FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,777
tatizo la data zako za kukopi kutoka wikipedia..
hivi kuna kitu kinaitwa 'idadi ya maji'?
Tatizo lako ni Kiswahili kinakupiga chenga. Hakuna kisichokuwa na idadi.
tatizo la data zako za kukopi kutoka wikipedia..
hivi kuna kitu kinaitwa 'idadi ya maji'?
Mchabuzi Hapo kwa FF utakesha yeye hatetei CCM anatetea baadhi ya wana CCM. Kwa hoja za kweli na uwongo yeye ana wana CCM fulani atawalinda tu na wapo atawabomoa tu
BTN
hivi mchambuzi wewe huko kama mwana CCM ina maan huko CCM hakuna think tank ya wachumi ya watu wa IT ya maengineer. etc. sometime huwa mnakaa na kutoa na kushauriana mapendekezo na wale mliowapa jukumu la uyatekeleza ?
Maana hawa wansiasa si wa CCM si wa CDM si wa CUF sijawai kuona hata mbunge tena hata wale vijana kama kina Makamba, Mnyika, Mdee, kafulila etc wakiaiika kupokea mawazo ya wasomi wa fani fulani.
Hivi dada yetu faiza anatetea Chama Cha mapinduzi ana anatetea awamu ya 4? kwasababu either way, anayosema hayana mashiko; nchi ipo hoi kiuchumi chini ya CCM; nchi ipo hoi kiuchumi chini ya awamu ya 4; haya hayana ubishi; wasaidizi wa Rais wanamdanganya;
Mtazamaji, my position ni kama yako - ya kushangaa huko CCM kama wana think tanks etc; all i know ni kwamba wana empy tanks that needs to be filled by reckless government spending;
FaizaFoxxy;
Hoja zako kuhusu nchi nyingine za nje kuwa na deficit na mambo kama hayo sio sababu ya kutumia kwamba serikali ya sasa ipo makini kiuchumi na kwamba haipo peke yake katika msuko suko huu; kuna mambo mawili lazima uyaelewe - fiscal issues zina sheria zake ambazo wenzetu wanazifuata, na hata wakiyumba, wanajitahidi and over time wanakuwa ndani ya hizo rules; Sisi hakuna hayo zaidi ya uchumi uchwara wa ndullu na Mkullo;
Two fiscal rules followed by nchi zenye fiscal discpline:
1. The Golden Rule - ambayo inatamka kwamba - katika financial period, the government will borrow only for investment purposes and not to finance its current spending; angalia kwetu, almost 60% of bajeti ni kwenye matumizi ya kawaida (posho, mishahara...), only 40 goes to spending, na ukiangalia fedha nyingi Mkullo anazokopa Benki kama zio zote ni za kwenda kulipa posho na mishahara;
2. The sustainable investment rule- ambayo inatamka kwamba during the financial period, uwiano wa net public debt to GDP will be set as a stable and sustainable level, mfano UK wao wame set at 40% of GDP lakini Maastricht Treaty (EU) inawaruhusu UK kuwa na hii figure up to 60%; na hata kama huwa wanavuka,they strive to return back to sustainable levels, na walioharibu kama waziri mkuu wa Greece, Italy, wanakubali kuwajibika;
Sababu kubwa ya kuwa na hizi rules ni kwamba, by adopting them, inasaidia mzigo wa public spending to fall fairly across generations/vizazi. Kwahiyo, serikali za wenzetu wanahakikisha kwamba all public consumption benefiting the current generation should be paid for by that
Generation!! Kwa kufanya hivyo – serikali inaamua kwamba whenever it borrows money, then it borrows for investment, not for to fund current spending – mishahara na posho;
Kazi ya sustainable investment rule ni to supplements the golden rule, ambayo inajaribu to avoid the creation of an excessive burden of debt repayments kwa vizazi vijavyo; Kwahiyo unakuta the sustainable investment rule aims to keep debt at a level that does not prove unsustainable or unfair to future generations. Subiri utaona how these countries will bounce back kwani hawafanyi mzaa na fedha za walipa kodi;
Serikali ya CCM is supposed to spend most of its budget, especially borrowed finance – to spend money more productively in things like roads, electricity, communication networks, railways; kwani investment in capital infrastructure such as these always leads to higher economic growth & output - sio hii yetu ya wizi wa madini; Such investments would help facilitate trade and promote economic activity in the private sector (including rural areas) where most of our country's wealth resides; kwa kufanya hivi, it means Borrowing to produce can pay for itself!;
But kwa sasa ni uchumi uchwara kwani we are doing the opposite; matumizi ya serikali yamepitiliza na kama tulivyokwisha ona, only a small chunk is associated with capital investment, especially in the rural areas; na nyingi kabisa ni dead money of debt interest – debt ambayo haikidhi the rules outlined above; ndio maana unakuta about 60% of the budget, most of which the government is willfully borrowing to fund yet unproductive consumption in our economy;
Dada yangu, kawaambie Mkullo na Ndullu kwamba borrowing to consume means that once that cash is spent, we have to borrow more just to stay afloat; no wonder the national debt is getting out of hand; Mkullo and Ndullu have to get a grip on public spending so that we start living within our means;
Duuh! Sometimes it is difficult to understand logic which is used by other people in arguments. Kama kusema imefilisika ni neno kali sana, basi tuseme serikali imechacha!
