IMF wathibitisha, Serikali imeishiwa!

IMF wathibitisha, Serikali imeishiwa!

"Reserve" kwani ipo kwa shillingi? Unanchekesha, ipo kwa dhahabu au fedha za kigeni hususan US$.

Shillingi ambayo mwaka mmoa uliopita ulilipa sh 1350 kupata dollar moja wakati sasa unalipa shillingi 1800 kupata hiyohiyo dollar moja ili uagizie hizo bidhaa unazosema kwamba tuna akiba ya kutosha for 6 months; kama bei ya mzigo mfano ni dollar 1,000,000 (milioni moja) kwa mfano, leaving other things constant, ina maana kwamba mwaka jana tungehitaji 1.3 billion shillings but leo hii tunahitaji 1.8 billion shillings kupata mzigo huo huo;
 
@faiza Foxy Rekebisha mwenyewe neno liloliwekewa alama ya blue kwenye comment 334 kabla ya hatua zaidi
 
Jibu maswali yangu huko juu. Kabla hujaanza kuuliza yako.

Hoja hapa sio kumfananisha JK na Mkapa, ikitokea hivyo ni kufananisha tu economic management between different terms. hoja ya msingi hapa ni kuangalia management ya uchumi wetu na tutazidi kufanya hivyo after Kikwete kumaliza muda wake na hata after atakayempokea Kikwete kumaliza muda wake; usijaribu elekeza mjadala huu uonekane kama ni vita dhidi ya kikwete; ni mjadala juu ya mwenendo wa uchumi wet, matumizi ya kodi zetu na jinsi gani CCM inalega lega ili kama watakuwa na muda wa kufuatilia mawazo ya wananchi kama haya, wataweza rekebisha mengi; mimi sipo hapa kumsema kikwete; sana sana ni kusema labda ana wasaidizi na washauri wabovu wa masuala ya uchumi - na mwalimu nyerere aliwahi tamka kwamba:
"tunahitaji bunge na halmashauri za wilaya zenye wajumbe safi na unyenyekevu kwa watu; lakini ville vile tunahitaji wabunbe na madiwani wenye mawazo yao wenyewe, na wanaoweza kujadili jinsi tunavyoweza kutimiza shabaha zetu za maendeleo vizuri. Halmashauri ya wilaya au bunge lililojaa watu wanaoweza tu kusema 'NDIYO, NDIYO', kufuatisha mawazo ya watu wengine halitasaidia maendeleo yetu wala demokraia yetu" (Binadamu na Maendeleo, UK 113-114).

tatizo linalomkabli Rais wetu ni la kuzungukwa na watu wenye hulka hiyo hapo juu na wewe unaelekea kuwa katika kundi hilo;
 
Moja, data anazopewa rais kikwete nyingi sio sahihi na hatuna haja ya kulijadili hilo kwani sote tunajua yaliyomsibu huko nyuma kwani kwa mfano wa haraka haraka alitamka kwenye television kwamba msuko suko wa dunia hautaikumba Tanzania - Ndullu, Mkullo na wengineo wakiwa wamemzunguka kama washauri;
Mbili, ishu sio mleta mada kaleta nini, ishu ni kwamba what discussion does it stimulate in terms of a further understanding of our economic situation, na je hoja zinajengwa pamoja na facts na takwimu?

Tatu, kuhusu ubora wa deficit katika ya nchi kama UK na sisi nadhani mimi nimefikia kikomo katika huo mjadala, kikubwa ni kwamba waliokuelewa wewe wamekuelewa, na walionielewa mimi wamenielewa, hiyo ndio maana ya mjadala na kueleweshana, sio ushindani;

Nne, i reserve myself kujadili masuala ya kijeshi kwani mimi kwanza sio mwanajeshi, na pili hawa watu sio wa kuwajadili ovyo kwani ni walinzi wa mipaka yetu na mijadla na watu wenye hulka yako inaweza kuishia kuonekana hatuwajali;

1. Peleka wewe data za ukweli. Unapofikiri kuwa mtu aliosomea uchumi anaweza kudanganywa hovyo na takwimu, hapo ndipo unaponishangaza sana na kukuona kuwa umpondaji na si mchambuzi kama unavyo tuaminisha. Msukosuko ule wa kwanza haujatukumba kama unavyotamani na tuliona "measures" za haraka haraka zikichukuliwa kuwahi athari zozote zinazoweza kujitokeza, nadhani hilo unalijuwa.

