Why worry!Zitto kesha tamka hahami Chama. Kuhusu swali lako(red), ungeacha uvivu na kutembelea tovuti ya Bunge uone michango yake kama Mbunge ni nini na utapata jibu utakalo.
Why worry!Zitto kesha tamka hahami Chama. Kuhusu swali lako(red), ungeacha uvivu na kutembelea tovuti ya Bunge uone michango yake kama Mbunge ni nini na utapata jibu utakalo.
Dr. IDRIS RASHID ni royal model CEO in Tanzania what more rubbish can we tolerate from him.
Josephat Isango
NITASEMA ukweli daima, ili taifa la Tanzania, linufaike liendelee kudumu. Ni tendo la ukatili sana, ambalo hufanywa na wale tu wenye dhamiri za pekee, ambao kwa kawaida tunaweza tukawaita kwa jina moja tu la ukatili.
Wala haihitaji mwekezaji kujua kuwa ama umehongwa, ama unataka kuhongwa!
Kusingizia kuacha siasa ni kutuambia kuwa ulichokuwa unakitafuta umekipata, na hauna haja tena na ukombozi wa Tanzania. .
Hakuna mtu mwenye akili timamu aliyewaamini CCM,
kama wewe uliwaamini ni weye peke yako naomba usituingize na sisi ambao toka day one hatujawaamini watu hao.
Mie naona yeye anasababisha misukosuko ndani ya chadema!
Kuna uwezekano mkubwa sana wa phd ya biblia slaa, na form three freeman mbowe kujiunga ccm kuliko zitto kabwe kujiunga ccm.