Imeshika kasi: Tuendelee Ushujaa wa "Ka-Corona, tusitishane, tuchape kazi" tukiteketea; au tubadili msimamo na tusitisishe Mikusanyiko tuokoke?

Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali,
Kufuatia kuingezeka maradufu wa kasi ya sasa ya maambukizi ya virusi vya ugonjwa wa Corona, Je, tuendelee kuupongeza msimamo wa rais Magufuli wa ushujaa wa Ka Corona ni Ka Ugonjwa Kadogo, Tusitishane, Watanzania Tuendelee Kuchapa kazi kwa kuzingatia maelekezo ya kitaalamu ya jinsi ya kujikinga huku maambukizi yakizidi kushika kasi, au kwa hali ya sasa, kwa kasi hii ya maambukizi ya Corona ya locally transmissions, sasa tumshinikize rais wetu Dr. John Pombe Joseph Magufuli, JPM, abadili msimamo, sasa tukubali sio ka Corona ni ugonjwa wa Corona, ni janga na kasi ya kuenea inatisha, hivyo tukubali kutishika, tusitishe mikusanyiko yote yenye misongamano ikiwemo ya nyumba za ibada, tusitishe kesi zote mahakama zote, tuwaachie huru mahabusu wote na wafungwa wote ambao sio hatarishi, na kubadili some strategies ikiwemo kuanzisha some lockdown kwa mikusanyiko isiyo ya lazima ikiwemo nyumba za ibada, baa, night clubs na maeneo ya starehe ili kuwaokoa watu wetu?.

Declaration of Interest:
Mimi ni mwandishi wa habari, na kunapotokea janga lolote, hatua ya kwanza ni "appreciating the situation" hivyo mimi ni miongoni mwa wale tuliompongeza Rais Magufuli kwa hatua za Tanzania ilizochukua kwa kutotishika na janga la Corona na kumsifia Magufuli shujaa, wakati marais wa nchi jirani wametishwa, wakatishika. Rais Magufuli alionesha ushujaa wa hali ya juu kwa kwa kuonesha assuarance "KaCorona ni kaugonjwa kadogo, tusitishane, Watanzania tuendelee kuchapa kazi kwa kuzingatia ushauri wa kitaalamu wa jinsi ya kujikinga", huku rais Magufuli akionyesha mfano wa kutokutishika kwa kulihutubia taifa siku ya Jumapili ambayo ndio siku ya mapumziko. And then, siku ya Jumatatu ambayo ni siku ya kazi, by basking on the sun recreating himself kwenye majabali ya Ikulu ya Chamwino.

Uandishi sio fani static na conservative kama sheria, ni fani dynamic na current ambayo misimamo ina change with time, place and circumstances, hivyo kwa rate ya maambukizi ya siku zile za mwanzo, kwa uamuzi ule, ni kweli Rais Magufuli alikuwa shujaa wa Corona, ni kweli mwanzo huu ugonjwa wa Corona ulikuwa ni ka ugonjwa kadogo, Watanzania hatukuwa na haja ya kutishika, lakini kwa rate hii tunayokwenda nayo sasa, ya maambukizi ya Corona kwa local transmissions, we seriously need ku-reposition misimamo yetu. Corona sio kaugonjwa kadogo tena, ni liugonjwa likubwa; ni balaa, ni janga la kitaifa na kimataifa. Hatuwezi kukabiliana nalo kwa kuchapa tu kazi with life as usual, now we have to make some sacrifices zikiwemo some lockdown of some sort to save the lives of our people.

Hatua ya kwanza kwa sasa, ni tuzuie mikusanyiko yote isiyo ya lazima ikiwemo mikusanyiko ya nyumba za ibada na sehemu za starehe, bar, nightclubs na kumbi za burudani.