Hitler during last days of the war of Berlin, stopped living in the world of realities. Basically he was living in the world of fantasies. He was planning a winning battle on table, full of arm divisions, while in actual fact the divisions were not existing on ground. The consequenses of that day dreaming was suicade because he could not imagine facing the world full of realities.
Naona Tanzania yetu kuna watu wanajenga hoja zao kama Hitler enzi zileee. Pengine ni kwasababu ya kuneemeka na mfumo uliopo lakini, nina hakika wanajua historia imewatupa kwenye kapu gani...they are loosers!
Mimi nawashangaa mnaposoma lakini hamuelewi, mnaambiwa uchumi umekuwa 6.3% miezi sita ya mwanzo, ni nini kigumu hapo kuelewa? mnaambiwa kuna reserve ya kuagiza bidhaa nje Tanzania kwa miezi zaidi ya minne ijayo, ni nini hapo kigumu kuelewa? mnaambiwa yamezugumzwa mambo ambayo yanabidi yafanyiwe kazi, ni nini hapo mnachoshindwa kuelewa? mnakwepa hoja mnakimbilia CCM.
Nimewaambia, wadanganyeni wale ambao hawajaenda shule. Poleni sana, hapa ndio FF orijino.
Du! Dada yangu "If your words are less important than silence, just keep quiet"......
Mfano wa FF ni wa kutufananisha na hizo nchi za nje kwamba na wao wana matatizo; mfano wangu ni wa kuonyesha kwa takwimu na hoja kwanini sisi na wao ni tofauti, hatuna tunachofanana; ebu fikiria kama - pamoja na matatizo yao, Uingereza bado wana uwezo wa kutusaidia na misaada kwa njia ya ushoga; sisi ikitokea tatizo nchi jirani tunaweza kutoa msaada wowote kama hata mishahara ya watumishi wa serikali inatokea stanbc na kwingine?Unashangaza sana pale FF anapofananisha nchi za nje kama kigezo unamponda, lakini wewe mfano wote ulioutolea vigezo ni wa hukohuko nje! Unanchekesha!
Mimi ni mwana CCM, lakini i beg to differ with some of the things unavyovisema hapo; hatuja haja ya kurudia nini maana ya GDP growth katika uchumi wetu kwani kwa maana fupi ni kwamba the higher the GDP, the poorer mwanakijiji gets na tulishaongea hayo; na ushabiki wa GDP growth ni wa kijinga kwani ukitoa sekta ya madini from the GDP equation - madini ambayo faida yake sana sana ni kuunguza ndugu zetu na kemikali - kwa wale wanaotumia maji ya chem chem tangia 1961, nje ya madnini uchumi wetu hauna tofauti kubwa na ule wa mwinyi na nilishaonyesha haya kwa takwimu;
Kuhusu akiba ya taifa for 6 months, hiyo sio hoja, hoja ni kwamba je what will be our new financial position in the next 6 months especially kama tunasubiri uwezekano wa Mkullo ku submit a mini budget kwani yake ya sasa haitekelezeki na kufanya ahadi za JK uchaguzi uliopita, za magufuli iginga kuwa ndoto za alinacha? Msimpotoshe rais, mnamwangusha.
Kuhusu akiba ya taifa for 6 months, hiyo sio hoja, hoja ni kwamba je what will be our new financial position in the next 6 months especially kama tunasubiri uwezekano wa Mkullo ku submit a mini budget kwani yake ya sasa haitekelezeki na kufanya ahadi za JK uchaguzi uliopita, za magufuli iginga kuwa ndoto za alinacha? Msimpotoshe rais, mnamwangusha.
Wewe uwe CCM au uwe chama chochote kile haijalishi.
Hayo madini yamehusu nini, kinachoongelwa hapa ni hiyo report na hiyo report ni "green", kwa nini mnapenda kusuta nafsi zenu? unanletea habari za mwanakijiji, mwanakijiji ndio nani> what does he know about economics?
Unataka kuleta hadithi ndefu wakati mambo yako wazi kabisa, nimekuambia watu wameachana na ujinga alioufanya Nyerere wa kutaka Serikali ndio iwe mmiliki wa viwanda, mashule, mashamba, "it was a big failure".
Serikali sasa hivi inawekeza kwenye miundo mbinu, na baadae hata hiyo miundo mbinu si jukumu lao, wao wanabaki kuwa "policy makers" na kuzisimamia.
Msijidai kuandika vitu ambavyo havina mpango, ripoti iko wazi tunaongea kilichopo humo. Nimeweka list ya vitu ambavyo mpaka sasa vimefanywa na Serikali ya Kikwete mnashindwa kukijibu hata kimoja. Unaleta "theories", lets talk "reality". Huoni nini kinafanyika? basi hata huhisi?
