IMF wathibitisha, Serikali imeishiwa!

FF ni kweli serikali nyingi ikiwemo ya Marekani huwa zinakopa lakini hazikopi kama serikali yetu inavyodaiwa kufanya. Wenzetu huwa wana-issue bonds that pay investors interest in exchange for their money. Bond is a certificate of debt (usually interest-bearing or discounted) that is issued by a government in order to raise money. The issuer is required to pay a fixed sum annually until maturity and then a fixed sum to repay the principal. Other countries also increase the money supply by changing banks reserve ratios.

Wakikopa wanakopa kutoka serikali nyingine. Kwa mfano top countries zinazoidai Marekani ni China, Japan, Republic of Ireland, Singapore, Thailand, Mexico, India, Turkey, South Korea, Norway, France na Israel. Ukiangalia baadhi ya hizi nchi sio tajiri sana but governments of these countries elected to lend to the United States considering such a financial transaction to be an investment in their economic futures. Sasa kwetu inadaiwa serikali yetu inakopa directly from local commercial banks. Sasa kama serikali inakopa CRDB, mimi na wewe tutakopa wapi?

Regarding Greece, that country has been living beyond its means since even before it joined the euro, and its rising level of debt has placed a huge strain on the country's economy. The Greek government borrowed heavily and went on something of a spending spree after it adopted the euro. Whilst a lot of money has flowed out of the government's coffers, very little income has been coming in due to among other reasons non collection of tax. In short they spent more than what they earned.

That is exactly what Tanzania's government is doing now. Badala ya ku-impose austerity measures kama wanavyofanya nchi nyingine, au kutafuta njia za ku-maximise income (kama ni vigumu kupunguza matumizi), tuna spend more than what we are earning. Matokeo yake serikali inashia kukopa kwenye mabenki. Sasa itafikia wakati ambapo hayo mabenki yataona it is no longer viable to lend the government. Kuona hivyo serikali itaanza kulazimisha mabenki kuikopesha including the possibility of the nationalizing the banks if they don't lend. Then, a crisis of confidence could spark a run on the banks as people including you and me withdrew their money, making the problem even worse.

When banks become big holders of government's debt, an "orderly" default could mean a substantial part of the debt being rescheduled so that repayments are pushed back decades. A "disorderly" default could mean much of this debt not being repaid - ever. Either way, it would be extremely painful for banks and bondholders. Ndio mana Eurozone countries wanahaingaika usiku na mchana to bail Greece out (tena kwa mara ya pili). The Greek prime minister nafikri kajiuzulu leo. Sasa sisi tukifia stage hiyo nani atatu bail out? Kenya, Uganda na Rwanda?

Watu wa uchumi waelezee kitaalumu zaidi. This is very serious.
 
Tafadhali, kuna mkopo usioelezwa ni wanini siku hizi? IMF wana sheria zao za mikopo, na la kwanza inabidi wakupe masharti ambayo kama huyatimizi hawakupi, sasa wewe unaleta habari za kufikirika, mashangi sijui nini, wewe barabara alizotuwachia Nyerere hapa bila magari kama yale unafikiri kuna sehemu utazipita? wachaaa, usione sasa hivi Kikwete anajitahidi kutandaza mabarabara ukadhani ndio kote kupo hivyo.

Halafu unaongelea safari za kikwete, unafikiri anakwenda kucheza huko anakokwenda? ni nani anaetaka kusafiri kila siku? inafaa umpe sifa Kikwete kwa kufanya kazi kwa bidii usiku na mchana. Wewe hii Tanzania ya Kikwete leo ndio Tanzania ilivyokuwa hapo nyuma? maendeleo kila pembe lakini mnajidai kuyafumbia macho. Kikwete ndio Rais pekee wa Tanzania aliotangaza rasmi "hafi mtu kwa njaa hapa" na kweli, ni nani mwingine ambae hawajafa watu kwa njaa Tanzania hii.