Kumbuka huu tunaoendela nao hivi sasa ni msukosuko mwingine wa uchumi duniani ndani ya miaka minne. Jee unajuwa hii misukosuko ya uchumi inayoongozana inasababishwa na nini? kama hujui uliza tukujuze.

2. Kwa hiyo umekubali mleta mada kaleta kitu ambcho hakina ukweli.

3. Hapo nadhani umenielewa kuwa "deficit" ni "deficit" iwe ya Uingereza, Uchina, Uganda, Tanzania au kwingine kokote kule. Tofauti ni tarakimu tu, asilimia ni zile zile.

4. Ulianza mwenyewe kuhusu misaada na hapo nimekukumbusha na hakuna aliyeiingilia kazi ya jeshi wala ya polisi. Usijisute nafsi yako, nadhani ukweli umeuona.
 
@faiza Foxy Rekebisha mwenyewe neno liloliwekewa alama ya blue kwenye comment 334 kabla ya hatua zaidi

Soma 330 vizuri hiyo ndio inajibiwa na 334 halafu ndio uchukuwe hatua zaidi, aliyejibiwa anafahamu hilo.
 
Hoja hapa sio kumfananisha JK na Mkapa, ikitokea hivyo ni kufananisha tu economic management between different terms. hoja ya msingi hapa ni kuangalia management ya uchumi wetu na tutazidi kufanya hivyo after Kikwete kumaliza muda wake na hata after atakayempokea Kikwete kumaliza muda wake; usijaribu elekeza mjadala huu uonekane kama ni vita dhidi ya kikwete; ni mjadala juu ya mwenendo wa uchumi wet, matumizi ya kodi zetu na jinsi gani CCM inalega lega ili kama watakuwa na muda wa kufuatilia mawazo ya wananchi kama haya, wataweza rekebisha mengi; mimi sipo hapa kumsema kikwete; sana sana ni kusema labda ana wasaidizi na washauri wabovu wa masuala ya uchumi - na mwalimu nyerere aliwahi tamka kwamba:
"tunahitaji bunge na halmashauri za wilaya zenye wajumbe safi na unyenyekevu kwa watu; lakini ville vile tunahitaji wabunbe na madiwani wenye mawazo yao wenyewe, na wanaoweza kujadili jinsi tunavyoweza kutimiza shabaha zetu za maendeleo vizuri. Halmashauri ya wilaya au bunge lililojaa watu wanaoweza tu kusema 'NDIYO, NDIYO', kufuatisha mawazo ya watu wengine halitasaidia maendeleo yetu wala demokraia yetu" (Binadamu na Maendeleo, UK 113-114).

tatizo linalomkabli Rais wetu ni la kuzungukwa na watu wenye hulka hiyo hapo juu na wewe unaelekea kuwa katika kundi hilo;

Unachanganya madawa.
 
Shillingi ambayo mwaka mmoa uliopita ulilipa sh 1350 kupata dollar moja wakati sasa unalipa shillingi 1800 kupata hiyohiyo dollar moja ili uagizie hizo bidhaa unazosema kwamba tuna akiba ya kutosha for 6 months; kama bei ya mzigo mfano ni dollar 1,000,000 (milioni moja) kwa mfano, leaving other things constant, ina maana kwamba mwaka jana tungehitaji 1.3 billion shillings but leo hii tunahitaji 1.8 billion shillings kupata mzigo huo huo;

"Reserve" hauna hauna haja ya kununuwa shillingi, unaagiza kwa hiyo "reserve" yako. "Devaluation" ya fedha huwa inasaidia sana ku "export" na kujiboreshea "reserve" yako ya kigeni. Hii fursa inatakiwa watu waitumie kuuza bidhaa nje mbio mbio, wanaoumia zaidi ni waagizaji wa nje.

Nakumbuka miaka miwili ya nyuma Merekani mpaka iliwaangukia Wachina waongeze thamani ya fedha zao wanawaumiza kiuchumi wakiziwacha ziporomoke. Kumbuka nilikuambia nimeenda shule, na sitanii.
 
1. Peleka wewe data za ukweli. Unapofikiri kuwa mtu aliosomea uchumi anaweza kudanganywa hovyo na takwimu, hapo ndipo unaponishangaza sana na kukuona kuwa umpondaji na si mchambuzi kama unavyo tuaminisha. Msukosuko ule wa kwanza haujatukumba kama unavyotamani na tuliona "measures" za haraka haraka zikichukuliwa kuwahi athari zozote zinazoweza kujitokeza, nadhani hilo unalijuwa.

