Imeshika kasi: Tuendelee Ushujaa wa "Ka-Corona, tusitishane, tuchape kazi" tukiteketea; au tubadili msimamo na tusitisishe Mikusanyiko tuokoke?

Wanabodi,

Declaration of Interest:
Mimi ni mwandishi wa habari, na kunapotokea janga lolote, hatua ya kwanza ni "appreciating the situation" hivyo mimi ni miongoni mwa wale tuliompongeza Rais Magufuli kwa hatua za Tanzania ilizochukua kwa kutotishika na janga la Corona na kumsifia Magufuli shujaa, wakati marais wa nchi jirani wametishwa, wakatishika. Rais Magufuli alionesha ushujaa wa hali ya juu kwa kwa kuonesha assuarance "KaCorona ni kaugonjwa kadogo, tusitishane, Watanzania tuendelee kuchapa kazi kwa kuzingatia ushauri wa kitaalamu wa jinsi ya kujikinga", huku rais Magufuli akionyesha mfano wa kutokutishika kwa kulihutubia taifa siku ya Jumapili ambayo ndio siku ya mapumziko. And then, siku ya Jumatatu ambayo ni siku ya kazi, by basking on the sun recreating himself kwenye majabali ya Ikulu ya Chamwino.

Uandishi sio fani static na conservative kama sheria, ni fani dynamical na current ambayo misimamo ina change with time. Kwa rate ya maambukizi ya siku zile, kwa uamuzi ule, ni kweli rais Magufuli alikuwa shujaa, lakini kwa rate hii tunayokwenda nayo sasa, ya maambukizi ya Corona kwa local transmissions, we seriously need ku-reposition misimamo yetu. Corona sio kaugonjwa kadogo, ni liugonjwa likubwa; ni balaa, ni janga la kitaifa na kimataifa. Hatuwezi kukabiliana nalo kwa kuchapa tu kazi with life as usual, now we have to make some sacrifices to save the lives of our people.

Hatua ya kwanza kwa sasa, ni tuzuie mikusanyiko yote isiyo ya lazima ikiwemo mikusanyiko ya nyumba za ibada na sehemu za starehe, bar, nightclubs na kumbi za burudani.

Tusitishe shughuli zote za mikusanyiko mihimu inayoweza kusubiri, hii ni pamoja na kusitisha kesi zote, katika mahakama zote, tuwaachie huru mahabusu wote ambao sio hatarishi kwa maisha ya watu, tuwaachie huru wafungwa wote magerezani kote, wakiwemo wafungwa wa vifungo vya maisha, kwa wafungwa hawa na wale wa vifungo virefu, kupewa likizo. Corona ikiisha, watarejea magerezani kwa wafungwa kukamilisha vifungo vyao, mahabusu kurejea kwenye umahabusu wao na kesi kuendelea, na kwa wale ambao watatokomea na kutorejea, ihesabiwe huu ndio mpango wa Mungu kwa watu wake, tusubiri hadi maafa ya kiwango cha juu yatukute ndipo tuchukue hatua hizi.

Ule msimamo kuwa rais Magufuli ni shujaa wa Corona barani Africa bado unaendelea, na hata katika vita ukiwa kwenye mstari wa mbele wa mapambano, kuna mashujaa wa aina mbili

1. Mashuja Wapiganaji Fighters, wao kazi yao na motto yao ni ku Fight Fight Fight, no retreat, no surrender, pigana mpaka risasi ya mwisho na tone la mwisho la damu limwagike, hata kama all will be wiped, mtakuwa mmekufa kishujaa mkipigania taifa lako na mtakumbukwa milele kama mashujaa wa taifa, ndivyo walivyofanya kina Mkwawa, Mtemi Mirambo, Kinjekutile, na wengine, jee tuendelee kumchagiza rais Magufuli kushikilia msimamo huu wa kufa kishujaa na hata Tanzania tukiteketea, tumekufa kishujaa? au

2. Intelligent Fighter ambao hawapekeki askari vitani hadi kwanza wajue nguvu ya adui, ili kuepuka kupeleka vitani askari wake kwenye a loosing battle wakaishia all kuwa wiped out na nchi nzima kugeuzwa mateka.