Tusitishe shughuli zote za mikusanyiko mihimu inayoweza kusubiri, hii ni pamoja na kusitisha kesi zote katika mahakama zote, tuwaachie huru mahabusu wote ambao sio hatarishi kwa maisha ya watu; tuwaachie huru wafungwa wote magerezani kote, wakiwemo wafungwa wa vifungo vya maisha, kwa wafungwa hawa na wale wa vifungo virefu, kupewa likizo. Corona ikiisha, watarejea magerezani kwa wafungwa kukamilisha vifungo vyao, mahabusu kurejea kwenye umahabusu wao na kesi kuendelea, na kwa wale ambao watatokomea na kutorejea, ihesabiwe huu ndio mpango wa Mungu kwa watu wake, wala tusihangaike kuwatafuta, tuwahesabu tuu kuwa ni watu wasiojulikana, kama tuweweza kuwaachia wale wasiojulikana wa shambulio la Lissu, tunashindwa nini kuwasamehe mahabusu wote na wafungwa wote, unless miongoni mwao wapo mahabusu na wafungwa waliofanya ukatili mkubwa zaidi ya alichofanyiwa Lissu.

Kwa rate hii ya kasi ya maambukizi ya local transmissions, something must be done differently and quickly to change the situation maana sasa tunaelekea kwa wenzetu, and honestly mwanzo niliamini Corona ni ugonjwa wa Wazungu na wazee, but now...we have to do some changes tusubiri hadi maafa ya kiwango cha juu yatukute ndipo tuchukue hatua hizi.

Ule msimamo wa mwanzo wa rais Magufuli kwa Tanzania ni shujaa wa Corona barani Afrika bado unaendelea, na hata katika vita ukiwa kwenye mstari wa mbele wa mapambano, ukiona kuna dalili ya kuzidiwa, unabakiwa with only two options, uendelee kupigana kishujaa, uangamizwe, uteketezwe ubaki historia ya ushujaa au ukubali matokeo, u retreat or surrender. Kuna mashujaa wa aina mbili, na wote ni mashujaa:

1. Mashuja Wapiganaji Shupavu, hawa ni Fighters, wao kazi yao na motto yao ni ku-Fight, Fight, Fight -- no retreat, no surrender. Pigana mpaka risasi ya mwisho na tone la mwisho la damu limwagike hata kama all will be wiped, mtakuwa mmekufa kishujaa mkipigania taifa lako na mtakumbukwa milele kama mashujaa wa taifa. Ndivyo walivyofanya kina Mkwawa, Mtemi Mirambo, Kinjekitile, na wengine. Je, tuendelee kumchagiza Rais Magufuli kushikilia msimamo huu wa kufa kishujaa na hata Tanzania tukiteketea, tumekufa kishujaa, au?

2. Mashujaa Wapiganaji Makini, hawa ni the Intelligent Fighters ambao hawapekeki askari vitani hadi kwanza wajue nguvu ya adui, ili kuepuka kupeleka vitani askari wake kwenye a loosing battle wakaishia all kuwa wiped out na nchi nzima kugeuzwa mateka.

Kundi hili wakati wakiwa kwenye mstari wa mbele, wakiona dalili na kuzidiwa, kuliko kuendelea kupigana hadi risasi ya mwisho na tone la mwisho la damu limwagike hata kama they'll all be wiped ila watakumbukwa kama mashujaa wa taifa, intelligent fighters, wata retreat kwa kurudi nyuma kwenda kukusanya nguvu na kujijenga upya, au wata surrender na kuchukuliwa mateka hai kuliko mashuja wafu.

Je, sisi Watanzania tungemtaka rais wetu Magufuli awe ni shujaa yupi, shujaa mpiganaji Shupavu au Shujaa Mpiganaji Makini?.

Kama tunamtaka aendelee kuwa mpiganaji shupavu tuendelee hivi hivi hata wote tukiishia kuwa wiped, tutakuwa tumekufa kishujaa kulifia taifa letu.

Au tungemtaka rais wetu awe shujaa mpiganaji makini, kwa hali ilivyo sasa, jee tumshinikize Rais Magufuli kwanza akubali matokeo ni Corona na sio ka Corona, abadili misimamo ya awali kutokana na the escalating situation ya maambukizi ya Corona tubadili strategies tusalimike au tuendelee kushupaza shingo zetu tukielekea machinjioni?