Kumbuka huu tunaoendela nao hivi sasa ni msukosuko mwingine wa uchumi duniani ndani ya miaka minne. Jee unajuwa hii misukosuko ya uchumi inayoongozana inasababishwa na nini? kama hujui uliza tukujuze.

2. Kwa hiyo umekubali mleta mada kaleta kitu ambcho hakina ukweli.

3. Hapo nadhani umenielewa kuwa "deficit" ni "deficit" iwe ya Uingereza, Uchina, Uganda, Tanzania au kwingine kokote kule. Tofauti ni tarakimu tu, asilimia ni zile zile.

4. Ulianza mwenyewe kuhusu misaada na hapo nimekukumbusha na hakuna aliyeiingilia kazi ya jeshi wala ya polisi. Usijisute nafsi yako, nadhani ukweli umeuona.

Sijasema mleta mada alikosea, nimeshauri nini kiwe focus zaidi ya kuangalia mada ilikuwa nini;
Hoja kwamba deficit ni tarakimu tu na sio lolote ni hoja mbovu sana ambayo siwezi shindana nayo kwahiyo i put that to rest;
Kuhusu msukosuko kutokea huku na kule sio suala la msingi hapa, suala ni nchi yetu ki-sera na kimkakati imechangia nini kufikia hapo na tunajitoaje;nikiweka takwimu za baadhi ya wenzetu wa humu humu africa in that regards utashangaa sana jinsi gani walivyokuwa makini;

Bado nasubiri jibu langu vinginevyo sioni vipi tunamsaidia Rais na serikali yake isimamie vizuri zaidi uchumi wetu, kwahivyo sitaone maana nje ya wewe kujibu swali langu la je:

Ukipata nafasi ya kumwandikia Rais Kikwete a note fupi tu ya about 30 - 50 words kumjibu swali lake kwako kwamba FF, nini mtazamo wako kuhusu hali za wananchi huko nje, kama hatupo sawa tufanye nini na kama tupo sawa ni kwa sababu gani?

Utamjibu nini kikwete mbali ya kum mwagia mafanikio ya aliyofanya kama unavyofanya humu kwani hata mwalimi nyerere alisema:

"Utakapopiga kura yako oktoba 30 hudaiwi kupiga kura ya asante kwa kazi ya siku zilizopita. Unaombwa kupiga kura ya imani kuwa mtu unayemchagua anaweza kuwatumikia katika siku zijazo. Inawezekana mtu mzuri sana akawa kwa sasa, kwa mawazo yake ni mzee mno, au mgonjwa mno, kuweza kufanya kazi nzuri katika miaka mitano ijayo, kama alivyoifanya siku zilizopita. Kazi ya siku zilizopita ni kipimo kiomja tu cha uwezo wa watu kuwatumikia; siyo hirizi ya uwezo wa siku za mbele."
(Binadamu na Maendeleo, UK 115);

CCM iliyopita sio ya mwaka 2015, na kwa watu kama wewe kuwa washauri wa chama, basi CCM itarajie anguko kubwa sana; Nasubiri jibu langu hapo juu kuhusu wewe kupata nafasi na Rais na kumshauri; nje ya majibu yako kuhusu swali on Kikwete, sioni tija kuendelea kwani sasa inageuka kuwa mipasho;
 
Unazunguka pale pale tu, huna jipya.

Mara 20 ukijibiwa unasema sijaona, unakuja na 30 mara 50.

Kama hujayaona ya mleta mada kuwa ni tofauti na ripoti ya IMF nakupa pole sana.

"Deficit" ni "Deficit" na zinazobadilika ni tarakimu tu asilimia hubaki vilevile. Soma vizuri usijidai kunibadilishia maneno, "I am way ahead of that".
 
