FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,777
nilikuwa sifahamu kama kulikuwa na tanzania ya mkoloni,
nilikuwa sijafahamu hilo-so sikuweza kui-consider kwenye comparison yangu
Leo ndio utafaham.
nilikuwa sifahamu kama kulikuwa na tanzania ya mkoloni,
nilikuwa sijafahamu hilo-so sikuweza kui-consider kwenye comparison yangu
Dah!!..... yaani wewe unataka kuniambia hatuwezi kuzidisha exports zetu? Hatuwezi kuzidisha ?
Then let's not waste our time.
Soby,
Narudia numbers do not lie. Tumezidisha exports wakati Current account deficit inaexpand kila siku. Mwezi wa 9 Tanzania current account deficit ili expand by 8% kama kawaida BOT ikakimbilia kulaumu oil prices and food prices. Zanzibar iliyokuwa ikirikodi current account surplus, recorded a deficit this year. Unafikiri hizo foreign currencies tutazitoa wapi????
nilikuwa sifahamu kama kulikuwa na tanzania ya mkoloni,
nilikuwa sijafahamu hilo-so sikuweza kui-consider kwenye comparison yangu
nimekuelewa sasa-ndio maana mnasheherekea miaka 50 ya uhuru wa tanzania-Leo ndio utafaham.
Tazama hawa : Britain's deficit third worst in the world, table - Telegraph
[TABLE="width: 100%"]
[TR="class: mod2zero"]
[TD]Iceland [/TD]
[TD] 15.7 [/TD]
[/TR]
[TR="class: mod2notZero"]
[TD] Greece [/TD]
[TD] 12.7 [/TD]
[/TR]
[TR="class: mod2zero"]
[TD] Britain [/TD]
[TD] 12.6 [/TD]
[/TR]
[TR="class: mod2notZero"]
[TD] Ireland [/TD]
[TD] 12.2 [/TD]
[/TR]
[TR="class: mod2zero"]
[TD] United States [/TD]
[TD] 11.2 [/TD]
[/TR]
[TR="class: mod2notZero"]
[TD] Spain [/TD]
[TD] 9.6 [/TD]
[/TR]
[TR="class: mod2zero"]
[TD] France [/TD]
[TD] 8.2 [/TD]
[/TR]
[TR="class: mod2notZero"]
[TD] Japan [/TD]
[TD] 7.4 [/TD]
[/TR]
[TR="class: mod2zero"]
[TD] Portugal [/TD]
[TD] 6.7 [/TD]
[/TR]
[TR="class: mod2notZero"]
[TD] Canada [/TD]
[TD] 4.8 [/TD]
[/TR]
[TR="class: mod2zero"]
[TD] Australia [/TD]
[TD] 4 [/TD]
[/TR]
[TR="class: mod2notZero"]
[TD] Germany [/TD]
[TD] 3.2[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Source please.
Hatuelewani mkuu,Soby,
Narudia numbers do not lie. Tumezidisha exports wakati Current account deficit inaexpand kila siku. Mwezi wa 9 Tanzania current account deficit ili expand by 8% kama kawaida BOT ikakimbilia kulaumu oil prices and food prices. Zanzibar iliyokuwa ikirikodi current account surplus, recorded a deficit this year. Unafikiri hizo foreign currencies tutazitoa wapi????
Je nikuulize Sie tunakopa kwa ajili ya kuwekeza au tunakopa kufidia mashimo ya bajeti? Vile vile nikuulize Our economic growth rate is 6.3% and rate of inflation is 17% Je growth ya tanzania inatokea wapi? Hebu tupe mchakato wa hizo activity drivers zinazosukuma uchumi kukuwa by 6.3% na vile vile kuweza kumanage debt kama unavyofikiria wewe. IMF wamesema hivi na nanukuu:-
Tunakopa kwa kuwekeza na tunakopa kwa kufidia bajeti. Hivi mabarabara, ma University, ma shule. Huo wote kivyako wewe sio uwekezaji? Unanshangaza sana.
Hivi ulitaka Serikali iwekeze tena kwenye viwanda vya umma, warudie makosa ya Nyerere? ni kiwanda kipi cha Umma kilichofanikiwa? uwekezaji wa uhakika ni kwenye elimu na miundo mbinu na huo ndio unafanyika kwa sasa, na hizo ndio katika "reforms strategies".