Hitimisho:
Namalizia hoja yangu hii ya bandiko hili. Kwa kasi ya sasa ya Corona; je, tuendelee kumchagiza Rais Magufuli ashikilie msimamo ule ule wa ushujaa wa "Tusitishane, Corona ni kaugonjwa kadogo, Watanzania tusitishike tuendelee kuchapa kazi kwa kuzingatia maelekezo ya wataalamu ya jinsi ya kujikinga" hivyo japo tunateketea, lakini Rais Magufuli ni shujaa Mpiganaji Shupavu au sasa tukubali matokeo kuwa ni ugonjwa wa Corona na sio ka Corona, ugonjwa unatisha hivyo Rais Magufuli akubali kubadilika, awe Shujaa Mpiganaji Makini, tusitishe mikusanyiko, ibada, starehe, achia mahabusu, wafungwa, before it's too late; au tusubiri idadi ya maafa... ndipo...?

Paskali.
Wandugu, hapa nafanya tuu follow up ya Corona nikipitia kujikumbusha niliwahi kuandika nini au kusema nini kuhusu Corona na hiki kinacho endelea sasa. Corona is real tusifanye masihara, tujilinde kwa kufuata ushauri wa kitaalamu.

Kila Jumamosi asubuhi kuanzia saa 1:30 hadi saa 3:00 asubuhi , Star TV, huwa ninakuwa live kwenye kipindi cha TV cha Jicho Letu Ndani ya Habari ambacho huwa kinatangwa live na Star TV kila siku za Jumamosi asubuhi, kwa Jumamosi ya kesho, mgeni wetu ni Waziri wa Habari, Dr. Harrison Mwakyembe tukijadili kuhusu athari za Corona kwenye sekta ya Habari, nini kifanyike.

Ukipata nafasi karibu utufuatilie.

P
 
Tuseme tu tusitishe mikusanyiko...siyo tusitishe mikusanyiko isiyo ya lazima...hakuna mkusanyiko usio wa lazima...

"corona ipo tuchukue tahadhari"
 
Hakuna kuretreat au kusurrender ni kusonga mbele tu,Rais wetu ana maono ya mbali saaana.Huu ugonjwa hata hauna madhara kabisa bali watu wanakufa kwa shida zao zingine.
Hakuna cha Lockdown wala kuzuia ibada, watu tuendelee kuchapa kazi.In short ni kwamba Uchumi wetu ni muhimu kuliko huo uhai wa watu wachache watakao kufa.
PASCAL umeanza na wewe kutumiwa na mabeberu kama Chadema wanao tetea uhai tu wa wananchi bila kutetea uchumi wetu.Kuwa mzalendo kwa nchi yako, tetea uchumi wa nchi yako, kazi ya kutetea Uhai wa wananchi waachie CHADEMA na MAULANA.
HAPA KAZI TUU.
 
Huu ugonjwa hata hauna madhara kabisa bali watu wanakufa kwa shida zao zingine. In short ni kwamba Uchumi wetu ni muhimu kuliko huo uhai wa watu wachache watakao kufa.
PASCAL umeanza na wewe kutumiwa na mabeberu wanao tetea uhai tu wa wananchi kazi ya kutetea Uhai wa wananchi waachie MAULANA.
Mkuu IKINGO , hii ndio nimeiona leo!.
Kwanza ni kweli watu wanakufa kwa shida nyingine, uchumi ni muhimu kuliko uhai, mambo ya uhai tumwachie Maulana!. Laiti ungeujua ukweli fulani ninaojua mimi, usinge sema haya!.
P
 
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU YATOKANAYO NA RIPOTI YA KAMATI MAALUMU YA MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA KUFANYA TATHMINI YA UGONJWA WA COVID-19 NCHINI
DAR ES SALAAM 17 MEI, 2021

Ndugu wanahabari, mtakumbuka kwamba kupitia hotuba ya Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliyoitoa tarehe 6 Aprili, 2021 wakati akiwaapisha viongozi mbalimbali Ikulu jijini Dar es Salaam kuhusu kuunda Kamati ya kitaalamu ya kufanya tathimini ya ugonjwa wa COVID-19 na baadaye msisitizo alioutoa tarehe 22 Aprili, 2021 wakati akilihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma, naomba kuwajulisha kuwa Kamati hiyo imewasilisha rasmi ripoti yake kwa Mheshimiwa Rais leo tarehe 17 Mei, 2021.