Inasemekana kuwa baada ya kupitishwa kwa bajeti ya mwaka 2011-2012, Hazina imepeleka mgao kwa Wizara na Idara za Serikali mara moja tu kwa awamu ya kwanza (First Quarter)na hadi leo ambapo Bunge linaketi tena kujadili masuala mbalimbali ya maendeleo, hakuna kilichotolewa kwenye Idara na Wizara za Serikali zaidi ya Mgao wa mwezi Julai- Septemba, 2011. Hali hii inaashiria Serikali kuishiwa. Inadaiwa pia kuwa mtandao wa Hazina ulizimwa kwa muda wa zaidi ya Wiki mbili hivi karibuni na kuzuia malipo mbalimbali. Hali hii haina maelezo ya kina zaidi ya kuthbitisha kuwa hali ya kifedha imebana huko Serikalini. Haijulikani fedha zeilizoombwa katika bajeti ya mwaka wa 2011-2012 zimepelekwa wapi, au labda ni hizo zinzokusanywa kwa ajili ya maazimiso ya kishindo ya miaka 50 ya Uhuru.
 
"Reserve" hauna hauna haja ya kununuwa shillingi, unaagiza kwa hiyo "reserve" yako. "Devaluation" ya fedha huwa inasaidia sana ku "export" na kujiboreshea "reserve" yako ya kigeni. Hii fursa inatakiwa watu waitumie kuuza bidhaa nje mbio mbio, wanaoumia zaidi ni waagizaji wa nje.

Nakumbuka miaka miwili ya nyuma Merekani mpaka iliwaangukia Wachina waongeze thamani ya fedha zao wanawaumiza kiuchumi wakiziwacha ziporomoke. Kumbuka nilikuambia nimeenda shule, na sitanii.

Kwani wee Faizafoxy unakaidi nini hapa mi mbona sijakiona, je unabisha kwamba hali ya uchumi siyo mbaya kiasi ya kwamba kazi nyingi zilizopangwa kufanywa kwa mujibu wa bajeti kusimama au ni kitu gani dada wee unachobisha? Halafu wee ni mbumbumbu kabisa hata katika general knowledge. Ivi unadhani uchumi una kanuni za 1+1=2? No, uchambuzi wa kiuchumi always unategemea ile "ceteris paribus", kwamba applicability ya factor A lazima itegemee na situation ya factors nyinginezo dada wee!. Je hapo unaposema "devaluation ya Currency/sarafu(siyo fedha) huwa inasaidia sana ku-export" umejiuliza maswali mawili madogo ikiwa kushuka kwa thamani ya shilingi ya Tz ni by devaluation au just falling? Bimaana Tanzania inafanya Devaluation Policy au economic factors zinaishusha thamani yenyewe? Na je kushuka huko kwa shilingi kutasaidia vipi ku-export hali ya kuwa production ya Tanzania imedorora so hakuna cha ku-export? Hiyo quote ya Aya ya Qur'an katika signature yako inaaibisha hata jamii ya waislamu kwa kuwa uislamu unaamini katika multifaceted attitude/economic; bimaana uislamu unaamini katika haqi regardless hiyo haki imefanywa na nani. Mchambuzi amejitahidi kukuelewesha kuwa usifanye analysis as if kichwani tayari una majibu kuwa wachangiaji wana lengo la kumponda Rais, hapana. Kama Serikali tuliyoko Hazina, BoT, Ikulu na maeneo kama hayo huwa hatusemi tumeshindwa, always, hiyo ni political weapon allover the world. Lakini nafsi zetu zinajua kwamba hali iko vipi. Hata Ghadaf(MABHP) na Saddam(MABHP) walipokuwa wamejua wamezidiwa hawakutamka waziwazi kuwa wamezidiwa. kwenda shule ni kutu chengine na kuelimika ni suala jengine, tunakubali kuwa umeenda shule lakini hujaelimika kwa baadhi ya mambo hasa haya uliyojadili katika thread hii.Sasa tunakuomba kwenye nyeupe sema nyeupe, na kwenye nyeusi sema nyeusi, Usidhihirishe ujinga na upumbavu kwa pamoja hiyo ni hatari dada. Sasa tukija kwa mleta hii mada kama amenukuu sawia taarifa ya IMF au la kwamba serikali imeishiwa au haijaishiwa jawabu ni kwmaba. Hata kama taarifa ya IMF isingelikuwepo, kutoka katika system wanakupa ukweli kuwa Serikali imeishiwa so inajipanga itoke tena kivingine, huo ndo uhalisia. Sasa wee njoo na vivid/empirical evidence kuonyesha kwamba haijaishiwa achana na calculated figure hizo.
 
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading, width: 100%"]Is the govt broke? [/TD]
[TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: createdate"] Wednesday, 09 November 2011 23:31 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]

By The Citizen Team
Dar/Dodoma.

