Edward Kinabo
Nasisitiza tena simwelewi Zitto Kabwe anayefadhili matusi na kashfa za Kafulila dhidi ya CHADEMA. Kwa sababu hiyo, namtaka atoe ufafanuzi haraka iwezekanavyo kuhusu kauli na misimamo yake hiyo, kabla sijaijadili mingine.
Anayemwelewa Zitto anisaidie. Tukutane Jumatano ijayo.
Zitto pole sana... naamini unapita katika kipindi kigumu sana. Una a very bright future kisiasa.. lakini mwenendo wa matukio ya hivi karibuni na kama utashindwa kuonyesha ukomavu wako kisiasa... huenda aliyosema Kabanda yakatimia... kama analiona anguko lako.
Waswahili walisema ngoma ikivuma saana hupasuka.. sikuombei mabaya ila kila ni kimkumbuka Bi Amina almarhuum na wengi ambao walivuma mno na wakazimika ghafla kisiasa... remember about Salum Msabaha yule Mbunge wa CUF Mkunazini na hekaya zake za kutekwa nyara..the listis endless sheikh.
Ushauri wangu..usikurupuke kujibu jibu...kaa kimya na ukitafakari if possible omba ushauri kwa watu wazoefu na siasa. Kwa mfano nimesikitishwa na majibu yako juu ya ile makala ya mahojiano kati ya Kubenea na mama yako na reaction kutoka kwa Kubenea mwenyewe.
Ikishindikana achana na Siasa na endelea na mambo yako mengine ya kitaaluma unaweza kuwasaidia watanzania hata bila kuwa mwanasiasa kama lengo lako ni hilo..
Kila lakheri mdogo wangu.
Kingwele.
Mwandishi wa makala hii ni mchagga aliyeajiriwa kwa kigezo cha ukabila akiwa yeye na TEMBA.
AJIRA ZAO ZILILALAMIKIWA SANA NA WAFANYAKAZI WA GAZETI LA TANZANIA DAIMA AMBAO SIO WACHAGGA WENGINE WANA MIAKA MINNE WAKIWA VIBARUA TU.
PILI MWANDISHI UCHWARA HUYU ANAANDIKA KAMA MSEMAJI WA CHADEMA NA SI MWAJIRIWA WA MBOWE.
ANATOLEA MAELEZO UTIAJIA SAINI HUNDI WA MBOWE WAKATI MTU WA KUTOA JIBU HILO NI SLAA KWANI MBOWE HAWEZI KUSEMA UKWELI.
WEWE KINABO KIJANA WA KICHAGGA UNATETEA CHAKULA CHAKO HUNA KITU.
MCHAGGA KINABO NI MUONGO NA MZANDIKI LWAKATARE AMEHAMA KWA KUIKIASHIFU CUF KIASI CHA KUTUMA CONFIDENTIALS DOCUMENTS ZA CUF HUMU JF,NA AKASEMA ANATUNGA KITABU KUWASHTUMU CUF.
AIDHA UNAPOSEMA KUWA ZITTO AJIBU HARAKA KABLA HUJATOA MAKALA NYINGINE KWANI WEWE NI NANI?YAANI ZITTO AWAJIBIKE KWAKO WEWE KIBARUA WA MBOWE? BOSI WAKO MWENYEWE HAMUWEZI ZITTO UTAWEZA WEWE RIPOTA?
MWANDISHI AMBAYE MAANDIKO YAKO YAMEJAA MAKOSA KILA NUKTA.
KAFULILAH NA DUNDU WALIKUWA VIONGOZI WA CHADEMA ,WEWE NI KIBARUA TU LAZIMA SISI TUWAAMINI HAO KULIKO WEWE NDUGU WA MBOWE.
MWISHO WAMESHINDWA NA WAMELEGEA WENZAO KAANZA MHARIRI WAKO MTENDAJI KIBANDA,KAJA NGURUMO,AKAJA MCHAGGA MWINGINE,AKAJA KWAYU WA IPP NA SASA UMEKUJA WEWE, NYOTE KUMMALIZA ZITTO KABWE HAMUWEZI.ZITTO NI ZAIDI YA TAASISI.
Kanda2,
Tatizo lako ni nini? Mwenye ukabila ni wewe. Badala ya kujadilia issues unajadilia messenger. Tafuta viatu.
Zitto anawanyima usingizi,nakuhakikishia hawamwezi kumuua kwa maneno yao.Zitto achana nao hao walikimbia umande wewe endelea kukata book tu,watakusha shitukia kumekucha kumbe wao wanapinga usingizi tu.Mtamuua Zitto Mwaka huu.
amewakosea nini?mfukuzeni na yeye
Ushauri wa Bure huu Zitto. Uamuzi wako kusuka au kunyoa.
By the way yupo wapi Sheikh Salum Msabaha?
Edward Kinabo
WATANZANIA wenzangu, kwa kawaida huwa sipendelei sana kujadili watu na inapotokea nikafanya hivyo, basi anayejadiliwa ni mtu ambaye kwa majukumu ya cheo chake, ana dhamana kubwa katika ama kuboresha au kuangamiza mustakabali wa taifa hili maskini.
Leo nimelazimika kumjadili Zitto Kabwe kwa minajili hiyo.
Anayemwelewa Zitto anisaidie. Tukutane Jumatano ijayo.
huyu ni ripota sio mwandishi,alikuwa gazeti gani kabla ya kuchukuliwa na MBOWE? hakuwahi kuandikia chombo chochote zaidi ya IN HOUSE TRAINING YA KIBANDA.hajui akiandikacho.kiukweli, ukiangalia kiundani Zito anashangazia tena sana na msimamo wake haueleweki, lakini wakuu jamani wahenga wetu walisema ivumayo haidumu au ngoma ikilia sana hupasuka ndo yanayomkuta huyu Zito hizo credibility alizopata anafikiri atazipata marazote yani kila mara anaibuka kusema, anafikiri anakubalika kiasi cha kugombea urais, na tujue kuwa CHADEMA hakuko shwari huyo Zito yupo tu, tusubiri yatakayojiri.
mmhhh na wewe ndala 2 unamatatizo tena makubwa na nafikiri we ni memba wa Zito ndo mana hutaki kujenga hoja unan'gan'gania uchaga, huyu mwandishi ameandika ya ukweli mtupu tena ni mchambuzi mzuri sana big up Kinabo.
Ukitazama sana, kwa undani kabisa utaona bado kuna tatizo kwetu sote!!! Hakuna mtu aliye huru humu, kila mtu anavutwa na aidha mapenzi ama itikadi. Hatujapata wachangiaji huru....
Mimi hapa nipo huru