Kundi hili wakati wakiwa kwenye mstari wa mbele, wakiona dalili na kuzidiwa, kuliko kuendelea kupigana hadi risasi ya mwisho na tone la mwisho la damu limwagike hata kama they'll all be wiped ila watakumbukwa kama mashujaa wa taifa, intelligent fighters, wata retreat kwa kurudi nyuma kwenda kukusanya nguvu na kujijenga upya, au wata surrender na kuchukuliwa mateka hai kuliko mashuja wafu. Jee sasa tumshinikize rais Magufuli abadili misimamo ya awali kutokana na the escalating situation ya maambukizi ya Corona?, au tuendelee kushupaza shingo zetu tukielekea machinjioni?

Hitimisho:
Namalizia hoja yangu hii ya bandiko hili. Kwa kasi ya sasa ya Corona; je, tuendelee kumchagiza Rais Magufuli ashikilie msimamo ule ule wa ushujaa wa "Tusitishane, Corona ni kaugonjwa kadogo, Watanzania tusitishike tuendelee kuchapa kazi kwa kuzingatia maelekezo ya wataalamu ya jinsi ya kujikinga" Au Sasa Rais Magufuli akubali kubadilika, tusitishe mikusanyiko, ibada, starehe, achia mahabusu, wafungwa, before it's too late; au tusubiri maafa ndipo...?

Paskali.
Subiri baada ya wiki 2 au 3 uje umpongeze tena raisi kwa kusababisha vifo vya watanzania vitakavyo tokana na kitendo chake cha kutokuzuia international transmissions na kuwajaza ujinga wananchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkubwa huwa hakosei, Kama tulikubali haka ni kaugonjwa kadogo kasitutishe, Leo tukisarenda na kulamba matapishi yetu tutaaminika?

Nina imani serikali inamipango mingi na mizuri tuu juu ya kupambana na huu ugonjwa wa Covid19.

Chamsingi tuchukue tahadhari,tuzingatie maelekezo ya serikali na wataalamu wa Afya.
Ni kweli mkuu na mpango mmoja wapo huu haoa
 
Attachments

  • IMG-20200416-WA0008.jpg
    IMG-20200416-WA0008.jpg
    61.6 KB · Views: 1
Wewe na jpm mlikurupuka???
Wanabodi,

Declaration of Interest:
Mimi ni mwandishi wa habari, na kunapotokea janga lolote, hatua ya kwanza ni "appreciating the situation" hivyo mimi ni miongoni mwa wale tuliompongeza Rais Magufuli kwa hatua za Tanzania ilizochukua kwa kutotishika na janga la Corona na kumsifia Magufuli shujaa, wakati marais wa nchi jirani wametishwa, wakatishika. Rais Magufuli alionesha ushujaa wa hali ya juu kwa kwa kuonesha assuarance "KaCorona ni kaugonjwa kadogo, tusitishane, Watanzania tuendelee kuchapa kazi kwa kuzingatia ushauri wa kitaalamu wa jinsi ya kujikinga", huku rais Magufuli akionyesha mfano wa kutokutishika kwa kulihutubia taifa siku ya Jumapili ambayo ndio siku ya mapumziko. And then, siku ya Jumatatu ambayo ni siku ya kazi, by basking on the sun recreating himself kwenye majabali ya Ikulu ya Chamwino.

Uandishi sio fani static na conservative kama sheria, ni fani dynamical na current ambayo misimamo ina change with time. Kwa rate ya maambukizi ya siku zile, kwa uamuzi ule, ni kweli Rais Magufuli alikuwa shujaa, lakini kwa rate hii tunayokwenda nayo sasa, ya maambukizi ya Corona kwa local transmissions, we seriously need ku-reposition misimamo yetu. Corona sio kaugonjwa kadogo, ni liugonjwa likubwa; ni balaa, ni janga la kitaifa na kimataifa. Hatuwezi kukabiliana nalo kwa kuchapa tu kazi with life as usual, now we have to make some sacrifices to save the lives of our people.

Hatua ya kwanza kwa sasa, ni tuzuie mikusanyiko yote isiyo ya lazima ikiwemo mikusanyiko ya nyumba za ibada na sehemu za starehe, bar, nightclubs na kumbi za burudani.