There are growing signs that State coffers are running dry, a situation which has put the government in an awkward position when it comes to meeting its obligations and honouring a wide range of commitments.

Indicators showing that the government has liquidity problems include the recent failure to pay civil servants their October salaries in full, disburse subsidies to political parties and finance budgeted projects.
Reliable sources have confided to The Citizen that last month, a number of government workers in some district councils failed to get their pay in time, while some received partial payment.

But the minister for Finance and Economic Affairs, Mr Mustafa Mkulo, quickly dismissed the concern and maintained that the government was in a sound financial position and capable of meeting its financial obligations without any unnecessary delays.

He told The Citizen in Dodoma where he is attending the ongoing Parliamentary session that it was not true that there was salary delay of salaries as his office through Treasury has been approving salaries on 25th of every month.
"If there have been any delays, it must have been the result of some technical issues and not government failure to release money," he said.

However, The Citizen has established that the government failed to release full salary allocations to some district councils.
A public notice with reference number GDC/F.10/1/VOL.III/166 dated October 26, 2011 signed by one Swai V. W on behalf of Geita district executive director, bears testimony to the government failure to fully remit salaries.
A source that asked not to be named at the Finance ministry, said Geita was one of many councils whose workers either received their pay late or amounts lesser than what is due to them.

The source also told this paper that until the end of last month, the government had also failed to release funds for other charges (OC) for the second quarter of this financial year. According to the Finance Act OCs for the second quarters are supposed to be released on October 1.

But when reached for his comments, Tanzania RevenuesAuthority (TRA) tax services education officer Protas Mmanda said the authority has been collecting ‘enough funds' in accordance with its targets.
Another indication that the government finds it hard to meet its cash obligation was revelation earlier this month that it has failed to honour contractors' debts to the tune of Sh425 billion.

The ongoing exhibitions and celebrations by ministries have also raised concern to some people, who are noting that a lot of money is going into these functions unnecessarily.

Some MPs who talked to The Citizen on condition of anonymity wondered where the ministries were getting the money since it was not budgeted for.

Furthermore, Mr Mkulo's statement last month that his ministry was thinking of stopping funding the purchase of oil for emergence power generation, has been cited by some commentators as yet another sign that the government was in a financial fix.
Commenting on the issue, Mzumbe University economist Dr Prosper Ngowi said if it were true that the government has failed to pay its workers, the move would have bad impact to the country's economy.

"After the budget is passed the task is left for the government to look for funds… any suggestion that the government lacks money to pay its workers will lead to negative impacts to our economy locally and internationally," he said.

Mr Julius Mushi, a graduate from University of Dar es Salaam business school argued that if the government is failing to raise money to pay its workers and run its day-to-day activities, one can argue that it is broke. Reached for comment from Apollo Hospital in India where he is undergoing treatment, the shadow minister for Finance and Economic Affairs, Mr Kabwe Zitto, said the situation doesn't surprise him.

"For a very long time now, I have spoken about the financing stress the government is going through," he said.
Giving some data, Mr Kabwe claimed that total government expenditure in September was Sh910 billion against revenue collections of Sh480 billion only, which translates to a deficit of Sh430 billion.

However, he noted, salary payment could not be a big problem as such, since the payroll costs amount to around Sh264 billion a month, which would be handled by domestic revenue sources. He argued that the government might be in an awkward position because of low tax collections and reluctance by donors to release funds.

"Mkulo needs to move a motion in Bunge to amend the Finance Bill of 2011 in order to widen tax collection, especially by ensuring all mining companies pay corporate tax," said Mr Kabwe.
Reported by Peter Nyanje, Frank Kimboy, Songa wa Songa (Dar) and Florence Mugarula in Dodoma
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
By HASINA MJINGO, 9th November 2011
DAILY NEWS

THE Chinese Contractors Association (Tanzania) says the government owes them a total of 287.1 bn /-.

Addressing a press conference in Dar es Salaam on Wednesday, Wang Jingli, Chairman of the Chinese association said the outstanding amount
dates back to 2009.

''The country has 3,673.9 kilometres of trunk roads under construction. Some 2,405.6 kilometres, which translates to 65.5 per cent of all road projects, are handled by Chinese companies,'' he said.

According to Jingli, some of the contractors have been forced to suspend their projects as they had already exhausted their lines of credit from banks.

''We have written to the Ministries of Works and Finance. We have also raised the issue with TANROADS twice but there has been no positive outcome. We have no funds to carry on with road works,'' he complained.