Unaujuwa wakati wa Nyerere wewe> au unausikia tu? tulikuwa hatujui cha kukila kesho nini, unapanga foleni hjui kinachotolewa leo nini> kama ni mchele au unga au sukari. Leo unakwenda kuchaguwa untaka mchele wa wapi? Mbeya, Shinyanga, Ifakara, Mwanza, Pakistan, Thailand, India? yalikuwepo hayo wakati wa Mtakatifu? wacheni chuki binafsi tazameni ukweli.

Du! Yaani kweli hii ngoma kuiamsha itachukua miaka kibao. Kweli we should never undestimate the predictability of stupidity.
 
Tafadhali, kuna mkopo usioelezwa ni wanini siku hizi? IMF wana sheria zao za mikopo, na la kwanza inabidi wakupe masharti ambayo kama huyatimizi hawakupi, sasa wewe unaleta habari za kufikirika, mashangi sijui nini, wewe barabara alizotuwachia Nyerere hapa bila magari kama yale unafikiri kuna sehemu utazipita? wachaaa, usione sasa hivi Kikwete anajitahidi kutandaza mabarabara ukadhani ndio kote kupo hivyo.

Halafu unaongelea safari za kikwete, unafikiri anakwenda kucheza huko anakokwenda? ni nani anaetaka kusafiri kila siku? inafaa umpe sifa Kikwete kwa kufanya kazi kwa bidii usiku na mchana. Wewe hii Tanzania ya Kikwete leo ndio Tanzania ilivyokuwa hapo nyuma? maendeleo kila pembe lakini mnajidai kuyafumbia macho. Kikwete ndio Rais pekee wa Tanzania aliotangaza rasmi "hafi mtu kwa njaa hapa" na kweli, ni nani mwingine ambae hawajafa watu kwa njaa Tanzania hii.

Unaujuwa wakati wa Nyerere wewe> au unausikia tu? tulikuwa hatujui cha kukila kesho nini, unapanga foleni hjui kinachotolewa leo nini> kama ni mchele au unga au sukari. Leo unakwenda kuchaguwa untaka mchele wa wapi? Mbeya, Shinyanga, Ifakara, Mwanza, Pakistan, Thailand, India? yalikuwepo hayo wakati wa Mtakatifu? wacheni chuki binafsi tazameni ukweli.


Dada, lengo langu halikuwa kuleta mipasho ya kisiasa wala kidinig kwenye mjadala huu. Ni kweli kwamba kila mkopo unao ombwa, unatolewa maelezo. Lakini ni vizuri ukajua kwamba, maelelezo wakai wa kuomba ni mengine, lakini utekelezaji ni mwingine pia. Pia unapaswa ujue kwamba, sii IMF peke yao wanaoikopesha Tanzania. Ni kweli IMF wana masharti, lakini pia wapo wakopeshaji wengine ( china kwa mfano, na baadhi ya mabenki ambao wao hawafuatilii sana jinsi utakavoyoenda tumia hiyo pesa. wanachojali wao ni kiwango cha riba, na jinsi utakavyorudisha.


Hilo ni moja, lakini nirudi kwenye mada ya msingi..... serikali inasema kwamba inakopa ili kuwekeza kwenye miundo mbinu, hususan bara bara na reli. Hatukatai. Wazo zuri sana. Kuna takwimu chache tu unatakiwa kuzingatia ili kuona kwamba tunachoambiwa sicho!
1) Miradi ya barabara mingi ipo katika hatihati hati ya kukwama, kutokana na ukosefu wa fedha. ( Rejea kauli ya mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Miunodo mbinu- Mheshimiwa Deo filikunjombe). Kuana deni la takriba Bilioni 450 tunalotakiwa kuwalipa makandarasi mbali mbali.