Kuhusu kufidia bajeti, naomba tazama takwimu zimewekwaa juu huko, uniambie ni kipindi kipi toka 1967 mpaka sasa ambacho tunafidia bajeti kwa kiwango kidogo? toka kashika Kiwete tumetoka kwenye zaidi ya 40% sasa tupo "around" 25%. Au hilo hulioni?
"Under the PSI program through June 2011, the Bank of Tanzania's reserve money targets were met and foreign commercial borrowing was kept well within program limits. However, partly due to the shortfall in commercial borrowing, domestic financing of the budget was higher than planned and the target for accumulating net international reserves was missed. Structural reforms are moving forward, notably to strengthen debt management capacity.
"Discussions during the mission focused on ensuring that public spending does not exceed the available fiscal space; setting the right policy mix for reducing inflation; and the financial implications of Tanzania's emergency power plan.
"It was agreed that the budget deficit in 2011/12 should be allowed to exceed the earlier programmed level (6 percent of GDP) to help finance the emergency power plan and accommodate expanded social spending. At the same time, savings will be implemented in non-priority programs, ensuring that the deficit is reduced from year-ago levels to around 6½ percent of GDP. This fiscal tightening will also help the disinflation effort.
"The authorities intend to pursue prudent fiscal policies in 2012/13 and beyond to stabilize Tanzania's rising public debt, projected to end this year at close to 42 percent of GDP. The government has agreed that recurrent spending in the 2012/13 budget should not exceed the financing provided by revenues and grants. This will require continuing efforts to prioritize spending and/or increase revenue collections.
"The authorities will maintain tight liquidity conditions to help reduce the demand for foreign exchange and stem inflationary pressures. The floating exchange rate regime will be maintained, and the accumulation of international reserves will benefit in the coming months from new donor funding and other credits.
"The government's emergency power plan combines public and private investment in new thermal power capacity, with initial investments having already reduced the frequency of load-shedding. The purchase cost to the state power utility of the new power supplies is relatively high, and the government recognizes that early steps will be needed to strengthen the power utility's finances.
"Reflecting discussions in these and other areas, the authorities and the mission reached understandings, ad referendum, on economic policies and reforms that could be supported under the PSI. The IMF Executive Board is expected to take up the third PSI review in January 2012."
Mwisho wa kunukuu.
Hayo uliyowawekea nyekundum ndio mambo yaliyokuwa kwenye "discussions" ya kuyafanyia kazi, ambayo ni kawaida kabisa, kama huna cha kuyafanyia kazi ili kuboresha uchumi wako utakuwa na faida ipi? tayari umeshatosheka? mnashangaza sana sijui hujaliona neno "discussion"?
Sasa yatazame hayo ambayo hujayaweke "red" uone ni nini hicho? uchumi mbovu?
Kwa hivyo basi serikali yenyewe inaliona tatizo la madeni ya nchi. IMF wanachokipendekeza na kukubaliana na serikali ndio hichi tunachokisema hapa kuwa serikali inahitaji kusave hela na kupunguza gharama zisizo na umuhimu pamoja na kutatua tatizo la umeme. Let us hope they keep their promise to the IMF we shall see!!!
Unasave pale unapokuwa nazo, na hilo linaongeleka tu pale unapokuwa nazo au hilo vile vile linakupa shida kufahamu hujakiona hiki kipande? hiki ndio hicho unachokiita wewe "kusave" "the Bank of Tanzania's reserve money targets were met and foreign commercial borrowing was kept well within program limits."
FaizaFoxy
unatafuta excuse.
Hivi wewe na Tanzania yako ya kwenye pochi na Uingereza au Ujerumani wapi na wapi?
Mchambuzi hili unalosema ni kweli kabisa. Hawa CDM na hataa wapinzani wengine 80% ya effortr zao zipo kwenye political.. Tunajua matatzo mengi ya nchi zetu kwa asilimia kubwa yamesababishwa na siasa lakini suluisho la 80% linahitaji zaidi ya siasa . Though nami ni advocate wa change lakini sioni kama tunaowatazama wana mawazo mapya ya kutekelezeka na yenye tija nje ya siasa.
kweli mkuu-cha ajabu anateteaa chama chake hata pale ambapo ukweli upo wazimkuu hawa mods nadhani inabidi wathibiti baadhi ya memba wasiwe wanapata access ya baadhi ya majukwaa.
mtu kama FF hana analofanya zaidi ya kuandika ujinga akitetea ujinga.