Ndugu Wanahabari, Kamati ilifanyia kazi hadidu za rejea 12 zilizohusu maeneo mbalimbali ya tathmini ya mwenendo wa ugonjwa pamoja na afua za udhibiti wa COVID-19 ikiwemo chanjo hapa nchini, kikanda na kimataifa.
Ndugu Wanahabari, Tangu kuingia kwa ugonjwa wa COVID-19 nchini mwezi Machi 2020, Tanzania imekumbwa na mawimbi mawili makubwa na hivi sasa kutokana na mwenendo wa ugonjwa huo katika mataifa mengine duniani na kuna tishio la kutokea kwa wimbi la tatu hapa nchini.

Ndugu Wanahabari, Baada ya uchambuzi wa kina Kamati imependekeza yafuatayo:
1. Serikali ihuishe mipango ya dharura (Contigency and Response Plans) katika ngazi zote kwa ajili ya kukabiliana na majanga likiwemo janga la ugonjwa wa COVID-19.
2. Serikali itoe taarifa juu ya uwepo wa ugonjwa wa COVID-19 na ichukue hatua madhubuti kuimarisha hatua zote za afua za kinga (interventions) katika ngazi zote ili kuepusha wimbi la tatu la ugonjwa huo.
3. Wataalamu wa afya watimize wajibu wao kitaalamu, kwa kuzingatia weledi, miiko na maadili katika kuelimisha, kukinga na kutibu ugonjwa wa COVID-19 nchini.
4. Tanzania ishiriki ipasavyo katika maamuzi na itekeleze maazimio ya kikanda na kimataifa iliyoridhia katika jumuiya za EAC, SADC, AU na WHO.
5. Kuhusu chanjo dhidi ya ugonjwa wa COVID-19:
a. Kamati inashauri Serikali kwa kutumia vyombo vyake iendelee na hatua kuelekea kuruhusu matumizi huru ya chanjo dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 kwa kutumia chanjo zilizoorodheshwa na Shirika la Afya Duniani ili kuwapa fursa ya kinga wananchi wake kwa kuwa kupitia uchambuzi wa Kamati, chanjo hizo zina ufanisi na usalama unaokubalika kisayansi;
b. Pamoja na mapendekezo haya, Kamati Huru ya Kitaifa ya Ushauri wa Chanjo (NITAG) na Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) ziendelee kushirikishwa katika kutoa ushauri na kudhibiti chanjo hizo;
c. Kipaumbele cha utoaji wa chanjo dhidi ya COVID-19 nchini kwa kuanzia kiwe katika makundi yafuatayo kwa umuhimu:
i. Wahudumu katika vituo vya kutolea huduma za afya na watumishi walio katika mstari wa mbele wa utoaji wa huduma (frontline workers) mathalani watumishi sekta ya utalii, hoteli, mipakani, viongozi wa dini na mahujaji;
ii. Wazee na watu wazima kuanzia umri wa miaka zaidi ya 50;
iii. Watu wazima wenye maradhi sugu mengine (comorbidities) mathalani kisukari, shinikizo la damu, maradhi ya mfumo wa upumuaji, magonjwa ya figo n.k.;
iv. Watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama; na
v. Wasafiri wanaokwenda nje ya nchi.
d. Kufanya uhamasishaji na maandalizi ya upokeaji, utunzaji, usafirishaji na utoaji wa chanjo na wananchi wawe huru kuamua kuchanja au la.
e. Serikali iratibu upatikanaji wa chanjo kwa watumishi wa taasisi za kimataifa walioko nchini.
6. Serikali ya Tanzania ijiunge na COVAX Facility kwa kuwasilisha andiko la kupatiwa chanjo, kwa kutumia fursa inayotolewa na GAVI.
7. Serikali itumie fursa zilizopo wakati huu wa janga la COVID-19 kuanza mchakato wa uanzishaji wa viwanda vya kutengeneza chanjo.