2) serikali pia inakopa kuwekeza katika nishati. Kwa sasa tuna mahitaji ya megawati zaidi ya 1000, lakini kwa sasa tuna megawati chini ya 600. yote haya yanatokea wakati deni la taifa linakuwa kwa kasi ya kutisha. Kutoka asimia 25 ya pato la taifa 2005/06 na sasa ni karibu asillimia 50.

Cha kujiuliza: Kama tunakopa kiasi hicho/ mbona miradi haitekekelezwi?


Changanya na zako dada, usikubali kuambiwa tu.
 
Du! Yaani kweli hii ngoma kuiamsha itachukua miaka kibao. Kweli we should never undestimate the predictability of stupidity.


chief, nimetafuta kitufe cha "like" sijakiona, but you sait it all mkuu! Thanks!
 
Hii nchi ilifilisika wakati wa NYERERE, wakaja kutuokoa hao hao IMF cha ajabu ni nini? leo Tanzania tuna reserve ya kututosha miezi sita na uchumi umepanda mpaka UN wametambuwa hilo na kutupandisha chart.

Nyie mnakuja na sijui nini sijui nini, IMF hata nchi za magharibi wanakwenda, tazama Ugiriki kuna nini sasa hivi? msituletee porojo za mitaani.

Kikwete Our prsident ni mchumi
  • what is he doing better/wrong than Mkapa kinachleta hali hii?
  • Mkapa pamoja na mablunder yake aliacha nchi ikiwa na foreign currnecy ya kustain nchi kwa zaidi ya miezi nane
Je
  • ni mikataab mobovu ya kipidi cha Mkapa ndio imeanza kucheua atahri zake kipindi hiki cha JK?
  • Serikali ya Kiwete kuongerza ajira milioni mbili za sifa bila kuwa na income ya kutosha ?
Faiza Foxy said:
Tafadhali, kuna mkopo usioelezwa ni wanini siku hizi? IMF wana sheria zao za mikopo, na la kwanza inabidi wakupe masharti ambayo kama huyatimizi hawakupi, sasa wewe unaleta habari za kufikirika, mashangi sijui nini, wewe barabara alizotuwachia Nyerere hapa bila magari kama yale unafikiri kuna sehemu utazipita? wachaaa, usione sasa hivi Kikwete anajitahidi kutandaza mabarabara ukadhani ndio kote kupo hivyo.

FF

  • mawizri, matibu wakuu, wakurugenzi wanaokaa masaki kwenda kufanya kazi posta wanapita kwenye mashimo gani?
  • mwaziiri akatibu wakuu waurugenzi wakitaka kufany safari wanapanga ndege
FF itapendeza vitu kama hivi hasa ndio uvione "mfumo kristo" teh teh teh teh
 
Du! Yaani kweli hii ngoma kuiamsha itachukua miaka kibao. Kweli we should never undestimate the predictability of stupidity.

Mkishindwa hoja huwa mnaanza fujo, hata hapa unaanzisha hayohayo, hamna cha kusema;

Weka idadi ya barabara za lami kabla ya Kikwete
Weka idadi ya Shule kabla ya Kikwete
Weka idadi ya Waalimu kabla ya Kikwete
Weka idadi ya Zahanati kabla ya Kikwete
Weka idadi ya Viwanda kabla ya Kikwete
Weka idadi ya Utalii kabla ya Kikwete
Weka idadi ya Umeme kabla ya Kikwete
Weka idadi ya Maji kabla ya Kikwete
Weka idadi ya kazi kabla ya Kikwete
Weka idadi ya biashara kabla ya Kikwete
Weka idadi ya umaskini kabla ya Kikwete
Weka idadi ya kilimo kabla ya Kikwete
Weka idadi ya bidhaa zinazopita bandari zetu kabla ya Kikwete
Weka akiba ya fedha tulokuwa nayo kabla ya Kikwete


Ukimaliza weka na idadi ya wakati huu wa Kikwete, itayokuwa zaidi ya leo hii wakati wa Kikwete, mimi naihama CCM leo hii.
 