Mfano wa FF ni wa kutufananisha na hizo nchi za nje kwamba na wao wana matatizo; mfano wangu ni wa kuonyesha kwa takwimu na hoja kwanini sisi na wao ni tofauti, hatuna tunachofanana; ebu fikiria kama - pamoja na matatizo yao, Uingereza bado wana uwezo wa kutusaidia na misaada kwa njia ya ushoga; sisi ikitokea tatizo nchi jirani tunaweza kutoa msaada wowote kama hata mishahara ya watumishi wa serikali inatokea stanbc na kwingine?
Mchambuzi akiba ya 6 months ni ya kitu gani hiyo?
....... Nimeweka list ya vitu ambavyo mpaka sasa vimefanywa na Serikali ya Kikwete mnashindwa kukijibu hata kimoja. Unaleta "theories", lets talk "reality". Huoni nini kinafanyika? basi hata huhisi?
Haya dada yangu mpendwa - tusema Mheshimiwa Rais anakupa nafasi ya kumwambia kwa maneno yasiyozidi 20 kwamba:
Faizzy, hali ya uchumi huko kwa wananchi ipo vipi na ninfanye nini kuiboresha au sina haja ya kuiboresha mambo yao shwari? utamjibu nini.
HuyuRais wa CCM unayemsfia aliyefanya hivyo
Faiza Foxy Majibu ya maswali kama hayo ndiyo utajua tunarudi nyuma sio kwenda mbele.
- Kajenga Km ngapi za barabara. Na katika hizo ni shilingi ngapi ni mkopo na shilingi ngapi ni fedha zetu wenyewe.Liganisha Kikwete na Mkapa.
- Je kiwkete aliaachiwa Benki kuu ikiwa iko hoi au hai kiasi gani?
- Je Kikwete wakati anaingia madeni ya Nje na ndani ya taifa yalikuwaje. Na sasa yakoje.?
- Je serikali ya kikwete imelipa madeni ya shilingi ngapi? Liganisha na serikali ya Mkapa amabayo ililipa madeni kiasi cha kufanya serikali yetu iwavutie hata wakopeshaji.
Atleast Kikwete angefanyia kazi ufisadi may be watu wangesema amefanya alichoshinwdwa fisadi Mkapa. . Ni huku kwenye ufisadi ndio alikokuwa anategemewa kumzdi Mkapa. Lakini kumbe na huko kwenye kushughulikia ufisadi nako anafanya maigizo tu. Sasa msomi wa uchumi kasahau uchumi.
Mtazamaji,
Anamaanisha tuna akiba tosha kuagiza vitu muhimu kutoka nje - mafuta, chakula etc; in other words, tuna uwezo wa ku finance our imports ambayo depends on dollars ambayo thamani yake by january inaweza kabisa kuwa 1 USD = 2,000, na hayo mahesabu yao pengine yanategemea hesabu za exchange rate tofauti na ya hali ya sasa na hali inavyozidi kuwa mbaya; pia sijui kama inazingatia ukweli kwamba our exports zinazidi kushuka na ni hizi exports which provide use with dollars to finance hizo imports anazosema tunao uwezo for 6 months; je after that? sikatai uwezo huo wa miezi 6, ninacho hoji ni je, katika mazingira ya ku stabilize shillingi versus dollar?Je, yanaangalia sustainability au uwezo tu wa ku finance imports for 6 months; kuwa kwenye gari na dereve kusema mafuta yetu yana uwezo wa kutufikisha morogoro sio lazima kukupe usingizi; baada ya morogoro je, especially since haijulikani kama after morogoro tunaelekea kiteto au mikumi, na hatujui hata kama kuna vituo vya mafuta huko, let alone fedha za kunulia mafuta;
Sisi na wao ni tofauti lakini ikija "deficit" yetu mbaya yao bora? ni nini unakisema? hebu fikiri japo kidogo. Unaleta ushoga, kama vile hujasikia Membe kajibu nini. Mishahara itoke kokote itokako lakini imetoka haikutoka? Hebu kuwa "realistic" japo kidogo. Msaada nchi jirani tunatoa kila siku, au umesahau juzi Comoro? au hujui mpaka leo tunawafundisha Askari wa Somalia? au hujui mpaka leo tuna wakimbizi wa nchi jirani? ni nini unasema nakushangaa.
Ongelea mleta mada kaleta mada ya uongo, ripoti imewekwa humu ni tofauti kabisa na post yake #1. Au na hilo hulioni?
Leo hiyo hiyo nchi tunayoiponda uchumi mbaya tunaambiwa Malori ya chakula yanashikwa kupelwkwa jirani, haikuambii kitu hiyo> juzi tumesikia Kikwete ansema kama akiba ya chakula ipo ya kutosha watazame namna ya kuruhusu mazao yauzwe nchi za jirani, haikuambii kitu chochote hiyo?