8. Serikali iimarishe huduma za uchunguzi kwa kuijengea uwezo Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii na maabara nyingine nchini ili kupanua wigo wa upimaji wa ugonjwa wa COVID-19.
9. Serikali ijenge uwezo wa ndani wa utambuzi wa virusi anuai vinavyosababisha ugonjwa wa COVID-19 na magonjwa mengine ya kuambukiza.
10. Serikali itoe takwimu sahihi za ugonjwa wa COVID-19 kwa umma na Shirika la Afya Duniani ili wananchi wapate taarifa sahihi toka Mamlaka za Serikali na kuheshimu makubaliano na kanuni ambazo nchi iliridhia.
11. Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ikamilishe mwongozo mpya wa matibabu ya ugonjwa wa COVID-19.
12. Serikali iendelee kuhakikisha kuwa matumizi ya tiba asili na tiba mbadala katika mfumo rasmi wa tiba za kisasa yanazingatia misingi ya kisayansi.
13. Serikali iendelee kutoa fursa na kuwawezesha wanasayansi kufanya tafiti kwa kufuata miiko, maadili na taratibu zilizowekwa ili kuimarisha kinga, tiba, uchunguzi wa ugonjwa wa COVID-19 na athari zake katika jamii nchini.
14. Serikali iendelee kuzingatia mazingira ya kitanzania katika udhibiti wa ugonjwa wa COVID-19 katika kuamua kuweka au kutokuweka shuruti ya kujifungia (lockdown) na kuwa na ubunifu ili kuruhusu ukuaji wa uchumi na kuimarisha sekta zinazochangia katika uchumi.
15. Wizara yenye dhamana ya fedha na uchumi ifanye tathmini ya kina ya athari za janga la COVID-19 na kuweka mpango madhubuti wa haraka wa sasa, wa muda wa kati na wa muda mrefu unaotekelezeka ili kukuza uchumi wa nchi.
16. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ziendelee kushirikiana ipasavyo katika hatua zote za kukabiliana na janga la COVID-19 pamoja na majanga mengineyo ikiwemo utoaji wa nyaraka za kimataifa kama vile Travel Advisory Note.
17. Idara ya Maafa katika Ofisi ya Waziri Mkuu iendelee kutekeleza ipasavyo jukumu la uratibu na kutoa rasilimali husika wakati wa majanga ya kitaifa na kimataifa kama ugonjwa wa COVID-19 kwa kushirikisha ngazi na sekta zote.
18. Serikali ikamilishe malipo ya madeni ya watoa huduma na watumishi waliokuwa mstari wa mbele katika kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19 ili kuongeza ari na tija ya udhibiti wa ugonjwa huo.
19. Serikali iendelee kushirikisha wadau mbalimbali wakiwemo viongozi wa dini, wadau wa maendeleo, sekta binafsi na vyombo vya habari katika mapambano dhidi ya janga la ugonjwa wa COVID-19.

Ndugu Wanahabari,

Asanteni kwa kunisikiliza.
Hii ni C&P

Thanks for this!. Alale pema peponi!, sisi tulio duniani, lazima tuendelee kuishi, kama ili kuishi ni pamoja na kupindua misimamo ya kijima ya mtangulizi, then ni bingiribingira mpaka Makka!. Kuna mambo kwenye mapendekezo hayo akina sisi tulishauri, na sasa ndio yameshauriwa na wataalamu, tuachage siasa kwenye proffesionalism, tupige siasa kwenye siasa, tuache wataalam kwenye issues za kitaalamu. Corona inatufundisha Tanzania tuna tatizo kuchanganya siasa na professionalism. Hongera Prof. Janabi kwa elimu uliyotoa, so far you are the best!
P.
 
Mkuu ni kweli tulisema sana na hata tukaitwa majina mengi yenye ukakasi.

