidi kwamba obama kamuahidi kuongeza misaada!!!! Hivi haya ya inflation wanayoisababisha wenyewe hawakuyaona? ni mjinga gani atakayeongeza misaada wakati anamuona mkuu wa kaya anaenda kutanua huko huko mbele kila siku?
 
Back
Top Bottom