Labda hujasoma haya maandishi za Zambarau. This is a warning FROM IMF kuwa matumizi ya serikali yanazidi hata makusanyo ya kodi, na misaada ya wafadhili na hilo linapelekea kukua kwa DENI LA SERIKALI!!!!!

Mkuu hata mimi hapo ndio pananitisha. Eti "overall recurrent spending has outpaced revenue and grant financing, contributing to growing fiscal deficits and a rising public debt stock."
 
Merekani wanakopa itakuwa Tanzania? mnanchekesha!

Tunaweza kudhani watu wanasafiria kumbe wanajengea ama kupakia rangi misikiti. Nchi hii ya ma-alhaji bwana kuna lingine zaidi yakufukia mashimo wanayodhani kwa muda mrefu walionewa?

Tuliyataka wenyewe kwakuwa tulidhani tunachagua viongozi wa wananchi kumbe wametumwa na nyumba za ibada zao
 
Usijali. Watahalalisha ushoga wapewe £ na bwana Cameron!

Mkuu tupo pamoja tuliingia vyama vingi mlango huo huo watu wengi hawakutaka Kha hiyo tujiandae na fast track marekekisho ya katiba kuhalalisha uchicha ili kukidhi mini budget inayokuja soon
 
EMT,

Naona hii mada imegeuzwa kuwa ya kisiasa na mie sio mpenzi sana wa siasa kwani sisupport Chadema, CCM wala chama chochote labda kikianzishwa chama cha maliberali ndio nitakisupport.

Kiufupi mkuu naweza kusema sentesi hii "Numbers do not lie".

Serikali ikifulia sidhani kuna mfanyakazi wa serikali au private sector atakuwa tayari kupunguziwa mshahara peke yao au kuongezewa kodi kama wanavyofanya Ugiriki sasa. Tutagawana umaskini (mafisadi mali zao zichukuliwe zitaifishwe pamoja na jamaa zao na wale wote ambao wamechangia katika janga hili).


Siwezi kujadili siasa kwenye uchumi
 
Mchambuzi, naamin Kinondoni ingekuwa ingine kama wewe ungekuwa mbunge wetu, jipanga lakini mkuu miaka iliyobaki wala si mingi sana,mimi nitajitolea kwenye timu ya kampeni yako kama utagombania.
 
Sawa sawa mkuu. Ebu tusaidiane kuchambua hili:

Mkullo June 2011


Mheshimiwa Spika, kwa upande wa matumizi, katika mwaka 2011/12 Serikali imepanga kutumia jumla ya shilingi
bilioni 13,525.9 kwa matumizi ya kawaida na maendeleo. Kati ya fedha hizo, kiasi cha shilingi bilioni 8,600.3 kimetengwa kwa ajili ya matumizi ya kawaida, ikijumuisha shilingi bilioni 3,270.3 kwa ajili ya mishahara ya watumishi wa Serikali, taasisi na wakala za Serikali na shilingi bilioni 1,910.4 kwa ajili ya Mfuko Mkuu wa Serikali.

Aidha, jumla ya shilingi bilioni 4,925.6 zimetengwa kwa ajili ya miradi ya maendeleo, ambapo shilingi bilioni 1,871.5 ni fedha za ndani na shilingi bilioni 3,054.1 ni fedha za nje.

