Hayajakukuta ndio maana unasema unanifuma ukinirushia ngumi nakuosha nawewe nakuunganisha na mke mwenzio nawachalaza fimbo mkiwa pamoja
Umenikumbusha kisa kimoja ngoja nikusimulie. Ipo hivi kuna mwamba mmoja alikua na manzi mzuri tu walikua wanafanya kazi sehemu moja na walikua wanaishi ile sogea tuishi kwa hio wanaenda kazini pamoja wanarudi pamoja sababu wanafanya kazi pamoja, kuna kipindi jamaa akahamishwa sehemu ya kazi akahamishiwa sehemu nyingine na akapanda cheo kule alipohamishiwa akawa boss wa ofisi, basi huku na huku wakapata mtoto wa kwanza, wakaendelea kulea mtoto mpaka kakua kaanza shule kumbuka mwamba hajamuoa manzi ila wanaishi pamoja, manzi akaanizisha mgomo baridi anamwambia jamaa km hujanioa na unafanya tendo na mimi kuanzia leo tendo na wewe sitaki kwa hio utajua mwenyewe pa kwenda kupata tendo, kumbuka hapo wanaishi pamoja. Jamaa akasema sawa haina shida si unataka nifanye ninavyoona mimi, akaanza kuchukua vidampa anakuja analala navyo mulemule anapolala na hio manzi anavikamua vizuri safi na manzi hafanyi kitu chochote. Wakaendelea hivyo mpaka jamaa akamtia mimba kidampa mwingine kisha akamwambia manzi kuna kidampa fulani tayari nishamtia mimba. Hapo ndipo manzi akawasha taa nyekundu akaona hapa naenda kuharibu. Akamwambia mwamba sikia km vipi nini yaishe miaka inaenda nipe mimba nyingine tuishi yaliyotokea yameshatokea. Ndipo mwamba akaona sio kesi akamuoa kabisa wakapata mtoto mwingine wa pili. Sasa hivi ni mke na mume kabisa. Kwa hio haya mambo sio mpaka kukunjiana ngumi asee masuala ya kupasuana hayana issue ila basi. Story imeishia hapo.