Tusitishe shughuli zote za mikusanyiko mihimu inayoweza kusubiri, hii ni pamoja na kusitisha kesi zote katika mahakama zote, tuwaachie huru mahabusu wote ambao sio hatarishi kwa maisha ya watu; tuwaachie huru wafungwa wote magerezani kote, wakiwemo wafungwa wa vifungo vya maisha, kwa wafungwa hawa na wale wa vifungo virefu, kupewa likizo. Corona ikiisha, watarejea magerezani kwa wafungwa kukamilisha vifungo vyao, mahabusu kurejea kwenye umahabusu wao na kesi kuendelea, na kwa wale ambao watatokomea na kutorejea, ihesabiwe huu ndio mpango wa Mungu kwa watu wake, tusubiri hadi maafa ya kiwango cha juu yatukute ndipo tuchukue hatua hizi.

Ule msimamo kuwa rais Magufuli ni shujaa wa Corona barani Afrika bado unaendelea, na hata katika vita ukiwa kwenye mstari wa mbele wa mapambano, kuna mashujaa wa aina mbili:

1. Mashuja Wapiganaji Fighters, wao kazi yao na motto yao ni ku-Fight, Fight, Fight -- no retreat, no surrender. Pigana mpaka risasi ya mwisho na tone la mwisho la damu limwagike hata kama all will be wiped, mtakuwa mmekufa kishujaa mkipigania taifa lako na mtakumbukwa milele kama mashujaa wa taifa. Ndivyo walivyofanya kina Mkwawa, Mtemi Mirambo, Kinjekitile, na wengine. Je, tuendelee kumchagiza Rais Magufuli kushikilia msimamo huu wa kufa kishujaa na hata Tanzania tukiteketea, tumekufa kishujaa, au?

2. Intelligent Fighter ambao hawapekeki askari vitani hadi kwanza wajue nguvu ya adui, ili kuepuka kupeleka vitani askari wake kwenye a loosing battle wakaishia all kuwa wiped out na nchi nzima kugeuzwa mateka.

Kundi hili wakati wakiwa kwenye mstari wa mbele, wakiona dalili na kuzidiwa, kuliko kuendelea kupigana hadi risasi ya mwisho na tone la mwisho la damu limwagike hata kama they'll all be wiped ila watakumbukwa kama mashujaa wa taifa, intelligent fighters, wata retreat kwa kurudi nyuma kwenda kukusanya nguvu na kujijenga upya, au wata surrender na kuchukuliwa mateka hai kuliko mashuja wafu. Je, sasa tumshinikize Rais Magufuli abadili misimamo ya awali kutokana na the escalating situation ya maambukizi ya Corona au tuendelee kushupaza shingo zetu tukielekea machinjioni?

Hitimisho:
Namalizia hoja yangu hii ya bandiko hili. Kwa kasi ya sasa ya Corona; je, tuendelee kumchagiza Rais Magufuli ashikilie msimamo ule ule wa ushujaa wa "Tusitishane, Corona ni kaugonjwa kadogo, Watanzania tusitishike tuendelee kuchapa kazi kwa kuzingatia maelekezo ya wataalamu ya jinsi ya kujikinga" Au Sasa Rais Magufuli akubali kubadilika, tusitishe mikusanyiko, ibada, starehe, achia mahabusu, wafungwa, before it's too late; au tusubiri maafa ndipo...?

Paskali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Paskali, Rais wetu ni mbobevu wa sayansi kemia. Kwa kiwango cha usomi wa shahada ya uzamivu katika sayansi hii, yeye ni mtafiti na mzoefu mkubwa wa mambo ya maabara.

Naamini ijapokuwa yupo ktk kipindi cha mapumziko kutokana na majukumu yake makubwa ya taasisi nyeti anayoiongoza. Bado atakuwa anafanya shughuli za kitafiti ktk kutafuta suluhu ya kudumu ya janga hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni utani wa kiwango cha kushughulikiwa na wasiojulikana
 
Put this into perspective wakati UK inaingia kwenye lockdown 23 March idadi ya vifo nchi nzima ilikuwa 335, wagonjwa kama 6000, na highest single day rate ilikuwa ya vifo 43 nchi nzima.

Baada ya kuona huo ugonjwa sasa umeshasambaa ndio wakaanzisha lockdown ambapo ndani ya wiki tatu za lockdown wamekufa watu 13000 imagine without a lockdown ingekuaje.