Mapato:
A: Mapato ya Ndani 6,775,952
(i) Mapato ya Kodi (TRA) 6,228,836
(ii) Mapato Yasiyo ya Kodi 547,116
B: Mapato ya Halmashauri 350,496
C: Mikopo na Misaada ya Nje 3,923,551
D: Mikopo ya Ndani 1,204,262
E: Mikopo ya Masharti ya Kibiashara 1,271,634
JUMLA YA MAPATO YOTE 13,525,895

F: Matumizi ya Kawaida 8,600,287
(i) Mfuko Mkuu wa Serikali 1,910,376
(ii) Mishahara 3,270,292
(iii)Matumizi Mengineyo 3,419,619
Wizara 2,727,472
Mikoa 49,981
Halmashauri 642,166

G: Matumizi ya Maendeleo 4,924,608
(i) Fedha za Ndani 1,871,471
(ii)Fedha za Nje 3,054,137
JUMLA YA MATUMIZI YOTE 13,525,895

---
Ukisoma katika ufunguzi utaona kuna takwimu zimefinywa finywa, hazielezwi zimeenda wapi na mantiki yake ni matumizi ya kawaida in the form of posho, mishahara, repairs za majengo haya na yale, dhfa za kitaifa n.k - kwa ufupi i still hold kwamba 60% of the budget goes to other things than maendeleo ya Mtanzania. Thats the bottomo line.

I can confirm that you are in the group of endangered species. Very few people wearing green shirts can think straight these days.
I like your positive contributions. Congrats & Keep it up.
 
Nchi kufilisika maana yake nini
Maana yake ni kwamba it cannot pay back its external debt; pia its currency is becoming extremely valueless relative to other currencies; na hii inapelekea a country kutoweza tena to finance its imports (kama oil, machinery etc) comfortably. Kigezo cha dalili za kufilisika kwa kuangalia kushuka kwa thamani ya sarafu ya nchi versus dollar hatuna haja ya kukizungumza kwani hilo tayari ni tatizo hapa nchini.

A: Tuangalie vigezo vingine ili tubaini kama we are bankrupt au hapana. Tuanze na hili ya ' inability to pay back its external debt:
Year
Country GDP ($$$)
Foreign debt (%of GDP)
Foreign Debt ($$$)
Total debt service as % of GDP
Total debt service as % of exports of goods and services
Total reserves as % of total exports
GDP growth (annual)
2009
21.3 trillion dollars
34%
7.2 trillion
0.76%
3.5%
47%
6.3%
2008
20.7
28%
5.7 trillion
0.31%
1.3%
48%
7.4%
2007
16.8
29%
4.8 trillion
0.38%
1.2%
57%
7.1%
2006
14.3
28%
3.9 trillion
0.60%
2.4%
55%
6.7%


Ni dhahiri deni la Tanzania limekuwa kama utaangalia column ya 4 kwani ambayo inaonyesha the actual dollars; tusidanganyike na takwimu za wanasiasa wanaziweka katika percentage kwani as you can see in column 3, the figures may fool you.

FaizyFoxxy
Cha kushangaza ni kwamba tunazidi kulemewa na deni huku ‘uchumi wetu' unaisifia kwamba unapaa Kwahiyo kushauri tuache porojo – tazama GDP growth (tazama column ya nane); ukweli ni kwamba uchumi huu unapaa na kuzidi kuwaacha walalahoi; it is not pro – poor growth; tutambue kwamba , kinachobeba hii growth ni exports za gold and we all know the real contribution of gold to this economy; tukitoa gold katika equation ya GDP, levels za uchumi wetu hazitakuwa tofauti sana za za miaka ya 1990s kwani value added in agriculture bado haikuwi kwa kiasi cha maana na hata ile ya manufacturing; pia ukitizama column ya sita utaona kwamba the more we export, the more we pay debts i.e. mapato yetu mengi sana ya exports yanaishia kwenye kulipa deni; na column ya saba inaonyesha kwamba our reserves zilikuwa zinazidi kushuka as we were heading into 2010; kwa kifupi, kwa hili hii nchi lazima itakuwa imefilisika. Huu ndio uchumi uchwara wa Mkullo na Ndullu.