Tanzania ya Mkoloni hata mimi naisikia leo.
Labda unshindwa kuelewa kuwa Uingereza na Ujerumani bila kuwa na "resources" za "raw material" na masoko ya ku "export" hawana cha kufanya.
Tanzania, kwa sasa tunafanya vizuri sana katika uchumi na dalili zote zinaonesha tutaendela kufanya vizuri, tunaona Gas, Oil zinavyochangamkiwa, viwanda vipya, uzalishaji wa chuma, na mengine kadha wa kadha, mambo ambayo ni ndoto ya kila mwenye kutaka neema katika nchi yake, yote yanafanyika ni nini kinawasumbuwa? mawazo mgando?
Labda unshindwa kuelewa kuwa Uingereza na Ujerumani bila kuwa na "resources" za "raw material" na masoko ya ku "export" hawana cha kufanya.
Tanzania, kwa sasa tunafanya vizuri sana katika uchumi na dalili zote zinaonesha tutaendela kufanya vizuri, tunaona Gas, Oil zinavyochangamkiwa, viwanda vipya, uzalishaji wa chuma, na mengine kadha wa kadha, mambo ambayo ni ndoto ya kila mwenye kutaka neema katika nchi yake, yote yanafanyika ni nini kinawasumbuwa? mawazo mgando?
kweli mkuu-cha ajabu anateteaa chama chake hata pale ambapo ukweli upo wazi
pia anajaribu kulinganisha vitu visivyofanana kabisa.
SIMLAUMU SANA-MAANA HIVI VYAMA VYENYE BENDERA YA KIJANI KAMA YA GADDAFI NI WABISHI SANA WA KUKUBALI KUSHINDWA,HATA PALE AMBAPO UKWELI/UWAZI KILA MTU ANAUONA+WAO PIA WANAWEZA KUUONA-HUWA WANAUPINGA TU
Thats what we need to talk about, tunatumia dola kama miloni 3 kwa siku kuagiza mafuta na tunatengeneza milioni 60$ kwa siku. Wenzetu kenya kiasi hicho hutengeneza dola milioni karibu 110m$. What does that say about our productivity?Mkuu, ni mimi ambae cjaelewa au ni wewe?! manake jamaa kaeleza huwezi kuongeza forex pasipo na kuongeza exports. Likewise, kashauri kuongeza uzalishaji as a move forward to increase exports. Offcoz, if we want to earn more forex ni lazima tuongeze exports....but wht to exports if no production?! nope, we really produce for exports but if we wanna increase exports then we must increase production, bila kusahau kale ka-logical defensive mechanism kwamba keeping other factors constant!
Tuanze kwanza na hii kali uliyotoa leo: "Tanzania ya Mkoloni"
back to topic:
nakwambia tena. Nyerere unayemdharau kuanzia hapo ulipo mpaka msikitini kwako, hakuwa mjinga aliposema bora madini (au rasilimali zetu for that matter) yaozee ardhini kuliko kuruhusu hawa wanaohubiri ushoga kuja kuyavuna.
Mfano hai ni nyamongo:
huyu mama nafikiri unamfahamu
View attachment 40828
hizi nyumba ziko pembezoni tu mwa mgodi wa Barric
View attachment 40829
serikali yenu iliyoshindwa mpaka kupewa sharti la kuwa mashoga ndiyo imetufikisha hapa. na bado mtu kama wewe unaona fahari hawa wazungu kuja kuvuna rasilimali zetu.
Ni nini msichokielewa hapo?
Ripoti ya IMF hiyo hapo, inasema uchumi umekuwa kwa asilimia 6.3 kwa kipindi cha miezi 6 ya mwanzo ya 2011 na wansema wameongelea mambo ya kuyafanyia kazi.
Sasa tazama kichwa cha habari na post ya kwanza inavyosema, anaandika tofauti kabisa na ripoti ya IMF, nani wa kula ban hapo?
![]()
Dar Es Salaam
![]()
Mwanza
![]()
Arusha