He said the companies have paid their local staff and it was now up to the government to play its part.

''The government should honour its contracts. Failure to pay us means breach of contract,'' he added.

Guo Zhijian, Assistant Chief President whose company has been working in the country in the past three years said the government owes them 110 bn/- .

''I have been paid 10 bn/- only this year. The road project cost us 60bn/-. What we received from the government is very little compared to what we have done,'' he stated.

His company has been forced to suspend works on 132 kilometre Isaka-Ushirombo road project, in Shinyanga Region.

Another contractor working on Kanazi-Kizi-Kibaoni in Sumbawanga, said the company has slowed down as they wait for funds from the government.

When he was approached for comment, Permanent Secretary in the Ministry of Works Ambassador Herbert Mrango was reluctant to give details.

''If the Chinese have complaints, they should follow proper channels. I am not aware of any letter sent to us. Tanroads too, were not ready to react to the contractors' complaints.
 
Symptoms such as delay in salaries, arrears to road contractors of TZS425 bn, delay in providing subsidies to Political parties and exceeding the earlier programmed level of public spending deficit over the Gross National Product of 6% ceiling. All these indicators manifest that the government is in financial stress.

The sad story is that our leaders are not acknowledging these facts and therefore remedial actions both in short and long terms would be unnecessarily delayed. Let us wait time will tell.
 
ni kweli serikali imefilisika ndo maana inasuasua hata kuajiri walimu wapya wa msingi na sekondari
 
Serkali Corrupt haiwezi fikiria kuwaletea maendeleo wananchi siku zote itawadha ni wapi iibe.....
 
sasa hizo articles za Daily news na The Citizen mbona zinatukatisha tamaa kabisa!
mfano kama hapa, kuna treasurer tena nchi hii au!???

Giving some data, Mr Kabwe claimed that total government expenditure in September was Sh910 billion against revenue collections of Sh480 billion only, which translates to a deficit of Sh430 billion.
 
Na bado, Muda si mrefu Mkullo ataomba pesa nyingine nje ya zile 13 trillion za walipa kodi alizopewa mwaka jana for his budget - tumtarajie any time within the next 3 months aki submit a mini budget coz ya uchumi uchwara uliopo sasa; na sababu kubwa ni kutokana na yeye na taasisi chini yake kutokuwa makini na suala la inflation kwani costing zote za budget yake ya 2011 - 2012 ilifanyika in the context of inflation targets way below of what is happening now, so utekelezaji wa ahadi za Rais kwenye uchaguzi mwaka jana hautafanyika kwa ufanisi na kupelekea rais kuonekana alikuwa muongo kumbe ni uzembe wa watendaji wake; ahadi za igunga ndio kabisa; nchi gani inayotumia kila siku kuliko inavyopokea na huku pia inaachia vyanzo vya kodi kama vile madini na kukamua kodi kwenye vibiriti na bia za ndizi ambapo watumizi wa bidhaa hizi wala hawafaidiki na hizo kodi?

Uchumi wetu unaelekea kugumu sana, especially for the rural mass and the urban poor all of which the budget never really cares much about them coz kwa mfano, katika bajeti nzima, 60% ambayo ni over 8 trillion shillings zilienda kwenye posho na mishahara, na just over 4 trillion ndio zilienda kwenye matumizi ya maendeleo; hii haina tofauti na yanayoimbwa katika ule wimbo wa starehe gharama, sasa upande mmoja misaada inaanza kuwekwa kwenye package ya ushoga, huku kwingine sijui nini kitatokea; huu ndio uchumi wetu uchwara;

Kwa kuongezea tuu, inflation imechangiwa kwa kiasi kikubwa kwa Benki Kuu kushindwa kuthibiti biashara ya pesa za kigeni. Hapo kwetu ukienda Karikoo kwa muuza simu za mkononi na dola za marekani atapokea na kukuuzia simu; wenzetu kenya muuza simu atakuambia kabadilishe kwenye Bureau umletee pesa ya Kenya. Kwa upande mwingine Bureau nyingi kama si zote zimekuwa ni mawakala wa kuwakusanyia fedha za kigeni waingizaji wa bidhaa za ubora hafifu toka China na Uarabuni. Uamuzi unaotakiwa wa haraka ni kufunga Bureau zote na kuachia mabenki kazi ya kuuza na kununua fedha za kigeni.
 
Back
Top Bottom