Na juzi huko kwao ‘office of national statistics’ wameponda data za serikari sio sahihi kwa sababu wanachukua vifo vya hospitali tu lakini kwenye nursing homes na hata majumbani (ambapo watu wapo kwenye lockdown) watu wengi wanakufa.

Takwimu za ONS zinaonyesha katika kila vifo kumi kimoja kinatokea nje ya hospitali kwa ivyo kuna maelefu ya watu awapo kwenye hesabu za serikari.

Na hakuna mtu hata mmoja UK aliekosa ventilator hiyo Nightingale Hospital waliojenga kuchukua maelfu ya wagonjwa aijafikisha hata mia mpaka leo.

Isitoshe wakisema watu wote wanaodhani waliugua ugonjwa na kujitibu wenyewe majumbani wajitokeze kupata vipimo vya anti body nina uhakika awawezi mudu hiyo volume ni zaidi ya millioni itakuwa.

Sasa imagine sisi ambao capacity ya upimaji wetu very slow, record zetu za watu wanaokufa majumbani atujuhi, elimu ya kuishi na maambukizi atutoi.

Halafu Raisi wa nchi na viongozi wakuu bado tu wanaendelea ku promote mikusanyiko kwa njia za kuabudu na watu wengi tu ukiwasikiliza wanajua ugonjwa wa korona, umuhimu wa kunawa mikono lakini awaelewi hiyo korona ni nini haswa na namna zingine za kujikinga.

Kuendelea na kauli zake anapoelekea Magufuli sasa ni kuwa an irresponsible leader sio wakati wa kuongea belief zake ni muda wa washauri wake kumwambia tafadhali aache wanasayansi ndio wawe watoa muongozo kama aamini kwenye sayansi yeye mwenyewe.

Kama ni uchumi mabeberu athari zake wanalinganisha na vita ya pili ya dunia, sisi tumepewa grace period ya kulipa madeni tutumie hizo savings kulisha watu sio kufikiria kilometa za barabara.
 
Put this into perspective wakati UK inaingia kwenye lockdown 23 March idadi ya vifo nchi nzima ilikuwa 335, wagonjwa kama 6000, na highest single day rate ilikuwa ya Vigo 43 nchi nzima.

Baada ya kuona huo ugonjwa sasa umeshasambaa ndio wakaanzisha lockdown ambapo ndani ya wiki tatu za lockdown wamekufa watu 13000 imagine without a lockdown ingekuaje.

Na juzi huko kwao ‘office of national statistics’ wameponda data za serikari sio sahihi kwa sababu wanachukua vifo vya hospitali tu lakini kwenye nursing homes na hata majumbani (ambapo watu wapo kwenye lockdown) watu wengi wanakufa.

Takwimu za ONS zinaonyesha katika kila vifo kumi kimoja kinatokea nje ya hospitali kwa ivyo kuna maelefu ya watu awapo kwenye hesabu za serikari.

Na hakuna mtu hata mmoja UK aliekosa ventilator hiyo Nightingale Hospital waliojenga kuchukua maelfu ya wagonjwa aijafikisha hata mia mpaka leo.

Isitoshe wakisema watu wote wanaodhani waliugua ugonjwa na kujitibu wenyewe majumbani wajitokeze kupitia vipimo anti body nina uhakika awawezi mudu hiyo volume ni zaidi ya millioni itakuwa.

Sasa imagine sisi ambao capacity ya upimaji wetu very slow, record zetu za watu wanaokufa majumbani atujuhi, elimu ya kuishi na maambukizi atutoi.

Halafu Raisi wa nchi na viongozi wakuu bado tu wanaendelea ku promote mikusanyiko kwa njia za kuabudu na watu wengi tu ukiwasikiliza wanajua ugonjwa wa korona, umuhimu wa kunawa mikono lakini awaelewi hiyo korona ni nini haswa na namna zingine za kujikinga.

Kuendelea na kauli zake anapoelekea Magufuli sasa ni kuwa irresponsible leader sio wakati wa kuongea belief zake ni muda wa washauri wake kumwambia tafadhali aache wanasayansi ndio wao watoa muongozo kama aamini kwenye sayansi yeye mwenyewe.
Well said
 
Back
Top Bottom