Uzuri ni kuwa hatukufanya hayo kwa maslahi binafsi. Tunasikitika kuwa tumepoteza jamaa wetu wengi kwenye kipindi kile cha giza Nene.

Apumzike kwa amani JPM.

Wapumzike kwa amani jamaa zetu wote waliotolewa asusa.

Yaliyopita si ndwele.

Tuchukue mwanzo huu mpya - badala ya "hapa kazi tu," iwe "sasa kazi tu" ya kupambana na gonjwa hili toa roho za watu.

Mjingamimi na mamburula wenzio, habari ndiyo hiyo.
 
Tanzania unafiki hauwezi kuisha daima. Amsamehe Pascal Mayalla kwa mabandiko yake yasiyo na mwelekeo/dira moja
Sikuamini kama huyu mtu anatafuta uteuzi, mbona unaishi kwa upepo??
Kama tukipata raisi mwingine ambaye hatohitaji chanjo naamini naye utamtungia mapambio mengi ya kumsifia, najiuliza lengo ni nini??
Namaliza kwa kusema "Ama kweli njaa ni mbaya sana" ndiyo inayorudisha taifa letu nyuma.
 
Unatakiwa uwe mwerevu sana ndo utamwelewa Pascal. WATU wengi hawasomagi line by line mabandiko yake, someni vizuri kwa undani.
Pascal Hana njaa kama mlivyoaminishwa.
Ataendelea kua mwandishi Bora na nguli wa Tanzania hii.
 
Hata mimi nilikuwa namkubali sana, kilicho nishangaza ni hiki "enzi zile alikuwa akimsifia magufuli kuwa yupo sahihi kumbuka Magufuli yeye hakutaka chanjo, Leo tena Rais samia anaonekana ni wa maana kwa kuonesha mwelekeo wa kuruhusu chanjo"
Mtu kama huyu utamweka upande upi?? Kwa nini abadike badilike kulingana na utawala? Kwa mawazo ya haraka ni kutaka uteuzi kama siyo uteuzi basi ana ajenda zake ambazo hazipo kwa ajili ya ustawi wa taifa.
 
Jee tumshinikize Rais Magufuli kwanza akubali matokeo ni Corona na sio ka Corona, abadili misimamo ya awali kutokana na the escalating situation ya maambukizi ya Corona tubadili strategies tusalimike au tuendelee kushupaza shingo zetu tukielekea machinjioni?

Hitimisho:
Namalizia hoja yangu hii ya bandiko hili. Kwa kasi ya sasa ya Corona; Rais Magufuli ni shujaa Mpiganaji Shupavu au sasa tukubali matokeo kuwa ni ugonjwa wa Corona na sio ka Corona, ugonjwa unatisha hivyo Rais Magufuli akubali kubadilika, before it's too late; au tusubiri idadi ya maafa... ndipo...?

Paskali.
Nimeangalia baadhi ya maneno ya bandiko hili kuhusu kushupaza shingo, usikute, naniliu, aliondoka kwa hii kitu!. Tusiendelee kushupaza shingo na waliopo nao wakaja kuondoka!. Lazima tubadilike

Bora wamechelewa kuleta hii report yao wangeleta mwaka 2020 hali ingekuwa mbaya sana kwa watanzania.

Wakitangaza lockdown watajilock wenyewe.

# hongera biswalo mganga kwa kuapishwa kuwa jaji ili sasa Lema akome kabisa.
 
Mkuu IKINGO , hii ndio nimeiona leo!.
Kwanza ni kweli watu wanakufa kwa shida nyingine, uchumi ni muhimu kuliko uhai, mambo ya uhai tumwachie Maulana!. Laiti ungeujua ukweli fulani ninaojua mimi, usinge sema haya!.
P
Mpaka sasa wewe ni next level kwangu.
Huwa nayakubali sana mawazo yako mazuri japo kuna muda mwingine unakuwa Biased mno hasa linapokuja suala la personal interest.

Kwenye suala la ugongwa niliamini since......ulichokisema.
 
Back
Top Bottom