Josh Michael
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,523
- 91
Mkuu nimesoma mambo haya kupitia gazeti la leo mwananchi kama ndio hivi hawa wakina Zitto wanatuhuzunisha sana katika siasa za Tanzania na pia kama ni kweli basi aje yeye mwenyewe Zitto hapa na kusema madai haya.. Maana mambo kama haya Sisi kama wadau tunahuzunishwa sanaMkuu umeshathibitisha? ukituthibitishia tutajadili kwa lugha zote. Hatuwezi tukajadili hali ya Chadema mpaka tuone nini kinaendelea ndani.
Habari zenu ndugu zangu wana Jamii mimi ni mpya humu nawaomba mnipokee kwa hali na mali na mniongoze nnapokosea naomba mnirekebishe asanteni sana...
Tatizo ni vyombo vya habari Tanzania ndio wanayakuza mambo haya kila sikuMods kama vp hii iunganishwe na hii https://www.jamiiforums.com/uzushi/46060-zitto-atembea-na-barua-ya-kujiuzulu-chadema.html hizi thread za Zitto na CHADEMA mpaka zinakera sasa
Issue ya Zitto & Kafulila naona Mwananchi wameishikia kidedea, itaishia pabaya endapo itaendelezwa...!Tumechoka na mambo ya wakina Zitto jamani
Sasa basi aje yeye mwenyewe aseme hapa na pia kuliko kuacha mambo yaende hivi hali itakuwa mbaya sanaIssue ya Zitto & Kafulila naona Mwananchi wameishikia kidedea, itaishia pabaya endapo itaendelezwa...!
Sasa hapa kama na yeye sio makini na kuona kuwa kipindi hiki kuna vitu vingi basi ataingia kwenye mtego huu na pia pengine habari hizi aseme yeye mwenyewe ni kweli au vipi??Tuangalieni sana kwa makini juu ya tarifa hizi. Kwenye gazeti la mwanachi la leo kuna tarifa hizo za zito kujiuzuru. Lakini ukienda kwenye mtandao wao www.mwananchi.co.tz hakuna kitu kama hicho. Hii inaonyesha kuwa ni habari ya kupika. Halafu ukiisoma vizuri utaona kwamba Zitto aliwasiliana na mwananchi kwa barua pepe, lakini mwishoni wanasema zitto aliwapigia simu? Kipi kati ya hivyo ni sahihi? Na kwanini hiyo habari iliondolewa online kama inaukweli wowote?
Si unajua gazeti la RA nathani Mh Zitto amewakoromea!
Kumbuka kuwa Hata Makamba amelisifia sana Gazeti la Mwananchi?? hivyo sisi kama wadau aje Zitto kudhibitisha habari hiziHa, mwananchi hawajipendi? Litabadilika kuwa rai mda si mrefu
kwa nini SLAA HAJAANDIKWA?
ZITTO ANAVUNA ALICHOPANDA,
MIMI SIONI SABABU YA KUTOANDIKWA HABARI ZAKE AU CHADEMA HUMU JF, wakati alipokuwa kwenye peak kila mtu alikuwa anaona kuandikwa Chadema au Zitto ni sawa tu, lakini sasa inaonekana inauma.