B: Tuangalie Kigezo cha pili cha nchi kufilisika ili tubaini kama kweli wanatusingizia. Hapa tunaangalie JE: Can we as a country pay for our strategic imports za kusukuma uchumi wetu? Tuanze na food imports;

Year
Food imports as % of merchandise imports
2009
8.9%
2008
7.7%
2007
11.7%
2006
12%

Kama tunavyoona hapo juu, after 2006, food imports declined into single digits from 12% in 2006; this means we are less able to import food today as we were in 2006; this number must be even lower in 2011;

Vipi kuhusu uwezo wetu wa ku import fuel/mafuta ambayo ndio injini ya uchumi?
Year
Fuel imports as % of merchandise imports
2009
22%
2008
29%
2007
29%
2006
24%

It is quite clear from the table above kwamba tumezidi kuwa less and less able to import fuel compared to 2006; na cha ajabu ni kwamba mpaka leo Tanzania is the only country in the region isiyokuwa na strategic reserve ya mafuta; tsunami ikija ukanda huu bandari ziharibike na hivyo kutulazimisha kusimamisha huduma za bandari kwa muda au anything kitokee cha kufanya bandari zetu zisiwe salama kufanya kazi, tutaangamia. Ewe mola tuepushe kwa hilo.

Kwahiyo vipimo viwili vya nchi kufilisika tumeviona hapo juu, kweli tupo huko!

Tumalizie na kuangalia suala la mapato:
Today Tax exemptions in Tanzania is over 30% of the total revenue; mapato yetu mwaka jana yalikuwa 13.5 trillion shillings, na 30% of that means at minimum, tunasamehe kodi (kwenye madini etc) inayofikia at least 4 trillion shillings kwa mwaka; Hii ni ajabu kwani katika mwaka wa fedha 2011 – 2012, mikopo na misaada yote toka nje 3.9 trillion shillings; This means kumbe suala la ushoga na misaada ni la kujitakia. Ama kweli starehe gharama! Vinginevyo Mkullo ukiamua kuacha kusamehe 4 trillion shillings, tutaweza kabisa achana na habari za misaada na ushoga; Kenya hawategemei tena misaada kwenye bajeti kwa miaka mingi sasa

Katika nchi za wenzetu ambao uchumi wao sio uchwara, tax revenue ni kati ya 40 – 45% of the GDP; sisi Tanzania ni around 16% of the GDP ingawa the actual figure is much lower than that; wenzetu Ghana wameamka kwani - wameamua kuongeza direct taxes kwenye sekta mbali mbali kama madini, na kupunguza indirect taxes, VAT in particular ambazo ni mzigo sana kwa wananchi; hatua ya Ghana imewapunguzia wananchi mzigo wa kodi kwa kiasi kikubwa mno huku wakiwaletea Maendeleo kwa kuwatoza kikamilifu wawekezaji wkenye sekta ya madini.Tusisahau kwamba VAT ililetwa na IMF and Worldbank kama njia ya kutufanya tuwe na vyanzo vya mapato ili kwanza tuwe na uwezo wa kulipa madeni ya nchi tajiri; na pili baada ya kuchoshwa kutoa mikopo isiyo na tija mfano 60% of the total budget ya nchi kwenda kwenye matumizi ya posho na mishahara while only 40% of less kwenye shughuli za Maendeleo; wakasema kama ni hivyo tafuteni pesa zenu; lakini tukiamua kama nchi na kusema kuanzia sasa mikataba ya madini itabadilika ili kupata kodi zaidi huko na tutapunguza VAT, IMF and WorldBank wala hawatakuwa na shida na hilo; lakini tatizo ni kwamba hatuna viongozi wa kuthubutu. Sana sana tunabaki kujisifia TUMETHUBUTU, TUMEWEZA NA TUNASONGA MBELE.
Mwalimu Nyerere, tunakukumbuka sana kwani umeondoka na dhana ya kiongozi bora, waliobakia ni bora viongozi.
 
Labda hujasoma haya maandishi za Zambarau. This is a warning FROM IMF kuwa matumizi ya serikali yanazidi hata makusanyo ya kodi, na misaada ya wafadhili na hilo linapelekea kukua kwa DENI LA SERIKALI!!!!!

Nakubaliana na wewe, mara nyingi mtu anapo kufanyia tathmini ni lazima aonyeshe mambo ambayo ni chanya kwanza hata kama amegundua matatizo makubwa kabla hajaenda kwenye ukweli halisi.

Suala la kutumia kuliko uwezo wako wa mapato na bado huonyeshi kushituka hadi usubiri mtu wa nje aje akwambie ndo uzinduke ni suala la aibu. Hapo bado hujaongelea ubadhirifu unatangazwa kila siku.

Mwisho wa siku usemi wa balozi wa Uingereza utatimia ''Uingereza haitalazimisha Tanzania kukubali ushoga''
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Mkishindwa hoja huwa mnaanza fujo, hata hapa unaanzisha hayohayo, hamna cha kusema;

Weka idadi ya barabara za lami kabla ya Kikwete
Weka idadi ya Shule kabla ya Kikwete
Weka idadi ya Waalimu kabla ya Kikwete
Weka idadi ya Zahanati kabla ya Kikwete
Weka idadi ya Viwanda kabla ya Kikwete
Weka idadi ya Utalii kabla ya Kikwete
Weka idadi ya Umeme kabla ya Kikwete
Weka idadi ya Maji kabla ya Kikwete
Weka idadi ya kazi kabla ya Kikwete
Weka idadi ya biashara kabla ya Kikwete
Weka idadi ya umaskini kabla ya Kikwete
Weka idadi ya kilimo kabla ya Kikwete
Weka idadi ya bidhaa zinazopita bandari zetu kabla ya Kikwete
Weka akiba ya fedha tulokuwa nayo kabla ya Kikwete


Ukimaliza weka na idadi ya wakati huu wa Kikwete, itayokuwa zaidi ya leo hii wakati wa Kikwete, mimi naihama CCM leo hii.

Mimi binafsi sikatai kwamba Kikwete hajafanya mengi lakini mwendo wa hoja zako haumsaidii bali unamuumiza Kikwete. Inaonekana hiyo ndiyo hulka ya wasaidizi wake.
 
Hivi ni kitu gani ambacho watu walikuwa hawajui mwaka mmoja uliopita? Ni kitu gani ambacho kimefanywa na serikali ya CCM leo ambacho wapiga kura walikuwa hawajui kuwa inaweza kufanya kabla ya uchaguzi wa 2010? Kama yote yalikuwa yanajulikana iweje leo watu waonekane kushangaa? Walipoenda kupanda tuliwaona wamebeba nini tukawashangilia na kuimba nyimbo sasa mavuno yamekuja tunashangaa?
 
Unakopa ili katika matumizi ya bajeti yako ya trilioni 13.5, over 8 trillioni goes to posho na mishahara and the rest ndio kwenye shughuli za maendeleo ya walipa kodi? Come on now. Angalia Marekani wanapokopa wanafanya nini na matumizi yao. Kukopa kwa serikali yoyote sio tatizo, unakopa kwenda kufanyia nini? na unachokifanya kitasaidia kuweza rudisha
mkopo au atleast punguza mkopo in the future parallel to
lifting the rural mass?

Marekani wanakopa kubalance budget. Miaka mingi sasa US hajakuwa na balanced budget. Wanakopa China kufinance vita vya Iraq na Afghanistan may be kulipa medicare na social security. Politician don't care hawajui maana ya leverage. Wao wanajua kupitisha tu bila kujua vyanzo vya mapato
 
Merekani wanakopa itakuwa Tanzania? mnanchekesha!

Wanakopa wapi? Je unajua nature ya instruments wanazokopa? unajua interest rates zake? unajua wanakopa kwenye economy zipi? Are you sure wanakopa kwenye commercial banks zao?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Back
Top Bottom